Monday, 4 August 2014

Re: [wanabidii] WABUNGE WA CHADEMA WALIA NA MBOWE KUHUSU BUNGE LA KATIBA

1. Kaaya, hao wapiga kura wao waliwatuma hao wajumbe kwenda kutetea maslahi ya CCM au maslahi yao?
2. Kama waliwatuma kwenda kubariki au kuwa sehemu ya msimamo wa CCM warudi bungeni, lakini kama walitumwa waende kutetea maslahi yao na ya Watanzania wote lazima wahahikikishiwe kwamba wakirudi bungeni watajadili muundo wa serikali tatu za shirikisho na kwenye tunu za taifa kusiondolewe uwazi, uadilifu na uwajibikaji kama CCM wanavyotaka.
3. Bunge Maalum la Katiba halina mamlaka ya kufumua rasimu na kuweka maoni mapya. Wana mamlaka tu ya kuboresha au kurekebisha maoni yaliyomo kwenye rasimu ili itekelezeke na hiki ndicho wananchi wote wanataka na ndicho pia Ukawa wanachodai kifanyike kwenye Bunge Maalum la Katiba.
4. Au nikuulize hivi: Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyokusanya maoni inapendekeza muundo wa serikali 3 za shirikisho. Je, hizo serikali 2 zinazotetewa na CCM na washirika wao ni kwa mujibu wa Tume ipi au utafiti upi?

On Sun, Aug 3, 2014 at 11:57 PM, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Hizi habari zingine jamani aaahhh.......embu ziwekeni in 5ws form bw, msituandikie stories zisizo na mbele wala nyuma.........tell us,mbowe ana maslahi gani na mgogoro, tumhukumu kwa hilo, tell us hao wanaosema haya, wabunge gani.....uzushi sio

On Sunday, August 3, 2014 11:30 AM, Paul Lawala <pasamila292000@gmail.com> wrote:

Watajwe bwana EM,vinginevyo ni magumshi tu

On Sun, Aug 3, 2014 at 7:56 PM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Hata kama wana majina nani amewakataza kupeleka dukuduku zao mbele ya mwenyekiti wao?
em

On Sun, Aug 3, 2014 at 12:51 PM, Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com> wrote:
Hao wabunge wa CHADEMA hawana majina?

On 8/3/14, Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com> wrote:
> Emma, na wale wa CUF wanamlaumu Lipumba? Lakini iwekwe wazi: Yeye (mbowe)
> ananufaikale?
>
> Date: Sun, 3 Aug 2014 07:43:29 -0700
> From: emmakaaya@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: [wanabidii] WABUNGE WA CHADEMA WALIA NA MBOWE KUHUSU BUNGE LA
> KATIBA
>
> Tarifa toka kwa baadhi ya wabunge wa chadema ambao wanania njema na taifa
> hili wamekuwa wakimlaumu mwenyekiti wa chama chao kwa kuwapiga marufuku
> kushiriki bunge la katiba bila sababu za msingi.
> wabunge hao wamesema kuwa wamekuwa wakikutana na wakati mgumu sana kwenye
> majimbo yao baada ya wapiga kura wao kupingana nao wazi wazi wakiwataka
> waende bungeni ili wakatimize matakwa yao ya kuwawakilisha vema kama katiba
> inavyotaka.
> Lakini pia wengine wanadai kuwa yeye kama mwenyekiti ananufaika na mgogoro
> huu wa ukawa kutorudi bungeni kwa kuwa na maslahi nao ya kibinafsi wakati
> wao hawana manufaa na vurugu hizi zaidi ya kuwakosanisha na wapiga kura wao
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
Skype.nanyaro.ephata

"truth shall set you free"

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment