Sunday, 22 February 2015

Re: [wanabidii] UVCCM Mkoa wa lindi walaani mauaji ya Albino na kumpongeza Mhe Rais kwa Uteuzi wa Wakuu wa wilaya.

Mpaka uchaguzi mkuu upite Albino wengi watauwawa. Tafakari!
Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Sun, 2/22/15, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] UVCCM Mkoa wa lindi walaani mauaji ya Albino na kumpongeza Mhe Rais kwa Uteuzi wa Wakuu wa wilaya.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, February 22, 2015, 4:40 PM

TAARIFAKWA
UMMA

Baraza Kuu laJumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama
Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa waLindi chini ya Mwenyekiti wake
Ndugu Amir M. Mkalipa, wamefanya kikaocha kikanuni leo
tarehe 21 feb 2018, katika ukumbi wa mikutano waofisi kuu ya
CCM Mkoa wa Lindi, iliyopo Wailes, Lindi mjini.

Pamoja na kujadilihoja zingine zinazohusu uimara
wa jumuiya mkoani Lindi, changamoto zaVijana na Walimu,
suala la migomo ya wafanyabiashara, na kuwatakawatendaji wa
Serikali kutimiza wajibu na majukumu yao kikamilifu
ilikuongeza ufanisi wa Serikali katika kutatua kero za
wananchi nakuleta maendeleo ya jamii, lakini pia kikao hicho
kimeazimia:-

a} Baraza kuu laUVCCM Mkoa wa Lindi imeitaka
Serikali kuendelea kuchukua hatua kalikwa watakaobainika
kuhusika na mauaji ya Albino. Ni lazima Serikalikushirikiana
na wananchi wahakikishe ndugu zetu Albino wanaishimaisha
yenye usalama, amani na furaha kwani ni haki yao
kikatiba.

b}Pia, Baraza Kuu laUVCCM Mkoa wa Lindi
linampongeza Mhe. Rais na Mwenyekiti wa CCM nduguJakaya
Kikwete kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM (2010-2015)
kwakukamilisha ujenzi wa barabara ya
Kibiti-Mingoyo,

Pia inampongeza MheRais Jakaya Kikwete kwa
kuteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa jumuiya yaAfrika
Mashariki.

Lakini pia, UVCCMinampongeza na kumuunga mkono
Mhe Rais kwa uteuzi wa wakuu wa wilayawapya 27 ambapo baadhi
ya wateule hao wanatoka kwenye jumuiya hiyo,jambo ambalo ni
heshima kubwa kwa UVCCM, na kudhihirisha kuwa jumuiyahiyo
inatimiza wajibu wake wa kuwa tanuru la kuoka viongozi
wenyeuwezo, waadilifu na wenye kuaminika katika jamii. Pia
UVCCMimewapongeza ndugu Mboni Mhita na ndugu Paul Makonda
kwa kuteuliwakuwa wakuu wa wilaya na kuwataka wakatimize
wajibu kwa kuwatumikiawananchi kwa uadilifu na
ufanisi.

Pia, UVCCM Lindiinampongeza Kamanda wa Vijana
Mkoa Mhe Bernard Membe-Mbunge wa Mtamana Waziri wa Mambo ya
nje na ushirikiano wa kimataifa kwa kuwa karibuna Vijana na
kuiwezesha jumuiya kutimiza majukumu yake.

C} Mwisho, UVCCMMkoa wa Lindi inahimiza
Halmashauri za wilaya kutenga asilimia 10% yaMapato yake kwa
ajili ya maendeleo ya Vijana na Wanawake, ili
vijanawanufaike kwa mikopo na waweze kujiajiri ili
kukabiliana na tatizo laajira na umasikini. Jambo hili lipo
kisheria sio ombi, hivyowatendaji husika wa Serikali
wahakikishe wanatimiza wajibu waoipasavyo ama UVCCM
itawalazimisha kutimiza wajibu huo.

Jumuiya ya Umoja waVijana wa Chama Cha Mapinduzi
Mkoa wa Lindi, wamepitisha ratiba yashughuli zao kwa Mwaka
2015 na wataanza ziara ya kutembelea Vijanakatika wilaya
zote sita (6) za Mkoa wa Lindi.

Imetolewa na:-

….........................SAID
Y.GOHAKATIBU WA UVCCMMKOA, LINDI



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment