Wednesday, 13 August 2014

Re: [wanabidii] Urais 2015: Kigwangalla Kutangaza Nia kwa Staili ya Aina Yake!

Bado tu mnajadiliana kujua wasindikizaji wanakuja kwa style gani? Urais ni wa Edo

'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ndaki;
Kumbe ni suala la kupewa tu na sio kupambana na kushindana kwa kuzingatia vigezo na masharti??
 
Reuben



From: "hosea.ndaki@gmail.com" <hosea.ndaki@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, August 13, 2014 8:56 AM
Subject: Re: [wanabidii] Urais 2015: Kigwangalla Kutangaza Nia kwa Staili ya Aina Yake!

Kwanini tusifikirie dr,shain kugombea urais wa muungano? Kwa makamu wa rais kwa miaka kumi, rais wa zanzibar miaka mitano na ni kiongozi pekee asiyekuwa na mawaa na kaishi na upinzani pasipo mikwaruzo. Urais wa zanzibar apewe dr.mwinyi.

Ila safari hii makamu wa kwanza awe malim saif na makamu wa pili atoke bara.



----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: mngonge franco <mngonge@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, August 13, 2014 8:49:15 AM GMT+0300
Subject: Re: [wanabidii] Urais 2015: Kigwangalla Kutangaza Nia kwa Staili ya Aina Yake!

Hadi uchaguzi ufike tutayasikia na kuyaona mengi


2014-08-12 23:46 GMT+03:00 Zulqarnayn Alexander <
zulqarnayn.alexander@gmail.com>:

>  Kigwangalla Kutangaza Nia ya Kuwania Urais 2015 kwa Staili ya Kipekee!
>
> Na Mwandishi wetu
>
>
>
>
>
> Kufuatia habari zilizozagaa kwenye duru mbalimbali za kisiasa, vyumba vya
> habari na mitandao ya kijamii, habari zinasema kuwa, Mwenyekiti wa Kamati
> ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, ambaye pia ni
> Mbunge wa jimbo la Nzega, Mkoani Tabora, Dkt. Hamisi Kigwangalla, ambaye
> katika nyakati tofauti tofauti amekuwa akitajwa kuwania Urais wa Jamhuri ya
> Muungano wa Tanzania, mwaka 2015.
>
>
>
> Japokuwa amekuwa akikanusha habari hizi mara kadhaa kwenye vyombo vya
> habari alipohojiwa, uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa ameonekana
> kwenye maeneo kadhaa akifanya mambo yanayoashiria uwepo wa mkakati
> uliojificha wa kutafuta namna ya kuungwa mkono kwenye safari ya kuelekea
> nyumba nyeupe, Magogoni.
>
>
>
> Mwenyekiti huyo wa Kamati nyeti ya TAMISEMI amekuwa akitajwa kuwa  chaguo
> la vijana wengi nchini kwa namna alivyokaa mstari wa mbele ndani na nje ya
> Bunge kutetea maslahi ya vijana hususan mikakati ya kukuza ajira kwa
> vijana, utetezi kwa wamachinga na mama ntilie, pia amekuwa akiungwa mkono
> na makundi mbali mbali kutokana na aina ya siasa zake kuwa kila mara
> amekuwa akitetea wanyonge na wanaokandamizwa kwa nguvu kiasi cha kufikia
> kuwekwa chini ya ulinzi mkali wa polisi ili kutuliza ghasia: mfano wa
> makundi hayo ni pamoja na kundi kubwa la wachimbaji wadogo wadogo na
> makundi makubwa ya kada za watumishi wa umma kwenye sekta za elimu na afya.
>
>
>
> Makundi mengine nyeti kwenye jamii ambayo kwa nyakati tofauti tofauti
> yamekuwa yakitoa kauli zilizoashiria kumuunga mkono Mwenyekiti huyo

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment