Saturday, 16 August 2014

Re: [wanabidii] MAJID MJENGWA NI RAIA WA SWEDEN

Fakhi toa ushahidi wako kama wewe kweli raia wa Tanzania kwanini hujatoa taarifa polisi

On 16 Aug 2014 22:55, "Fakhi Karume" <fkarume@gmail.com> wrote:
Mfano Uhamiaji wakikushika utapeleka uthibitisho huo , huo si unaweza kuedit kwa photoshop tu .

Unauhusiano gani na Säkerhetspolisen ?

On Saturday, August 16, 2014 10:50:16 PM UTC+3, fidel80.francis wrote:

Mjengwa umesomeka vyema hawa wanahisi upo ukawa (utani)

On Aug 16, 2014 10:31 PM, "Maggid Mjengwa" <mjengw...@gmail.com> wrote:
Huu Ni Uthibitisho Kwamba Mimi Si Raia Wa Sweden...

Ndugu zangu,
Kuna leo na kesho. Naweka hapa taarifa hizi muhimu . Nimesoma mitandaoni ikipotoshwa kuwa mimi ni raia wa Sweden. Si kweli. Na inathibitishwa hapo juu kuwa hata mwaka huu wa 2014 nimesafiri kwenda Sweden kwa kuomba viza. Anayekwenda kwenye nchi ya uraia wake haombi viza. Hata kama kuna watakaokuja kurudia uongo wa jana, lakini hapa nimeweka ukweli. Naamini kuna watakaokuja kunitetea kwa ushahidi, hata kama sitakuwepo duniani.
Maggid.
Photo: Huu Ni Uthibitisho Kwamba Mimi Si Raia Wa Sweden...    Ndugu zangu,  Kuna leo na kesho. Naweka hapa taarifa hizi muhimu maana kuna leo na kesho.  Nimesoma mitandaoni ikipotoshwa kuwa mimi ni raia wa Sweden. Si kweli. Na inathibitishwa hapo juu kuwa hata mwaka huu wa 2014 nimesafiri kwenda Sweden kwa kuomba viza. Anayekwenda kwenye nchi ya uraia wake haombi viza. Hata kama kuna watakaokuja kurudia uongo wa jana, lakini hapa nimeweka ukweli. Naamini kuna watakaokuja kunitetea kwa ushahidi, hata kama sitakuwepo duniani. Good morning.  Maggid.

2014-08-16 22:28 GMT+03:00 Maggid Mjengwa <mjengw...@gmail.com>:
Ndugu Fakhi,

Kwa vile mpaka sasa umeshindwa kuleta hapa ukumbini uthibitisho wa madai uliyotoa dhidi yangu, basi, kwa kuwasaidia wengine uliowapotosha, nawasilisha hapa uthibitisho wangu wenye ushahidi kuwa mimi si raia wa Sweden. Ujue tu, ulichonituhumu hapa kimeniletea usumbufu, na wewe ni Muungwana, nitapenda nisikie kauli yako.
Maggid.

2014-08-15 11:15 GMT+03:00 Fakhi Karume <fka...@gmail.com>:
Mwenyekiti, itakuwa vema ukaweka wazi kuhusu mgongano wa maslahi. Kuna wakati ulituoneshaga passport yako ya Sweden. Kwa hiyo weka wazi kwanza kama wewe bado ni raia wa Sweden, na imekusaidiaje, na kwa sheria za Sweden vipi unawajibikaje na pale ikitokea mgongano kati ya sheria ya Sweden na ya Tanzania ipi itakayotumika.

Mfano Marekani mtu mgeni (yaani mfano Mtanzania) anapochukua uraia wao analazimika kula kiapo cha utiifu kwa Marekani tu, na kukana wajibu wowote kwa dola zinginezo isipokuwa Marekani.

Kwa hiyo ni wazi kwamba huyu mtu akiendelee kujiita Mtanzania ni mnafiki.

Kiapo hicho kiko hapa: http://www.uscis.gov/.../naturalization-oath-allegiance..

--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment