Tuesday, 12 August 2014

Re: [wanabidii] WADADA KUOSHWA MIGUU NA WAPAKA RANGI

Hapa sio ubishi ila kuna mambo yafanywe na jinsia pacha iwe kuje au kiume akina dada katika saloon yakiume wanafanya nn na vipi wake zetu waoshwe nyayo na vijana wa kiume

Sent from Yahoo Mail on Android

From: 'weston mbuba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
To: wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] WADADA KUOSHWA MIGUU NA WAPAKA RANGI
Sent: Tue, Aug 12, 2014 1:57:20 PM

Esther sasa unaleta tu ubishi usio na msingi.

On Tuesday, August 12, 2014 4:30 PM, Esther Michael <mankamichael2003@gmail.com> wrote:

Kama mdau katika mada tajwa na mimi naombeni mnisaidie ktk hili; je ninyi waume zetu mnajisikiaje pale ambapo mnaenda saloon kunyolewa mnanyolewa na wanaume lakini mnaoshwa vichwa na wadada? tena kwa mimi naitwa kutekenywa vichwa na shingo zenu na wadada wa saloon za kiume. Kwanini basi isitokee mtu anayekunyoa  na na kukuosha ni mwanaume mwenzako?. Kwa macho yangu nimeshuhudia waume zetu wa ndoa wengi wakipakatwa vichwa vyao kwenye matiti ya kike huku akiwekewa vidole masikion eti massage, SAMAHANI na hii  tuiweke kwenye kundi gani ?.

Niliwahi shuhudia salaoon moja sinza mzee wa watu katoka safari nadhani mkoani ilibidi atoe gazeti alilokuwa ameweka kwenye mfuko wa Rambo na hata kufunika baadhi ya parts za mwili wake kwa ile hali aliyotengenezewa na mwosha nywele wa saloon (mhemko).

Awali ya yote nakubaliana nanyi kuwa tabia hii ya sisi wanawake kupenda kuoshwa na kutengenezwa kucha na vijana wa kiume wengine tumeiita  kupakatwa miguu yetu na vijana wa kiume kwa kweli  si kitu cha kiungwana . Ila ni vyema pia tukaangalia both sides na kujua tusaidianaje ktk kuheshimu miili yetu especial ktk ulimwengu huu wa ushindani wa kibiashara.

I submit

2014-08-12 14:55 GMT+03:00 Kilasara Fratern <kilasara.fratern@gmail.com>:
Akina mama na akina dada zetu siku hizi wamekuwa wavivu kuoga na kunawa miguu yao, to say the least!

Mwana mama anaweza akafunga safari akaenda hadi Mwenge kwa mfano, kuna sehemu wanapenda sana kusuka nywele hasa siku za Jumamosi na Jumapili. Kusuka nywele sio shida, ila mtu hii ya kusuguliwa miguu, mathalani kucha na kwenye nyayo kuondoa magamba/sagamba/'makenya (kwa Kiswahili cha Mombasa). Kumbuka mtu huyuhuyu alikotoka, katoka kuoga, na kujipodoa vilevile, akifika huko, anataka asuguliwe miguu, kucha zikatwe vizuri na kupakwa rangi. Nashindwa kuelewa, pengine wamekosa mazoezi, kiasi kwamba mwanamama wa siku hizi kumwambia akate kuchwa za miguu, ni shida, na pengine, unaweza kumpa mtu laki ajikate kucha zake na akashindwa!

Sijui kumetokea nini. Wanawake wanapoteza 'their artistic value of making themselves beautiful and instead, someone has to do it for her." This means, for the extreme economists, there is no way, they are paying for somethings which hitherto they used to be free. Kukata kucha, hii ilikuwa ni biashara ya mtu binafsi lakini leo, hii inafanyika kwa fedha pamoja na kupaka kucha rangi.

Utata unajitokeza maana wanaofanya kazi hizi za kuwakata kucha akina mama na akina dada zetu, wengine wakiwa wamevalia vimini vya kutisha kiasi kwamba hathubutu kuinama kuchukua kalamu chini, ni 'vijibaba/ vijana ambao wengi ni rijali, na wakati mwingine ukimkuta, lazima ujiulize, kijana kama huyu, na mwili wote, maana wengine wanaonekana kama wanafanya mazoezi ya kubeba vyuma kwa wastani kuwafanya waonekane wako fit; anafanya kazi ya kuwasafisha miguu akina mama na akina dada zetu! Wengine, mathalani akina mama wametoka, kwenye nyumba zenye migogoro, kwa mazingira ya namna hii, kuna usalama! Na pale mwenye, ukiwakuta walivyokaliwa kwa staili za ajabuajabu, hutatamani kukaa pale. Vijana wengine wanaibeba miguu ya wateja wao na kuipakata mapajani mwao, na hawa wenzetu viumbe, tuwajuavyo, wengine ni dhaifu, wana nyege hadi kwenye kucha! Niulize tu, kuna usalama huko?

Sio hili tu, vijana wengine wanawatembelea majumbani. Wewe ukitoka, kama wanavyopita watu wanaopita majumbani mwa watu wakiuza dagaa, mboga za majani, na wengine wamachinga wanaopita na nguo na vitu kadha wa kadha, siku hizi, vijana wakata kucha na kusugua miguu ya akina mama na dada zetu nao, huwa wanapita. Kama salon ambako wake zetu na dada zetu wanaenda kumekuwepo na mahusiano yasiyo ya kiafya, hali kadhalika na kwenye biashara hii ya kusugua miguu, kukata kucha, na kupaka rangi kucha, mahusiano yasiyo ya kiafya yanaweza kujengeka kirahisi tu. Hii ndio jamii yetu ya Bongo ilivyo, hatari, hatari, tu kila uchwao. 

2014-08-12 8:57 GMT+03:00 'weston mbuba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Fatima nina zawadi yako ukiniona tu idai. Nimemuonesha mama ngina wangu hoja yako hii. mi nilimzuia zamani akaniona mkoloni. umenisaidia kuniondoa katika tuhuma za kuwa mimi ni jeremani au mshamba kutoka ileje.

On Tuesday, August 12, 2014 8:18 AM, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:

Ah sitoi tena hela ya kucha na nywele kwa mama koku hii imenistua saana sanaaa
On Aug 12, 2014 12:03 AM, <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
Muganda, ni mambo ya aibu kusimulia wanayofanyiwa vijana wetu na hawa wateja wao.

 ----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, August 11, 2014 11:45:35 AM GMT-0400
Subject: Re: [wanabidii] WADADA KUOSHWA MIGUU NA WAPAKA RANGI

Jamani,
Wengine tuko nje ya Bongo kitambo. Naomba nipewe mukhtadha wa kisa hiki.
Yaani kuna biashara ziku hizi za kuosha miguu?
em

2014-08-11 11:26 GMT-04:00 Kilasara Fratern <kilasara.fratern@gmail.com>:

> Nashukuru, aliyesema hili, ni mwanamke!
>
> Kweli kina mama sijui ni ugonjwa gani umewapata. Mwanamama aliyefundwa,
> alifundishwa kusugua hadi miguu, iweje kina mama na akina dada wa siku hizi
> mnashindwa kusugua hadi miguu? Na hii ya kupakwa rangi, kiholela, mara kumi
> na zaidi, shughuli hizi zikafanyikia salon!
>
> Na kwa nini kina dada wanaofanya shughuli za salon, wasijifunze na hii ya
> kutengeneza KUCHA. Hakuna kinachoshindikana kwa akili iliyoko tayari
> kujifunza. Ndio, kwa wanaotafuta ajira, kina dada jifunzeni kuteneza kucha
> sawa na mnavyofanya kwenye nywele, ili mfungue salon za kucha pia, muache
> kijidhalilisha vibarazani, na upenuni kwenye sehemu zisizostahili.
>
> Jioni njema.
>
>
> 2014-08-11 17:21 GMT+03:00 Fatima Husenali <husenalif@gmail.com>:
>
> Hebu wadada mnisamehe bureee msione nawasema sana napenda tujiheshimu na
>> tuheshimike.
>> kuna hili naomba tuongee japo wengine mtanichukulia vibaya ndo nishaomba
>> msamaha mapemaaaaa
>> WADADA KUOSHWA MIGUU
>> Jamani hivi wadada tumekumbwa na jinamizi gani linatupeleka puta hivi
>> mwanamke kabisa unanyoosha miguu sehemu ambayo ina hisia za tendo la ndoa
>> kisha unaoshwa unasuguliwa na kuwekwa mapajani mwanaume si wako tena kijana
>> ambaye hata sijui nisemeje.
>> Wamama wengine wanaokutwa majumbani anajifunga na kanga au kitenge kimoja
>> ndani hamna kitu halafu unainua mguu khaa.
>> kweli mwanamke mwenye heshima zako unawezaje,
>> na nyie wanaume kweli mke wako unaempenda unakubali akaoshwe miguu duuh.
>> na kama hamfahamu hao vijana wa urembo wanawatolea siri zenu zote wengine
>> mnalazimisha kutembea nao aibuuu jamani.
>> mdada kama mguu wako unashindwa kuusafisha utaweza muhudumia mume ndani
>> ya nyumba?
>> Mmmhh! Ndio maana wengi tunafanywa dala dala
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>
>
>
>
> --
>
> *-----------------------Fratern Kilasara,*
> P. O. Box - (Home): 62810; or (Office): 65300
>
> *Dar es Salaam - Tanzania.*Telephone (Office): +255 (0)22 2700021/4 Ext
> No. 239; Fax: +255 (0)22 2775591
> Mobile (Personal): +255 (0)715 40 41 53 or +255 (0)754 40 41 53
> Emails: kilasara.fratern@gmail.com or kilasara.fratern@yahoo.com
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

-----------------------
Fratern Kilasara
,

P. O. Box - (Home): 62810; or (Office): 65300
Dar es Salaam - Tanzania.
Telephone (Office): +255 (0)22 2700021/4 Ext No. 239; Fax: +255 (0)22 2775591
Mobile (Personal): +255 (0)715 40 41 53 or +255 (0)754 40 41 53
Emails: kilasara.fratern@gmail.com or kilasara.fratern@yahoo.com
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment