Sunday, 10 August 2014

Re: [wanabidii] SAID A ARFI AMCHANA CHANA TUNDU LISSU

Muhingo, ni sahihi haina maana kushambuliana na kama kuna ya kuzungumza basi iwe faragha, arfi ni mzee mwenye msimamo wa kipekee ni vizuri wakae nae kwa staha na faragha,

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: <hamisznz@gmail.com>,<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, August 10, 2014 8:40:47 PM GMT+0000
Subject: Re: [wanabidii] SAID A ARFI AMCHANA CHANA TUNDU LISSU

Nataka kufikiri kuwa wajumbe wa UKAWA waliorudi Bungeni kama Arfi wamerudi kutetea hoja yao bungeni. Kwamba wana msimamo wa watanzania wa serikali 3. Na kuwa watakapolazimika watatoka nje na kuungana na ambao hawajarudi. Kwa hiyo wasiendelee kushambuliana.

----------
Sent from my Nokia Phone

------Original message------
From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, August 10, 2014 9:00:41 AM GMT-0700
Subject: [wanabidii] SAID A ARFI AMCHANA CHANA TUNDU LISSU

Najua unayo mamlaka ya kuhariri lakini nitapenda isomeke kama nilivyoandika
hapo juu.

Katika gazeti lako la leo Mwananchi August 09 ukarasa wa pili

"wajiandae kuwa Wabunge wa Mahakama imeandikwa na Julias Mathias " katika
habari hio nami nimetajwa kwa jina napenda kumkumbusha Lissu kama anapenda
kusema akili yake isiwe ya kusahau ni hatari kwa Kiongozi na wala hataepuka
kuitwa mropokaji naomba arejee kauli yake iliyoandikwa pia na gazeti lako
la 27.06.2014

Nanukuu "......kutoruhusiwa kushiriki shughuli za kambi hio......""

Lissu anapata wapi uhalali wa kuhoji matendo na maamuzi yangu wakati
wamenitenga kinyume na kanuni za kambi rasmi hivi Lissu ni nani anapoka
mamlaka na kuachiwa katika suala hili angewaachia wenye akili na busara
kushughulikia na kulisemea na si Lissu.

Aidha kukaa kimya si ujinga ni busara tu lakini si kwa kila jambo utaacha
kusema huyu Lissu anapolazimisha kwamba hatushiriki mpaka uongozi wa BMK
watoe ufafanuzi wa kifungu cha 25 cha sheria ya mchakato wa Katiba sura ya
83 anajidanganya na kuwadanganya Watanzania Bunge kazi yake kutunga Sheria
na chombo cha Kikatiba cha kutafsiri sheria ni Mahakama ningemuelewa vyema
kama Lissu Mwanasheria angetushauri kwenda Mahakamani kusimamisha Bunge
hili kupata tafsiri ya sheria na sio kushawishi kutoka.

Mwisho hivi huyu Lissu haoni hata chembe ya aibu na kuheshimu maoni ya watu
na viongozi wa dini kututaka kurudi Bungeni lakini ameweza kusema hadharani
kuwajibu viongozi wa BAKWATA mbona hakufungua mdomo wake kuwajibu viongozi
wa Makanisa au la Maaskofu Katoliki Tanzania Mimi nawaheshimu sana viongozi
hawa nimewasikia na kuwatii

Lissu weka akiba ya maneno usiwe mropokaji Tanzania inahitaji viongozi
makini waliotulia

Said A Arfi (MB)

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment