Monday, 2 February 2015

Re: [wanabidii] VIONGOZI HAWA WANAAIBISHA: TUWAFICHE MBALI

Zzz
S
Sent from my LG G3 Mobile Device

On 2 Feb 2015 12:54, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Taasisi ninayoifanyia kazi, wanachama wake ni mashirika madogo na makubwa yanayotoa huduma mbali mbali kwa watoto.
Moja kati ya mashirika hayo lilimgundua mtoto aliyekuwa amefichwa na wazazi wake kwa sababu alizaliwa akiwa na ulemavu wa ngozi. Alipogunduliwa alikuwa na myaka mitano hivi. Alikuwa anawekwa kabatini. Huko alipata ulemavu mwingine ikiwa ni pamoja na kutokuwa na lugha anayoongea. Hivi sasa anasoma kwenye moja kati ya shule zinazowasaidia watoto kama hao na anaendelea vizuri.
Kitendo cha wazazi kumficha mtoto kwa sababu ya kuona aibu katika famlia kilihitaji kuielemisha familia ikaelewa na sasa inatoa usirikiano wa kutosha kwa mujibu wa taarifa za taasisi hiyo.
Najadili kitendo cha familia kukusudia kuficha aibu yao. Siungi mkono kitendo cha familia hiyo kwa mtoto mwenye ulemavu lakini ndiyo maana nilisaidia familia hiyo kusaidiwa iwe mwalimu katika jamii kupinga vitendo hivyo ambavyo ni vingi kuliko tunavyojua.
Lakini kwa bahati mbaya nakubaliana na jamii kuficha mambo ambayo yanaweza kuitia aibu jamii hiyo.
Hebu tumtafakali kiongozi huyu wa UMMA.
Wakati wa mjadala wa sakata la kupigwa Mweneykiti wa CUF Ndugu Lipumba kuna kiongozi aliyesema ‘’Kama kuna siku niliwapongeza polisi, ni walipompiga Profesa Lipumba. ……’’.
Nimesoma na kusikia michango mbali mbali kuhusu sakata hili bungeni. Hata wale wabunge ambao kwa makusudi ya uwajibikaji wa pamoja walilazimika kutetea polisi lakini katika maneno unaona dhamira inawaambia ukweli.
Wote waliona na kumsikia Lipumba akiwaelekeza wafuasi wake kuwa watawanyike na yeye anakwenda kuwaeleza hivyo wanachama na wafuasi wa chama chake waliokwishajikusanya uwanjani, ili watawanyike.
Wote waliona msafara wa Lipumba ukielekea uwanjani kuwaelekeza wafuasi wake waitii amri ya polisi ya kutofanya mkutano. Na kwa kweli kila mwenye akili timamu aliwashangaa polisi walichokifanya: Kumzuia Lipumba asiende uwanjani kuwaelekeza wafuasi wake kufuata matakwa ya Polisi. Nasema hata wale wabunge wa CCM waliotetea kitendo cha polisi walikuwa hawakuridhishwa na kitendo hicho. Hii inaonekana katika baadhi ya matamshi yao.
Lakini hebu yachunguze matamshi ya kiongozi huyu. Yeye aliwapongeza polisi kwa kufanya hivyo.
Wakati sikuunga mkono familia ilioyomfungia kabatini mtoto Yule ili kuficha aibu lakini naamini kiongozi wan amna hii anastahili kufungiwa mahali ili watu wanaotuheshimu na kuliheshimu taifa hili wasijue kuwa tunao watu wa namna hii katika jamii yetu. Haiwezekani hata chama cha siasa kikamrudisha mtu huyo kugombea nafasi yoyote. Haistahili hata vyombo vyetu vya habari kuandika maneno kama hayo. Ni aibu mno. Kuna watu huko nje ukitamka Tanzania wanamkumbuka Nyerere. Hawaamini nchi hii inaweza kuwa na kiongozi wa namna hii. Hivyo heri kuwafungia mahala ili kuficha aibu.
Elisa Muhingo


 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

  

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment