NA ELIZABETH HOMBO, Dar es Salaam
MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), kwa mara ya kwanza amefunguka na kusema ana nia ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 iwapo chama chake kitaridhia.
Ametoa kauli hiyo ikiwa ni miaka miwili tangu Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), alipojitokeza hadharani akisema kwamba hatawania tena ubunge katika jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu ujao na badala yake atajitosa kwenye urais.
Hata hivyo, kauli hiyo ya Zitto ilisababisha mvutano mkubwa kati yake na viongozi wenzake ndani ya chama hicho, huku mmoja wa waasisi wake, Edwin Mtei, akipinga uamuzi wa mwanasiasa huyo na akidai hakuutoa wakati mwafaka.
Mtei alisema hatua ya Zitto kutangaza kutaka kuwania urais wa mwaka 2015 haikuwa na shida kwa sababu alionyesha hisia zake lakini alikuwa ikitengeneza mzozo ndani ya chama.
Mwanasiasa huyo alimshauri Zitto kuhakikisha anakiunganisha chama na si kukigawa na kukivuruga.
Akizungumza katika mahojiano maalumu na MTANZANIA mwishoni mwa wiki iliyopita, Lissu alisema ana uzoefu wa uongozi hivyo yuko tayari kuwania urais iwapo vikao vya chama chake vitaridhia.
"Mimi ni Mwenyekiti wa Movement For Change Kanda ya Kati, pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya chama, vile vile ni mwanasheria mkuu wa chama.
"Kwa kuwa nina uzoefu mzuri wa uongozi, nitakuwa tayari kugombea urais iwapo vikao vya chama vitaamua," alisema Lissu.
Huku akitabasamu, Lissu alimtania mwandishi wa habari hizi na hata kumhoji kama kauli yake itapewa nafasi ya juu katika gazeti lake.
"Tena hiyo kesho inaweza kuwa headline eeh!" alisema Lissu huku akitabasamu.
Lissu alisema kazi ya ubunge imempa fursa ya kuwatumikia wananchi katika kutatua matatizo yao, kuibua hoja na masuala yanayolitatiza taifa.
Alisema katika kipindi chote cha ubunge, pia alitumia utaalamu wa sheria kuboresha mfumo mzima wa ubunge ikiwa ni pamoja na kulifanya Bunge la 10 la Jamhuri ya Muungano kuwa bora na machachari kuliko Bunge la Tisa.
Lissu, ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Sheria na Katiba, alisema hana hofu na watu wanaotaka kugombea ubunge katika Jimbo la Singida Mashariki ambako aliwakaribisha kwa mikono miwili.
"Sina wasiwasi. Ninawakaribisha sana Singida Mashariki waje tupambane kwenye uchaguzi mkuu unaokuja," alisema.
Akizungumzia uamuzi huo wa Lissu, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, alisema kauli ya mwanasiasa huyo haina tatizo.
"Sioni tatizo la Lissu kutangaza nia kwa sababu kila mtu anao uhuru wa kutamka na kugombea urais," alisema Mbowe.
On Thursday, July 17, 2014 2:02:23 PM UTC+3, FRANK CHALAMILA wrote:
magonjwa ni kwa binadamuOn Thursday, July 17, 2014 1:52 PM, 'malosha zephania edward' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com> wrote:
ujinga sio lazima usijue kuandika na kusoma tu bali hata maneno, maandishi, kauli na vinavyofanana na hivyi vinaweza kukuonyesha wewe kuwa ni mjingaOn Wednesday, 16 July 2014, 12:23, 'ekunyaranyara' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com> wrote:
Mhe HKHuenda itakuwa afya kwa wanabidii kujua ni katika maeneo yote mawili ya Ubunge na Urais bado unafikiria au eneo mojawapo.Wadau tunaomba kujua japokuwa shemeji yako tayari kakutahadharisha usijaribu eneo moja lakini mimi nadiriki kusema kama unadhani unayo nafasi ya kuchangia maendeleo ya watanzania katika ngazi hiyo usisite kuonesha nia na kusha uwaachie wenyewe waamue kwa kulinganisha.KEMS.Sent from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: "Dr. Hamisi A. Kigwangalla"
Date:16/07/2014 09:50 (GMT+03:00)
To: wanabidii
Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 : MHE TUNDU LISSU ALIWAHI KUUGUA KICHAAShemeji yangu Mrema,Bado natafakari kama nigombee ama la...Tuombeane Mungu tu...tutafakari pamojaRe/HK.--2014-07-16 9:32 GMT+03:00 Herment Mrema <hmre...@hotmail.com>:Dr. HK
Shukrani umenikuna kwa kiasi fulani. Sasa unaweze kuendelea kuwa mbunge mzuri na Mungu akikujalia unaweza kuwa Waziri wa afya kama katiba ijayo itaruhusu mbunge kuwa waziri. Kwa nafasi ya Uras jipange kwa 2025. Usibeep saa hii kama Rafiki yako January hailipi.
Cheers
MremaDate: Tue, 15 Jul 2014 17:42:09 +0300From: hkigwa...@gmail.com
Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 : MHE TUNDU LISSU ALIWAHI KUUGUA KICHAA
To: wana...@googlegroups.comMrema,Ni dhahiri siwezi kutamka maneno hayo hata siku moja. Kwa nini nifike mahali bila sababu za msingi nimseme hivyo kaka yangu Lissu?Najua hata yeye hawezi amini utumbo huu...tunaheshimiana sana na tunaelewana, kushirikiana na kusaidiana mambo mbalimbali kama noble citizens wenye professionalism na heshima kwenye jamii....achilia mbali tofauti zetu za kisiasaRegards,HK.2014-07-14 9:43 GMT+03:00 Herment Mrema <hmre...@hotmail.com>:
Kwa taarifa yenu ni kuwa wanabidii kila mmojawetu ni mwendawazimu. Kinachototutafutisha ni kiasi cha ukichaa tuliokuwa nao. Kichaa kitakachozidi kiasi fulani cha uharibifu au kero kwa wengine ndio ukichaa wenyewe lakini kama haujazidi hapo ni werevu.
Cheers
Herment A. MremaDate: Mon, 14 Jul 2014 08:10:48 +0300From: mng...@gmail.com
Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 : MHE TUNDU LISSU ALIWAHI KUUGUA KICHAA
To: wana...@googlegroups.comBasi kama Lissu aliwahi kuugua ugonjwa wa Kichaa ni zamani sasa hivi ni mzima ila vichaa kwa sasa ndo kama huyo aliyandika habari kama hii
2014-07-13 19:14 GMT+03:00 Herment Mrema <hmre...@hotmail.com>:
Kama kweli Dr. HK amesema yaliyoandikwa hapo chini ni kiwango cha kuonyesha kuwa hafai kuwa kiongozi hata wa nyumba kumi kumi kwa sababu amekiuka Patient/Doctor strict confidentiality ambayo ni critical kwa udaktari.
Kama ni siasa za maji taka kama kawaida inavyoonyesha mwandishi asivyomtakia Dr. HK mema na udogo wa ubongo wa mwandishi.
Jamani tujitahidi tuandike mada ambazo zitatusaidia na sio kupoteza wakati kama anazo andika mabadiliko chadema.
Ahsante
Herment A. MremaDate: Sat, 12 Jul 2014 13:52:25 -0700
From: wana...@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 : MHE TUNDU LISSU ALIWAHI KUUGUA KICHAA
To: wana...@googlegroups.comNafikiri aliwahi kuugua na Pneumonia. So what. Watu wengi waliwahi kuugua magonjwa mengi. Walitibiwa na kupona. Ni mwanasiasa mzuri Lisu.Upuuzi mwingine bwana! ndiyo maana hajitambulishi nini?ElisaOn Saturday, July 12, 2014 10:10 AM, MABADILIKO CHADEMA <mabadili...@gmail.com> wrote:
--URAIS 2015 : MHE TUNDU LISSU ALIWAHI KUUGUA KICHAA" Niliwahi kumtibu kichaa Tundu Lissu " Mhe Kingwangalla- Alitumia fedha za mradi wa kutunza mazingira mwaka 2010 kwenye kampeni zake za kugombea ubunge , fedha zilizolewa na wafadhili .- Matokeo ya Ulaji wa fedha hizo ndio kifo cha NGO hiyo ya mazingira ambayo yeye aliitumia kuingilia kwenye ulingo wa siasa .- Anatuhumiwa kupewa mafunzo na shirika moja la ujasusi wakati anafanya kazi kwenye nchi moja ya ulaya kama mwanasheria na mtaalamu wa mazingira .- Aliwahi kupatiwa fedha na Serikali moja ya kimagaribi ili akatetee maslahi yake Bungeni kwenye masuala ya madini na mazingira .- Aliwahi kutishia Kuingingiza nchi kwenye vita endapo mgombea mmoja asingepitishwa mwaka 2010 - Hii ni taarifa ya chama chake .
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout .
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com .

"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
+255 782 636963
website: http://www.peercorpstrust.org/ or http://www.hamisikigwangalla.com/
Email: hamisi.ki...@peercorpstrust.org or in...@hamisikigwangalla.com
Skype ID: hkigwangalla
Blog: blog.hamisikigwangalla.com

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout .--

wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment