Mollel, pengine nimesema kwa ukali zaidi, lakini nadhani inatia uchungu 1) kwa kutokea vifo vya wanafunzi walio karibu na barabara mara kwa mara 2) inapotokea mtu amegongwa huwa watu wanakuwa 'imotional' - wanakimbia huku na huko kuangalia kitu gani kimetokea, wakiwemo wanafunzi 3) ikotokea hivyo sidhani mwalimu anaweza kuthibiti hiyo taharuki 4) hivyo katika mazingira hayo si rahisi mwalimu au walimu kuhamasisha wanafunzi kufunga barabara. Lakini pia inawezekana kwa hili la Geita, labda kulingana na kauli ya mkuu wa wilaya walimu walihamasisha. Lakini mchango wangu ulikuwa zaidi katika matukio ya mob psychology, ambapo wanafunzi wamekuwa kila wakisikia mwenzao amegongwa na kukimbilia barabarani kufunga njia, binafsi naona uwezekano wa mwalimu au walimu kuhamasisha wanafunzi kufanya hivyo. Na kama ulivyosema kwa ukali wa maneno yangu naomba nisamehewe bure maana hata mimi nimesema kwa uchungu huohuo wa kuwa mzazi.
2015-02-18 15:35 GMT+03:00 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
magobe seems unapenda shari sana, mawazo ya mtu si kujikomba boss hayo ni mawazo yake na heshimu hivyo hivyo na ndivyo alivyoelewa......Nyie hamstahili kuongoza hata kitongoji watu wa design ya kina magobe wana tabia ya kuwahukum wenzao bila kujali na kwa kweli watu wa namna hii si viongozi ni wale wanaojua kulalamika kila kukichA TU...Akiona umetoa mawazo tofauti na anavyotaka yeye basi wewe hufai na unaegemea serikali na hivyo unajikombamasikiniiiiiiiiii, usamehewe bure
From: Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, February 18, 2015 4:28 AM
Subject: Re: [wanabidii] DC KUSHUSHA VYEO WALIMU NA KUSEMA WENGINE WACHUKULIWE HATUA ZA KINIDHAMU
Ni wale wanaojikombakomba tu hata bila kujua nani kafanya nini. Mfano, ana ushahidi gani kwamba walimu ndio waliohamasisha wanafunzi? Kwani wanafunzi wakisikia mwenzao amegongwa hawawezi kukimbia kufunga barabara na kama mwalimu yuko darasani na wanafunzi wakatoka mmoja baada ya mwingine na kisha wote kukimbilia barabarani mwalimu atafanya nini? Ina maana yeye kama mkuu wa wilaya anaweza kuicontrol wilaya nzima kusitokee tatizo lolote? Mbona huko huko Geita tunasikia mambo mengi kuhusu matatizo ya ardhi, uhalifu na nk, kwa hiyo ni yeye huwa anahamasisha hayo yafanyike kwa vile yanafanyika chini ya wilaya yake? Shame upon him!--2015-02-18 13:19 GMT+03:00 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:Hapo hata mimi sioni kama kuna shida sana suala la matuta ni sawa na nadhani DC anachojaribu kusema kwann walimu tena wawatumie kufanya hiyo hujuma, maana hata DC ni mzazi na hilo suala nae kama mzazi litakua limemtach but si utaratibu huo kusimamisha watoto pale........Ni kweli kuna uzembe huo DC should have taken step haraka kusimamia ujenzi huo........Walimu nao wakati mwingine pasua bana
From: 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com; mabadilikotanzania@googlegroups.com
Sent: Tuesday, February 17, 2015 6:51 AM
Subject: Re: [wanabidii] DC KUSHUSHA VYEO WALIMU NA KUSEMA WENGINE WACHUKULIWE HATUA ZA KINIDHAMU
Tatizo la DC ni kuwa so personal...ni kweli walimu walimu ni kama walifanya hujuma...lkn ni kweli wanafunzi wanastahili waje gewe matuta ya usalama. Kwa hiyo, ukiamua kusimama upande wa hujuma ya walimu kushinikiza matuta yajengwe DC may seem right....na ukiamua kusimama upande wa wanafunzi na walimu...DC is wrong kwanj cha msingi ni kutendea kazi malalamiko tena ambayo ni sugu. ..
'lucas haule' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>Gazeti la mwananchi lina habari ya mkuu wa wilaya huko Geita amependekeza halmashauri iwachukulie hatua walimu walio hamasisha wanafunzi kufunga barabra wakilalamikia kutokujengwa kwa matuta.
>Nashindwa kuelewa kiwango cha uelewa wa mkuu huyu wa wilaya, na ama kama ni kweli anayafanya haya akimwakilisha rais au ni hujua wake.
>
>Wanafunzi walikuwa wanalilia mwenzao aliyegongwa wakati akivuka. Inawezekana shule ipo karibu na barabara. Pia shule hiyo itakuwa imejengwa na serikali. Tena waliokwisha kugongwa ni wengi sana, na pia ombi la kujengwa matuta lilitolewa siku nyingi.
>Twende sasa tuangalie uelewa wa huyu mwakilishi wa rais wa nchi hii.
>Ukipata msiba hasa wa mtu unayemjua au unadhani ni mnyonge ama unayeshawishika kumwonea huruma utulivu hupungua. kisaikolojia hutokea kutokuikubali hali hiyo, kuogopa, kujilaumu au kulaumu na wakati mwingie mshtuko wa kuzimia.
>wanafunzi wakiwa kwenye hdhuni waliona bora tufe wote. Waliojenga shule karibu na barabra ndiyo vyombo vyao vya moto vinatuua, tena hawatusikilizi. wapita njia na waliokaribu na barabara wamechoka kuona vifo vinavyoumiza.
>Wametafuta njia ya kuongea masikio haya sikii.
>Walimu hawana ubavu wa kuzuia watoto waliochanganyikiwa. tunazungumzia watoto wenye miaka kuanzia 7 - 20 na wao wapo kama 2000 dhidi ya walimu 30 na mlizni mmoja.
>Jitu moja pumbavu linakuja na kusema eti hatua za kisheria na wapunguzwe au kushushwa vyeo. hayawani mkubwa huyu.
>Najiuliza amefanya utafiti lini mpaka akajua kuwa walihamasishwa na siyo msukumo wa hisia/ mihemko?
>Mbona bosi wake akikamata mtu na fedha ya umma anafanya uchunguzi? au tuelewe ndiyo alivyotumwa na bosi wake kuwa wakifa watoto wa kayumba yeyote anayeomboleza piga mabomu na fukuza kazi? Inamaana anachokifanya kina Baraka ya aliyemteua? Amewahi kujifunza baada ya kifo ni hatua gani mfiwa hupitia kabla ya kuwa katika hali ya kawaida?
>MKUU WA WILAYA NAKUCHUKIA kuliko shetani!!!!!!
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment