Hilo halina ubishi kinachojadiliwa ni katiba ya viongozi wa CCM na wala siyo ya wanaCCM au wananchi. Sina uhakika IDD AMIN, ADOLPH HITLER, MSORINI, MOBUTU SESEKO, SADAM, GADAFFI na Wengine wa aina hiyo waliendesha nchi zao kwa katiba za namna gani? Hata hii ya kwetu itaitwa katiba na hao walio madarakani. Kweli watanzania wanaangalia kama misukule lakini ipo siku akili itawarudia na kuamua kukataa kitu ambacho hakikutengenezwa kwa ridhaa yao
2014-08-12 14:17 GMT+03:00 Selemani Rehani <srehani@hotmail.com>:
--Tume ya Warioba ilipendekeza muundo wa shirikisho wa serikali tatu, kinachojadiliwa ni sera ya CCM ya muundo wa serikali mbili!!
Tume haikupendekeza uraia pacha, leo wanajadilia uraia wa nchi mbili kama ilivyopendekezwa katika rasimu ya CCM!!!
Nina hakika na mengine yapo na yatazidi kujitokeza. Ile Rasimu ambayo Chenge alipewa kazi kuongoza timu ya wana CCM kuiandika, ndio inajadiliwa sasa!! na Watanzania wanatazama tu, kama vile wamechukuliwa mizukule!!! ajabu sana.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment