Mhe Rais amemteua ndg makonda kuwa mkuu mpya wa wilaya ya kinondoni,wilaya yenye upinzani mkubwa wa wabunge vijana wa majimbo ya Kawe na Ubungo,pia wilaya iliyo na idadi kubwa ya wakazi kuliko wilaya zote za mkoa wa Dar es salaam je atamudu majukumu na changamoto zilizo mshinda Rungimbana?nini maoni yenu wana mtandao.
African Development Bank <noreply@afdb.org> wrote:
0 comments:
Post a Comment