Sunday 15 February 2015

Re: [wanabidii] KWA HILI LA BAKWATA MWANASHERIA MKUU GEORGE MASAJU, UKWELI UMETELEZA

Labda kuangalia usajili wao na malengo ya hizo taasisi unaweza ukakuta kwa kuzingatia hilo ndio maana kasema hivyo

On Feb 15, 2015 4:42 PM, "'frank patrick materu' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Unapokuwa na ajenda ya siri, unaweza kufanya mambo kwa haraka haraka sana na ikakufanya kuyasahau au kutoyaangalia kwa makini na/au kushindwa kuzingatia mambo mengi muhimu na ya msingi. Kwa maoni yangu, Taasisi zote za dini zilizosajiliwa na serikali, hakuna yenye haki kupita nyingine kwa mujibu ya sheria hiyo iliyosajili taasisi hizo.

From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, February 14, 2015 10:44 AM
Subject: [wanabidii] KWA HILI LA BAKWATA MWANASHERIA MKUU GEORGE MASAJU, UKWELI UMETELEZA

Maneno haya machache yamenakiliwa kutoka Gazeti la Mwananchi, ambayo yalitamkwa na mwanasheria mkuu wa serikali nchini, George Masaju alipozungumza na uongozi wa gazeti hilo hivi karibuni.

Ki ukweli Madhehebu yote ya dini nchini ukiachilia mbali Uislamu yana taasisi zake mbalimbali na zote zimesajiliwa na zinatambuliwa na serikali, leo mwanasheria kudai serikali inaitambua BAKWATA peke yake, ni wazi taasisi nyingine zilipatiwa usajili FEKIIII!! Soma mwenyewe alivyofafanua siku hiyo:-

"Kuhusu kugawanyika kwa Waislamu katika kulitambua Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Masaju alisema hakuna jinsi ya kulikwepa baraza hilo kwa kuwa ni chombo kinachotambuliwa na Serikali kisheria.

"Kwanza kwa mfumo wetu wa sheria, taasisi ile ya BAKWATA ndio inayotambulika kabisa kisheria, hivyo endapo wapo wanaoipenda au wasioitaka, hakuna jinsi ya kuikwepa" alisema.

Lakini akasema kuwa katika suala hilo, Waislamu wote waliungana na kuwa na msimamo mmoja.

"Na sisi tunacholenga kama serikali ni kuhakikisha kuwa watu wote katika jamii wanakuwa na amani," alisema.

Alisema kuwa walikutana na viongozi hao wa Kiislamu Februari 3 na walikiri kuwapo na tofauti, lakini wakasema tofauti walizokuwa nazo wameziondoa na wameungana kutokana na umuhimu wa kuwapo kwa mahakama hiyo.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment