Wednesday, 13 August 2014

Re: [wanabidii] UKAWA KUFANYA MAANDAMANO NCHI NZIMA YASIYOKUWA NA RATIBA WALA KIKOMO

UKAWA hawana mamlaka ya kutuandikia Katiba ya Tanganyika huo utakuwa wendawazimu. Siyo Watanzania wote wanashabikia UKAWA au Tanzania Kwanza. Turuhusu tusifungamanishwe na kundi lolote

2014-08-13 13:51 GMT+03:00 Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>:
maandamano ili wazee wapate bargaining power? count me out

2014-08-13 13:30 GMT+03:00 Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com>:

Sounds awkward,  but I think it can be done.

Let's go Tanganyika.

On 12 Aug 2014 17:16, <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
Ni wakati sasa ukawa kuandika katiba ya tanganyika, zanzibar haikuhitaji consultation ya bunde la muungano wala maoni kutoka bara katika kuandika katiba wala kuunda serikali ya umoja wa kitaifa (SUK) ndo maana lipumba  hajahusishwa.

Tuandae rasimu yetu tuendeshe uchaguzi wetu na bunge la tanganyika lianze kazi maramoja sambamba na baraza la uwakilishi la zanzibar. Nasie tuwe na wawakilishi kama ilivyo zanzibar. CCM wataendesha serikali ya muungano na ukawa waendeshe serikali ya tanganyika.

 ----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: Fakhi Karume <fkarume@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, August 12, 2014 6:58:49 AM GMT-0700
Subject: [wanabidii] UKAWA KUFANYA MAANDAMANO NCHI NZIMA YASIYOKUWA NA RATIBA WALA KIKOMO

UKAWA KUFANYA MAANDAMANO NCHI NZIMA KUANZIA WIKI IJAYO YASIYOKUWA NA RATIBA
WALA KIKOMO.

Mhe James Mbati akisoma Tamko la UKAWA kwa niaba ya Mchumi wa Kimataifa
Prof I brahim Lipumba na Freeman Mbowe "Maandamano Nchi nzima na Mikutano
ya Hadhara kwa ajili ya kuhamasisha watu kupinga matumizi mabaya ya Fedha
za Wananchi katika Mchakato wa Bunge Maalum la Katiba."

Mhe; Mbatia ameendelea kusema "Baada ya kukamilika kwa Mazungumzo
yanayoendelea na CCM wiki hii.Hata hivyo Ukawa wamesema,kwa kadiri
mazungumzo yanavyoendelea hakutakuwa na tija hivyo ameamua kuweka wazi azma
ya kufanya maandamano"

Professa Lipumba amerudia WITO wake wa kuwataka VIJANA kuanza mazoezi ya
VIUNGO kwajili ya ukombozi.

Freeman Mbowe amesema NGUVU ya UMMA sasa kutumika ili kuleta UKOMBOZI
hakuna kulala mpaka kieleweke kuanzia wiki ijayo.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment