Mjengwa;
Upo sahihi kwa kiasi kikubwa,hii binafsi nimeishuhudia katika uchaguzi mkuu wa Mwaka 2010.
Mahala kama Mbeya na Iringa ambapo CCM walipoteza ilikuwa sababu ya kufanya uhuni kama huu,walipitisha kura za maoni na wananchi wakapitisha watu waliohitaji kuwa viongozi wao lakini majina yaliporudi toka Dom waliochaguliwa na wananchi wapegigwa chini wamerudishwa watu ambao hawatakiwi.
Ndipo Mbeya wakaamua potelea mbali wakachagua Sugu,Iringa wakachagua Msigwa sijui sehemu zingine lakini hii nina uhakika nayo mana nilikuwa katika maeneo hayo.
So its true Braza.
Reuben
From: 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, August 11, 2014 7:53 AM
Subject: Re: [wanabidii] Neno Fupi La Usiku: Kila Kijiji Na Wendawazimu Wake...!
----- Forwarded Message -----![]()
This message is eligible for Automatic Cleanup! (wanabidii@googlegroups.com) Add cleanup rule | More info
--Sawa Majid, lakini kuna mifano ambapo wanakijiji walimchagua kiongozi mjinga ambaye aliahidi kuwaruhusu kufanya watakavyo na hatowalazimisha kuchangia maendeleo wakamuacha yule aliyekuwa mkali kuzuaia uharibifu wa mazingira na uchafuzi na kuhimiza nguvu kazi na michango ya maendeleo. Matokeo baada ya muda wakavuna walichopanda na wakienda vijiji vingine kusaka maji na nyazi, kuni wakifukuzwa au kutozwa fedha kubwa. watoto wao wakitembea 5-10 km kwenda shule na akina mama kuchota maji umbali huo na kubakwa. Kumchagua mwehu au si mwehu kuna prons na cons zake kila upande. ndi maana baada ya uchaguzi kunatakiwa kuwe na capacity building ya viongozi ili wahue jinsi ya kupanga, kusimamia na mipango ya jamii zao, kuhamasisha na kufuatilia shughuli kwa kuzingatia msingi ya good governance.hata ktk jamii kunawengine ni wapotovu tu kwa manufaa binafsi. Ipo hivi hata katika familia. Ego yao inawasumbua.On Sunday, 10 August 2014, 23:30, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:
--
Ndugu zangu,
Kila kijiji kina wanafalsafa wake, na wendawazimu wake pia. Na wanakijiji si wapumbavu. Wanawajua ni akina nani miongoni mwao wenye sifa na uwezo wa kuwaongoza.
Na kama kuna atakayefanya hila, kwa kuwanyima fursa wanakijiji ya kumchagua kiongozi wanayemtaka, basi, kwa wanakijiji hao, watamchagua mwendawazimu miongoni mwao ili awaongoze. Na hapo wanakijiji hao wataonyesha kuwa wao si wapumbavu, bali hao waliowadhania hivyo.
Ni Neno Fupi La Usiku.
Maggid,
Iringa.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment