These blanket statements don't mean anything!
2014-08-14 1:15 GMT+03:00 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Lissu uishie hapo hapo kwenye ubungu kaka, ndoto zako za urais hizo zibakie kua ndoto za alinacha, ukigombea labda utapata kura 3......huna sifa hata tone za urais mzee, una hasira,jazba na unapenda conflicts...watanzania hawataki mtu mwenye sifa hizo esp kwenye institution muhimu kama hii....ila chukua form ili mh Lowasa asipate kupingwa kama wewe ndio utapitishwa.......hauna madhara kwake saana utaishia kuibua kashfa mfu while yeye anaweka strategic plan....aaah sorry gombea lissu ni haki yako
Duh namie ntatangaza kugombea kwa private candidate aisee, kila mtu anautaka urais nchi hii, hivi ni kwanini? is not such cheap desk to stay jamani
--------------------------------------------
On Wed, 8/13/14, Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Tundu Lissu: Nitawania Urais kupitia CHADEMA 2015
Date: Wednesday, August 13, 2014, 4:51 AM
Kwenye ngazi ya
Ubunge tu amethibutu kumpa dadake viti maalum je urais
itakuwaje ?
On Wednesday, August 13, 2014 2:48:50 PM UTC+3, Method
Francis Ngonge wrote:Bariki
Pamoja na kwamba hatuna uhakika kama habari hiyo ni ya
kweli lakini staili waliyotumia wengine siyo sawa na ya
Lissu.
2014-08-13 14:18 GMT+03:00 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>:
Tatizo ni double standards na huu ndiyo
unafiki wa Vyama vya Siasa. Kwa wengine wanasemwa wametumwa
ila wengine hawatumwi hahah kazi ipo kwa kweli na Tanzania
yetu
2014-08-13 14:12 GMT+03:00 mngonge franco <mngonge@gmail.com>:
Kwa vyovyote vile, iwe ya kutungwa au ya
kweli, mimi ninamkubali sana Lissu anafaa kuwa mkuu wa nchi
kama hii ya kwetu. Ninamuona kuwa na sifa zote za kugombea
nafasi hiyo achilia mbali akina Shibuda, Zitto na wengineo
ambao kutangaza kwao kuna picha nyingine nyuma yake
2014-08-13 13:59
GMT+03:00 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>:
Hii habari ya kutungwa
2014-08-13 12:26
GMT+03:00 Fakhi Karume <fkarume@gmail.com>:
NA ELIZABETH HOMBO, Dar es Salaam
MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu
(Chadema), kwa mara ya kwanza amefunguka na kusema ana nia
ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 iwapo chama
chake kitaridhia.
Ametoa kauli hiyo ikiwa ni miaka miwili tangu
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema),
alipojitokeza hadharani akisema kwamba hatawania tena ubunge
katika jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu ujao na badala yake
atajitosa kwenye urais.
Hata hivyo, kauli hiyo ya Zitto ilisababisha
mvutano mkubwa kati yake na viongozi wenzake ndani ya chama
hicho, huku mmoja wa waasisi wake, Edwin Mtei, akipinga
uamuzi wa mwanasiasa huyo na akidai hakuutoa wakati
mwafaka.
Mtei alisema hatua ya Zitto kutangaza kutaka
kuwania urais wa mwaka 2015 haikuwa na shida kwa sababu
alionyesha hisia zake lakini alikuwa ikitengeneza mzozo
ndani ya chama.
Mwanasiasa huyo alimshauri Zitto kuhakikisha
anakiunganisha chama na si kukigawa na kukivuruga.
Akizungumza katika mahojiano maalumu na MTANZANIA
mwishoni mwa wiki iliyopita, Lissu alisema ana uzoefu wa
uongozi hivyo yuko tayari kuwania urais iwapo vikao vya
chama chake vitaridhia.
"Mimi ni Mwenyekiti wa Movement For Change
Kanda ya Kati, pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya chama, vile
vile ni mwanasheria mkuu wa chama.
"Kwa kuwa nina uzoefu mzuri wa uongozi,
nitakuwa tayari kugombea urais iwapo vikao vya chama
vitaamua," alisema Lissu.
Huku akitabasamu, Lissu alimtania mwandishi wa
habari hizi na hata kumhoji kama kauli yake itapewa nafasi
ya juu katika gazeti lake.
"Tena hiyo kesho inaweza kuwa headline eeh!"
alisema Lissu huku akitabasamu.
Lissu alisema kazi ya ubunge imempa fursa ya
kuwatumikia wananchi katika kutatua matatizo yao, kuibua
hoja na masuala yanayolitatiza taifa.
Alisema katika kipindi chote cha ubunge, pia
alitumia utaalamu wa sheria kuboresha mfumo mzima wa ubunge
ikiwa ni pamoja na kulifanya Bunge la 10 la Jamhuri ya
Muungano kuwa bora na machachari kuliko Bunge la Tisa.
Lissu, ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Sheria na
Katiba, alisema hana hofu na watu wanaotaka kugombea ubunge
katika Jimbo la Singida Mashariki ambako aliwakaribisha kwa
mikono miwili.
"Sina wasiwasi. Ninawakaribisha sana Singida
Mashariki waje tupambane kwenye uchaguzi mkuu unaokuja,"
alisema.
Akizungumzia uamuzi huo wa Lissu, Mwenyekiti wa
Chadema, Freeman Mbowe, alisema kauli ya mwanasiasa huyo
haina tatizo.
"Sioni tatizo la Lissu kutangaza nia kwa sababu
kila mtu anao uhuru wa kutamka na kugombea urais," alisema
Mbowe.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment