Edson, wakipiga kura ya hapana, itabidi ije rasimu nyingine tatizo litabaki kipeuo cha moja. Ccm wawe makini uchaguzi ni mwakani JK anaweza fanya kama Jerry Rowling wa Ghana. Nawasihi waachane na suala la katiba tuliweke kiporo kwanza hadi tukubaliane namna ya kulifanya kwa utaratibu ulio bora zaidi ikiwemo kumrudisha warioba aweze kutolea ufafanuzi maeneo yenye mkanganyiko.
----------
Sent from my Nokia phone
------Original message------
From: 'Rwambogo Edson' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, August 2, 2014 11:22:29 PM GMT-0700
Subject: Re: [wanabidii] Re:Hasara na faida za ukawa kutorudi bungeni tar 5/8/15
mimi najiuliza hivi ingekuwaje kama hilo suala la serikali tatu lingeachwa kama lilivyo kisha walio wengi bungeni wangepigia kula ya hapana.... kama kila kitu kinaamuliwa kwa kula. je ukawa wangependa mabishano yaendelee mpaka lini? nadhani adui mzuri kumshinda kirahisi ni yule anaetoa hadharani sili zake kama ccm walivyofanya kujitanabaisha mapema nini msimamo wao.
kinacho waghalimu UKAWA hawana watu wanaoweza kujenga hoja za kitaifa na ushawishi wa hiari ili wakubalike bila kutumia nguvu na baadhi ya wabunge wa vyama vingine. tujiulize ukiondoa zito na slaa enzi zao wakiwa pamoja bungeni hoja gani nzito zimeletwa na kambi ya upinzani zikaungwa mkono na bunge zima.
hilo ni tatizo kubwa sana kwa sasa. nadhani chadema ya wabunge watano ilikuwa na hoja nzito na zenye ushawishi ndani na nje ya bunge kuliko chadema ya sasa.
On Saturday, August 2, 2014 9:01 PM, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Wengi wetu tunajua ukawa wamekataa rasmi kutorudi bungeni. Binafsi nawaelewa kwani hata kama wakirudi bado CCM wataendelea na mbinu zao za kutaka kuendelea kurasimisha mapendekezo yao katika katiba. Na ukawa wanaona heri hayo yakifanyika wao wasiwepo. Pointi ya pili ni kuwa uwingi wa wajumbe wengi wa CCM unaweza ukatumika vibaya kuzizika interest za wanachi kihalali na ukawa wanaona ni bora kuuepusha uhalali huo wa wao kutokuwepo bungeni..lkn bado sijajilidhisha na faida au hasara za wao kutokuwepo...nakaribisha,tujadili..ngupula
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment