Tume ya Warioba ilipendekeza muundo wa shirikisho wa serikali tatu, kinachojadiliwa ni sera ya CCM ya muundo wa serikali mbili!!
Tume haikupendekeza uraia pacha, leo wanajadilia uraia wa nchi mbili kama ilivyopendekezwa katika rasimu ya CCM!!!
Nina hakika na mengine yapo na yatazidi kujitokeza. Ile Rasimu ambayo Chenge alipewa kazi kuongoza timu ya wana CCM kuiandika, ndio inajadiliwa sasa!! na Watanzania wanatazama tu, kama vile wamechukuliwa mizukule!!! ajabu sana.

0 comments:
Post a Comment