Saturday, 2 August 2014

Re: [wanabidii] Re:Hasara na faida za ukawa kutorudi bungeni tar 5/8/15

Hosea,
Zitto hakubaliani na maoni haya.
em

2014-08-02 14:27 GMT-04:00 <hosea.ndaki@gmail.com>:
Ngupula, faida nyingine 1.UKAWA watakuwa wamoja zaidi kwa kuwa na permanent common interest, hii itawafanya washikamane zaidi.

2. Hawatakuwa sehemu ya upumbavu uliokuwa unaendelea hivyo wananchi watawaona ni watu wenye hekima zaidi.

3. Watakuwa wameokoa fedha nyingi za walipakodi hivyo kuonyesha uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma.

4. Watatoa mwanya wa katiba bora kuandikwa siku za usoni kwani hii haitaleta sura ya kitaifa, itaonekana ni katiba ya akina makaidi na mkewe, mtikila kingunge maji marefu etc.

Hakuna hasara itakayopatikana labda kwa waosha sura ndo hawataonekana kwenye tv na sidhani kama ukawa wamo.
 ----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, August 2, 2014 9:01:20 PM GMT+0300
Subject: [wanabidii] Re:Hasara na faida za ukawa kutorudi bungeni tar 5/8/15

Wengi wetu tunajua ukawa wamekataa rasmi kutorudi bungeni. Binafsi nawaelewa kwani hata kama wakirudi bado CCM wataendelea na  mbinu zao za kutaka kuendelea kurasimisha mapendekezo yao katika katiba. Na ukawa wanaona heri hayo yakifanyika wao wasiwepo. Pointi ya pili ni kuwa uwingi wa wajumbe wengi wa CCM unaweza ukatumika vibaya kuzizika interest za wanachi kihalali na ukawa wanaona ni bora kuuepusha uhalali huo wa wao kutokuwepo bungeni..lkn bado sijajilidhisha na faida au hasara za wao kutokuwepo...nakaribisha,tujadili..ngupula

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment