Tumshukuru JK kuunda bunge la katiba ambalo limetusaidia kujua rangi halisi ya kinyonga. Alifanikiwa kuteka nyoyo za Watanzania alipokuwa Speaker, sasa tumemjua vema
--------------------------------------------
On Mon, 8/11/14, 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - MHE SAMWEL SITTA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, August 11, 2014, 8:46 PM
SITTA AMEPUNGUKIWA SIFA SITA ZA
UONGOZI
Na Ananilea
Nkya
Watanzania tuna bahati kubwa
maana kwa kupitia Bunge Maalum
la Katiba angalao
tumeweza kufahamu vema
tabia ya Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba
Samweli Sitta. Katika kutekeleza majukumu yake kwenye
Bunge hilo Sitta
amejibainisha wazi kuwa anapungukiwa sifa SITA
alizotakiwa kuwa nazo kiongozi
yeyote katika nchi yetu
ikiwa ni
pamoja na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba.
Sitta
amepungukiwa sifa sita
zifuatazo.
(1) Uwezeshaji
wa maridhiano
Samweli Sitta ametudhihirishia
kwamba hana
ujuzi wala dhamira ya kujenga
maridhiano
pale watu wanapotofautiana. Tumeona wazi kuwa ameshindwa kujenga maridhiano
miongoni wa wajumbe wa Bunge
Maalum la Katiba kama
alivyofanya Jaji Joseph Sinde Warioba kwenye Tume ya
Mabadiliko ya Katiba. Hii
ni
ishara kwamba Sitta akipewa uongozi wa nchi ataipasua
nchi vipande
vipande hata kama angeweza
kuepuka kwa
kujifunza kutoka kwa kiongozi
aliyemtangulia. Kwa mfano
angeweza
kujifunza kutoka kwa kiongozi wetu mahiri na mzalendo
wa
ukweli, Jaji Joseph Sinde
Warioba ambaye
aliweza kujenga maridhiano miongozi wa wajumbe wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba.
Hakuna ubishi kwamba wajumbe wa Tume
ya
Warioba waliingia kwenye tume hiyo wakiwa vipande vipande
maana walikuwa na
itikadi tofauti za kisiasa, imani tofauti za dini na hata
viwango tofauti vya
uelewa wa masuala yanayohusu nchi yetu.
Lakini wote waliweza
kufanya kazi
kubwa tena kwa wakati na
iliyopokelewa
kwa kishindo cha furaha na umma wa Watanzania.
Tume iliweza kufanya kazi hiyo kwa sababu bila shaka
Mwenyekiti wake
hakuwa mbabe.
Akijinyenyekeza
akamsikiliza kila mjumbe na kujifunza kutoka
kwao na hivyo akafanikiwa kujenga muafaka na ndipo
tume
ikaweza kujinyenyekeza kwa
wananchi ili kusikiliza wananchi
wanataka nchi yao iendeshwe
vipi. Baada ya kukusanya maoni
tume iliweza kuyachakata
na kuandika Rasimu kwa
maridhiano tena
bila kupiga kura. Hivyo, tume iliweza kutoa mfano wa kuigwa
kwa umma kwamba MARIDHIANO
yanawezekana na yanaweza
kujengwa katika kila hatua ya
mchakato
wa kuandika Katiba Mpya.
Lakini
baada ya Rasimu kufikishwa katika Bunge Maalum la
Katiba na Samweli
Sitta kukabidhiwa kazi ya
kuongoza Bunge
hilo kuijadili na kuipitisha Rasimu hiyo, badala ya
kuhakikisha kuna MARIDHIANO
baina ya wajumbe yanakuwepo, tumeshuhudia akikumbatia
ushabiki wa kivyama, ubabe na
unafiki na mwishowe baadhi ya
wajumbe wamesusia
mchakato na wamekataa
kurejea Bungeni. Tena anajinasibu kwamba Katiba itaandikwa hata kama baadhi ya wajumbe hawapo Bungeni. Lo! laiti angelijua kwamba kiongozi wa ukweli angeugua moyoni
hata kama ni
mjumbe mmoja tu ameudhika na kukataa
kushiriki kazi hiyo muhimu maana Katiba ni
MARIDHIANO au MUAFAKA
wa Kitaifa. Laiti pengine hajui
kuwa mbabe na mnafiki
hawezi
kuongoza timu ikafikia maridhiano. Anapaswa kujua kwamba
hata mchunga kondoo wa ukweli
ikitokea kondoo wake mmoja
amebaki
porini kitamuuma sana na atarudi porini kumtafuta hata kama
kundi la kondoo
wengine elfu moja litakuwa limerejea kwenye zizi.
(2) Ujasiri wa kutetea
nchi na wananchi
Kupitia kazi muhimu aliyopewa ya kuongoza Bunge Maalum la
Katiba
tumeshuhudia jinsi anavyoweka mbele maslahi yake binafsi na
ya chama chake badala ya maslahi
ya wananchi na nchi yetu,
TANZANIA. Mfano
alivunja kanuni za Bunge Maalum la Katiba na kumpotosha
Rais
wetu kutoa maoni yake
Bungeni badala
ya kufanya kazi yake kama mkuu wa nchi ya kufungua Bunge hilo. Hapa Sitta
alipaswa
kuonyesha ujasiri kwa
kumshauri Rais kufanya
alichotakiwa kwa wakati husika. Kwa
kutokuwa na ujasiri wa kumshauri Rais kwa upendo na ukweli ameweka wazi kwamba hana
chembe ya
ujasiri wa kutetea wananchi na nchi yetu. Amedhihirisha
kwamba yeye anaweka
mbele zaidi maslahi yake binafsi
na
dirisha lake analopitia kutafuta uongozi (chama chake
cha siasa)
naanasahau kwamba Tanzania ni kiubwa kuliko sisi
sote.
(3)
Kulinda maadili na utamaduni wa
Mtanzania
Kwa kipindi chote alichoongoza
Bunge
Maalum la Katiba tumeshuhudia jinsi alivyokaa kimya huku
baadhi ya wajumbe wa
Bunge Maalum la Katiba
wakirushiana matusi
ya nguoni. Aidha alikaa kimya pia hata pale baadhi ya
wajumbe wa Bunge
hilo walipomtukana, kumbeza na kumdhihaki Mwenyekiti wa Tume
ya mabadiliko ya
Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba. Watu makini wanaamini kwamba
waliomtukana na kumbeza Jaji Warioba
waliwabeza na kuwatukana pia Watanzania wote, Tanzania na Rais wetu
aliyeiteua tume hiyo
kufanya kazi. Bunge Maalum la Katiba limeacha sifa mbaya
sana kwa jamii kuwa
viongozi wanawake na wanaume
wanaweza kusimama hadharani na
kuporomosha matusi ya nguoni. Lakini ni wazi kuwa kama Sitta
angekuwa ni mtu
anayejali na kuthamini maadili ya taifa letu, angalao
angekemea wajumbe waliokuwa
wanaporomosha matusi na
hata ikibidi kuwachukulia hatua za kisheria.
4) Kuheshimu uhuru wa kujieleza
Tumeshuhudia Samweli Sitta akivinyooshea kidole
vyombo vya habari hasa
televisheni na redio za
kitaifa kwa kutangaza midahalo
kuhusu Rasimu ya Pili ya
Katiba Mpya. Alijidhihirisha zaidi
hasa
pale Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipotokeza hadharani
kusahihisha
upotoshaji mkubwa uliokuwa
unafanywa kimkakati na wahafidhina wa mabadiliko kuhusu
Rasimu ya
Pili ya Katiba Mpya. Mtu
huyu akipewa uongozi wa nchi siyo tu kwa kukosa
uvumilivu katika kukuza
demokrasia, ataweza kuvifungia
vyombo
vya habari ambavyo vitakuwa vinakosoa uwajibikaji wa
serikali, bali pia hata
kufuta usajili
wa mashirika ya kijamii yatakayokosoa utendaji wa
viongozi wa nchi na
pengine hata vyama vya siasa vya
upinzani. Kiongozi wa namna hii ni mtu hatari kwa amani na
maendeleo ya nchi
yetu.
(5) Kukubali
mabadiliko.
Mtu yeyote ambaye anaogopa
mabadiliko
chanya ni mtu hatari maana bila mabadiliko ya kimfumo na
kifikra nchi yetu haiwezi kupata
maendeleo ya kweli
kwa zama hizi mpya. Rasimu
ya Pili ya
Madadiliko ya Katiba kwa mujibu wa Jaji Warioba ikipitishwa
italeta mabadiliko
makubwa ya kimfumo na kiuongozi
na hivyo maendeleo
makubwa nchini. Lakini kwa
jinsi Sitta alivyokimbilia
kubadilisha
kanuni za Bunge Maalum la
Katiba katika awamu hii ya pili
inadhihirisha wazi
kuwa amedhamiria kabisa kukwamisha kwa makusudi
mabadiliko chanya katika nchi yetu ambayo yangeletwa
na Katiba Mpya
iliyotokana na maoni ya wananchi. Hii inadhihirisha
kwamba Sitta anakumbatia
uafidhina na
waafidhina wanaodhani kuwa wao
ni wakubwa
kuliko nchi yetu.
(6)
Hana huruma kwa wananchi
Sitta anajuwa wazi kwamba Katiba
Mpya
itakayokubalika na kuheshimiwa na umma mpana wa
wananchi haiwezi kupatikana bila
maridhiano ya kitaifa. Lakini
tumemuona
aking'ang'ania Bunge
Maalum la Katiba
liendelee hata pale wajumbe
kadhaa wa
Bunge hilo akiwepo Naibu Waziri wa Fedha
Mwigulu Nchemba alipoinuka kwa ujasiri
akamshauri kwamba tathmini
ifanyike kwanza kuona
kama theluthi mbili inayotakiwa
kupitisha vifungu vya Katiba hiyo inafikiwa.
Endapo haifikiwi Bunge lisitishwe maana ni
likiendelea ni sawa na kubariki
kupoteza mabilioni ya
fedha za kodi za wananchi ambao wanakabiliwa na hali
duni ya maisha. Yeye
Sitta kwa
ubabe alishupaa na kusema theluthi inayotakiwa ipo na walioko nje watakuja tu.! Je kama ikibainika theluthi hiyo haipo na
wasiokuwepo wasipokuja atalipa fedha za umma ambazo kila
mjumbe wa Bunge hilo Maalum la
Katiba
anayehudhuria kikao cha
sasa atakuwa ameweka mfukoni mwake zaidi ya
shilingi
milioni 25 ili hali wananchi wengi wakiwa hawana hata uwezo
wa kula milo miwili
kwa siku?
Hivyo, sisi wananchi tunapotafakari
tunaona kwamba endapo
nchi yetu itakuwa imekwama kupata
Katiba Mpya iliyotokana na maoni ya wananchi,
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la katiba Samweli Sitta
ndiye wa kubebeshwa
lawama zote .
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
On Monday, August
11, 2014 1:01 PM, Emma Kaaya
<emmakaaya@gmail.com> wrote:
Ama kweli,
ukistaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni! Kama unadhani
vigogo wa EPA ni mafisadi peke yao, basi ulikuwa hujamfahamu
Spika wa Bunge SAMUEL JOHN TEGEZA SITTA ! Ukimsikiliza
anapoongea unaweza kuamini kwamba kiongozi huyo wa Bunge ni
msafi kutokana na umahiri wake wa kujivalisha sifa kemkem
– Mr Misifa. Unakumbuka hivi karibuni alivyomtukana Naibu
Spika eti hawezi kusimamia mambo nyeti mpaka awepo yeye
mwenye Bunge? ! Kisa nini? Kupenda sifa na kumdhalilisha
mwenzake mbele ya umma, halafu bado anaendelea kuliita Bunge
eti ni chombo cha kidemokrasia!
Tumebaini kwamba Sitta amekuwa akijimiminia sifa
nyingi ili kulinda ufisadi anaoufanya usigundulike katika
jamii yetu. Ngoja nikupe tone tu la madhambi yake kwa umma
ili uone ni hatua gani utachukua, na ili na yeye ajipime kwa
nafasi yake. Angalia uchafu
huu:-
- Anatumia vibaya fedha za umma. Amekuwa akitumia
msaidizi wake kuchota mapesa kwa kisingizio kuwa ni masurufu
ya safari za ndani na nje ya nchi. Kila safari ya siku moja
ndani ya nchi huchukua shilingi Milioni tano (5,000,000/=),
na kila safari ya siku moja nje ya nchi huchukua shilingi
Milioni Kumi na Tano (15,000,0000/=). Ameshindwa kufanya
marejesho ya masurufu (imprest) hayo, licha ya kupeleka
risiti kadhaa za kughushi/za uongo kwa Mhasibu Mkuu wa Ofisi
ya Bunge. Mpaka sasa anadaiwa jumla ya shilingi Milioni
sitini (60,000,000/=) za masurufu.
- SITTA hupeleka risiti za uongo kwa Mhasibu
Mkuu, zikionesha madai kutoka Oysterbay Pharmacy ya Shilingi
Milioni Mbili ( 2,000,000/= ) aliyotumia kwa tiba kila
wiki.
- Amekuwa akilazimisha hawara yake wa Hospitali
ya Aga Khan naye alipwe posho kama wabunge anapokwenda naye
Dodoma. Kwa mfano, hawara huyo alilipwa 'per diem'
kuanzia tarehe 13/12/2007 hadi tarehe 31/01/2008 ( Siku
50). Huo ni Ufisadi mkubwa!
- Anaye kimada wake mwingine anayekwenda kwa jina
la ASIA ambaye anaishi nyumba Na. 111 karibu na Mahakama ya
Ardhi Upanga na amezaa naye. Huko mtaani kwao kimada huyo
hujiita mama SITTA, na ni dada yake aliyekuwa Mwenyekiti
Mtendaji wa iliyokuwa Tume ya Kurekebisha Mashirika ya Umma
(PSRC). Mwanamke huyo muda wote hutumia gari la Ofisi ya
Bunge STK 232 Toyota RAV 4.
- Pia anaye kimada mwingine (jina limehifadhiwa)
ambaye anaishi kinondoni ( Livingstone), mtaa wa Honolulu
katika nyumba ya kupanga inayomilikiwa na dada yake Kawawa.
Nyumba hiyo inatazamana na Nyumba Na. KH.MK/No. 337 katika
mtaa huo huo. Kimada huyo hutumia gari ya kiofisi ya Spika
mwenyewe STK 3002.
- Vimada wote hao hupata huduma za maji na umeme
kwa gharama za Ofisi ya Bunge. Kuna kipindi mke halali wa
Spika, aliwahi kulalamikia
hali hiyo. Kuna siku maji yalikatika nyumbani, mke wa Spika
akaomba apelekewe ' bowser' la maji na Ofisi ya Bunge.
Ohooo! Watekelezaji wakapeleka maji kimakosa kwa kimada.
Mama Sitta akashtukia dili.
- Kuna taarifa kwamba mnamo Mwezi Oktoba 2007,
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iligundua
mapungufu makubwa katika matumizi ya fedha yaliyofanywa na
Spika SITTA. nimedokezwa kuwa Spika aliwanyamazisha wajumbe
wa kamati hiyo, ambapo aliwatishia kutowapatia posho na
safari za nje kama wangeyafumua mapungufu yake hadharani!
Hapo inaonesha kuwa wajumbe hao walipewa
rushwa!!
- Kama JK anataka viongozi wa kisiasa na wa
serikali watenganishe biashara na uongozi wa ku –
'sacrifice' kimojawapo, hilo litakuwa gumu kwa sababu
Sitta alipokuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Kituo cha cha
Uwekezaji nchini (TIC) alitumia nafasi hiyo kuingia ubia na
wafanyabiashara wengi wa Kigeni. Je, Wizara ya Maliasili na
Utalii inatambua kuwa Spika ana hisa kwenye kampuni moja ya
Kichina inayosafirisha nagogo licha ya marufuku
yaliyowekwa?!
On Sunday, August 10, 2014 7:03:29 PM UTC+3, Abdalah Hamis
wrote:SITTA AMEPUNGUKIWA SIFA
SITA ZA UONGOZI
Watanzania
tuna bahati kubwa maana kwa kupitia
Bunge Maalum la Katiba angalao tumeweza kufahamu vema
tabia
ya Mwenyekiti wa Bunge Maalum la
Katiba Samweli Sitta. Katika kutekeleza
majukumu yake kwenye Bunge hilo Sitta amejibainisha wazi
kuwa anapungukiwa sifa
SITA alizotakiwa kuwa nazo kiongozi yeyote
katika nchi yetu ikiwa ni pamoja na
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la
Katiba. Sitta amepungukiwa sifa sita
zifuatazo.
(1)
Uwezeshaji
wa maridhiano
Samweli
Sitta ametudhihirishia kwamba hana ujuzi wala dhamira
ya kujenga maridhiano pale watu
wanapotofautiana. Tumeona wazi kuwa ameshindwa kujenga
maridhiano miongoni wa wajumbe wa Bunge Maalum la
Katiba kama
alivyofanya Jaji Joseph Sinde Warioba kwenye Tume ya
Mabadiliko ya Katiba. Hii ni
ishara kwamba Sitta akipewa uongozi wa nchi ataipasua nchi
vipande
vipande hata kama angeweza kuepuka kwa
kujifunza kutoka kwa kiongozi
aliyemtangulia. Kwa mfano angeweza
kujifunza kutoka kwa kiongozi wetu mahiri na
mzalendo wa
ukweli, Jaji Joseph Sinde Warioba ambaye
aliweza kujenga maridhiano miongozi wa wajumbe wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba.
Hakuna ubishi kwamba wajumbe wa Tume ya
Warioba waliingia kwenye tume hiyo wakiwa vipande vipande
maana walikuwa na
itikadi tofauti za kisiasa, imani tofauti za dini na hata
viwango tofauti vya
uelewa wa masuala yanayohusu nchi yetu.
Lakini wote waliweza kufanya kazi
kubwa tena kwa wakati na iliyopokelewa
kwa kishindo cha furaha na umma wa Watanzania.
Tume iliweza kufanya kazi hiyo kwa sababu bila shaka
Mwenyekiti wake
hakuwa mbabe. Akijinyenyekeza akamsikiliza kila
mjumbe na kujifunza kutoka
kwao na hivyo akafanikiwa kujenga muafaka na
ndipo tume
ikaweza kujinyenyekeza kwa wananchi ili
kusikiliza wananchi wanataka nchi yao iendeshwe
vipi. Baada ya kukusanya maoni tume iliweza
kuyachakata
na kuandika Rasimu kwa maridhiano tena
bila kupiga kura. Hivyo, tume iliweza kutoa mfano wa kuigwa
kwa umma kwamba MARIDHIANO yanawezekana na yanaweza
kujengwa katika kila hatua ya mchakato
wa kuandika Katiba Mpya.
Lakini baada ya
Rasimu kufikishwa katika Bunge
Maalum la Katiba na Samweli Sitta kukabidhiwa kazi ya
kuongoza Bunge hilo kuijadili na
kuipitisha Rasimu hiyo, badala ya kuhakikisha kuna
MARIDHIANO baina ya wajumbe
yanakuwepo, tumeshuhudia akikumbatia ushabiki wa
kivyama, ubabe na unafiki na mwishowe baadhi ya
wajumbe wamesusia
mchakato na wamekataa kurejea Bungeni. Tena
anajinasibu kwamba Katiba itaandikwa hata
kama baadhi ya wajumbe hawapo Bungeni. Lo! laiti
angelijua kwamba kiongozi wa ukweli angeugua moyoni
hata kama ni
mjumbe mmoja tu ameudhika na kukataa
kushiriki kazi hiyo muhimu maana Katiba ni MARIDHIANO
au MUAFAKA
wa Kitaifa. Laiti pengine hajui
kuwa mbabe na mnafiki hawezi
kuongoza timu ikafikia maridhiano. Anapaswa kujua kwamba
hata mchunga
kondoo wa ukweli
ikitokea kondoo wake mmoja amebaki
porini kitamuuma sana na atarudi porini kumtafuta hata kama
kundi la kondoo
wengine elfu moja litakuwa limerejea kwenye zizi.
(2)
Ujasiri wa
kutetea nchi na wananchi
Kupitia
kazi muhimu aliyopewa ya kuongoza Bunge
Maalum la Katiba tumeshuhudia jinsi anavyoweka mbele maslahi
yake binafsi na ya
chama chake badala ya maslahi ya wananchi na
nchi yetu, TANZANIA. Mfano
alivunja kanuni za Bunge Maalum la Katiba na kumpotosha
Rais
wetu kutoa maoni yake Bungeni badala
ya kufanya kazi yake kama mkuu wa nchi ya kufungua
Bunge hilo. Hapa Sitta alipaswa
kuonyesha ujasiri kwa kumshauri Rais kufanya
alichotakiwa kwa wakati husika. Kwa
kutokuwa na ujasiri wa kumshauri Rais kwa upendo na
ukweli ameweka wazi kwamba hana chembe ya
ujasiri wa kutetea wananchi na nchi yetu. Amedhihirisha
kwamba yeye anaweka
mbele zaidi maslahi yake binafsi na
dirisha lake analopitia kutafuta uongozi (chama chake
cha siasa)
naanasahau kwamba Tanzania ni kiubwa kuliko sisi
sote.
(3)
Kulinda maadili na utamaduni wa Mtanzania
Kwa
kipindi chote alichoongoza Bunge Maalum la Katiba
tumeshuhudia jinsi alivyokaa
kimya huku baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba
wakirushiana
matusi ya nguoni. Aidha alikaa
kimya pia hata pale baadhi ya wajumbe wa Bunge hilo
walipomtukana, kumbeza na
kumdhihaki Mwenyekiti wa Tume ya mabadiliko ya Katiba Jaji
Joseph Sinde
Warioba. Watu makini wanaamini
kwamba waliomtukana na kumbeza
Jaji Warioba waliwabeza na kuwatukana
pia Watanzania wote, Tanzania na Rais
wetu aliyeiteua tume hiyo kufanya kazi. Bunge Maalum la
Katiba limeacha sifa
mbaya sana kwa jamii kuwa viongozi wanawake na
wanaume wanaweza kusimama hadharani na
kuporomosha
matusi ya nguoni. Lakini ni wazi kuwa kama Sitta angekuwa ni
mtu anayejali na
kuthamini maadili ya taifa letu, angalao angekemea
wajumbe waliokuwa wanaporomosha matusi na
hata ikibidi kuwachukulia hatua za kisheria.
4) Kuheshimu uhuru
wa kujieleza
Tumeshuhudia
Samweli Sitta akivinyooshea kidole
vyombo vya habari hasa televisheni na redio za
kitaifa kwa kutangaza midahalo kuhusu Rasimu ya Pili
ya
Katiba Mpya. Alijidhihirisha zaidi hasa
pale Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipotokeza hadharani
kusahihisha
upotoshaji mkubwa uliokuwa
unafanywa kimkakati na wahafidhina wa mabadiliko
kuhusu Rasimu ya
Pili ya Katiba Mpya. Mtu
huyu akipewa uongozi wa nchi siyo tu kwa kukosa uvumilivu
katika kukuza
demokrasia, ataweza kuvifungia vyombo
vya habari ambavyo vitakuwa vinakosoa uwajibikaji wa
serikali, bali pia hata kufuta usajili
wa mashirika ya kijamii yatakayokosoa utendaji wa viongozi
wa nchi na
pengine hata vyama vya siasa vya
upinzani. Kiongozi wa namna hii ni mtu hatari kwa amani na
maendeleo ya nchi
yetu.
(5) Kukubali
mabadiliko.
Mtu
yeyote ambaye anaogopa mabadiliko chanya ni mtu hatari maana
bila mabadiliko ya
kimfumo na kifikra nchi yetu haiwezi
kupata maendeleo ya kweli kwa zama hizi mpya.
Rasimu ya Pili ya Madadiliko ya Katiba kwa mujibu wa Jaji
Warioba
ikipitishwa italeta mabadiliko makubwa ya kimfumo na
kiuongozi na
hivyo maendeleo makubwa nchini. Lakini kwa jinsi Sitta
alivyokimbilia kubadilisha kanuni za
Bunge Maalum la Katiba katika awamu hii ya pili
inadhihirisha wazi
kuwa amedhamiria kabisa kukwamisha kwa makusudi
mabadiliko chanya katika nchi yetu ambayo yangeletwa na
Katiba Mpya
iliyotokana na maoni ya wananchi. Hii inadhihirisha
kwamba Sitta anakumbatia uafidhina na
waafidhina wanaodhani kuwa wao ni wakubwa
kuliko nchi yetu.
(6)
Hana huruma kwa wananchi
Sitta
anajuwa wazi kwamba Katiba Mpya itakayokubalika na
kuheshimiwa na umma mpana wa
wananchi haiwezi kupatikana bila
maridhiano ya kitaifa. Lakini tumemuona
aking'ang'ania Bunge Maalum la Katiba
liendelee hata pale wajumbe kadhaa wa
Bunge hilo akiwepo Naibu Waziri wa Fedha
Mwingulu Mchemba alipoinuka kwa ujasiri akamshauri
kwamba tathmini ifanyike kwanza kuona
kama theluthi mbili inayotakiwa
kupitisha vifungu vya Katiba hiyo inafikiwa.
Endapo haifikiwi Bunge lisitishwe maana ni likiendelea
ni sawa na kubariki kupoteza mabilioni ya
fedha za kodi za wananchi ambao
wanakabiliwa na hali
duni ya maisha. Yeye Sitta kwa
ubabe alishupaa na kusema theluthi inayotakiwa ipo na
walioko nje watakuja tu.! Je kama ikibainika
theluthi hiyo haipo na
wasiokuwepo wasipokuja atalipa fedha za umma ambazo kila
mjumbe wa Bunge hilo Maalum la Katiba
anayehudhuria kikao cha sasa atakuwa ameweka mfukoni mwake
zaidi ya shilingi
milioni 25 ili hali wananchi wengi wakiwa hawana hata uwezo
wa kula milo miwili
kwa siku?
Hivyo, sisi
wananchi tunapotafakari tunaona kwamba
endapo nchi yetu itakuwa imekwama kupata
Katiba Mpya iliyotokana na maoni ya wananchi,
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la katiba Samweli Sitta ndiye wa
kubebeshwa
lawama zote .
On Saturday, August 9, 2014 11:40:01 AM UTC+3, Method
Francis Ngonge wrote:Du! kwa sifa hizo ina maana sitta ni Majanga?.
Binafsi namuhurumia sana mzee huyu jinsi wenziye
walivyomfanya mbuzi wa kafara kwa kumpendekeza kuwa
mwenyekiti wa bunge maalumu la katiba lenye mazabezabe na
mangumashi tupu.
Hivyo watu watakuwa na reference ya kushindwa kwake
kusimamia mambo ya msingi hivi karibuni. Maskini Sitta kweli
zigo zito mtwike mnyamwezi lakini hili ni zito kupindukia
sijui kama safari yake ya kuelekea ikulu itafika mwisho
2014-08-08 16:43 GMT+03:00 Telesphor Magobe <tma...@gmail.com>:
Pia kama ilivyo kwa mgema, aliposifiwa ametia
maji!
2014-08-08 14:40 GMT+03:00 'Eberi Manya' via
Wanabidii <wana...@googlegroups.com>:
Huyo
Sitta ni layman. Hana jipya..
'Godfrey Ngupula' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com> wrote:
>Pia, anajali sana maslahi binasi..
>
>
>
>On Friday, 8 August 2014, 11:20, Jovias Mwesiga <ngo...@gmail.com> wrote:
>
>
>
>Weka kabisa kuwa alichapwa kwa kuendesha huo mgomo lol
>On Aug 8, 2014 3:08 AM, "Emma Kaaya" <emma...@gmail.com> wrote:
>
>
>>
>>-
Mwanafunzi
>wa Kwanza kuongoza maandamano ya chuo kikuu cha dar es
salaam mpaka ikulu mwaka
>1966.
>>-
Amekua
>kiongozi kuanzia mwaka 1970, kwenye nafasi za waziri ,
mbunge na mkurugenzi .
>>-
Akiwa
>spika wa bunge alijenga nyumba ya mil 500.
>>-
Mkewe
>Mhe Magret sitta aliwahi kukamatwa na tukukuru kwa kutoa
rushwa ili ashinde
>ubunge .
>>-
Toka
>amekuwa waziri wa afrika mashariki nchi imetengwa kwenye
miradi mingi ya
>kimaendeleo inayofanywa nan chi jirani .
>>-
Hata
>mafanikio yoyote ya kujivunia kitaaluma ya sheria ambayo
ndio aliyosomea chuoni
>.
>>-
Hajawahi
>kuandika wala kuchapa kitabu chochote .
>>-
Hashiriki
>michezo wala shuguli za kijamii zaidi ya dini yake ya
kilutheri .
>>-
Ana
>umri wa miaka zaidi ya 65 , umri wa kustaafu kazi za
umma ni 60 .
>--
>>Send Emails to wana...@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+...@googlegroups.
com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed
to the Google Groups "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com .
>>For more options, visit https://groups.google.com/d/ optout.
>>
>--
>Send Emails to wana...@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+...@googlegroups. com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com .
>For more options, visit https://groups.google.com/d/ optout.
>
>--
>Send Emails to wana...@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+...@googlegroups. com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com .
>For more options, visit https://groups.google.com/d/ optout.
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/d/ optout.
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/d/ optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment