Siyo lazima kila issue iwekwe kwenye katiba. Marekani haina katiba inayoruhusu ndoa za jinsia moja, lakini mazingara yamewapelekea watambue kuwa hilo ni
suala la haki za binadamu na uhuru wa mtu kuchagua. Katiba yao inaruhusu "pursuit of happiness."
em
On Tue, Aug 12, 2014 at 7:18 AM, Alfayo Andrea <fayotn@gmail.com> wrote:
Kibaya ni kuwa hakuna dhambi mbaya kama kuwa mnafiki. Na hakuna kitu kibaya kama kupuuzia. MUNGU alijua kuwa na dhambi na ndo maana aliangamiza sodoma kile kipindi na alijua wanadamu ni wapumbavu na wana penda kupuuza na ndo maana kukuwa na amri na mkaambiwa akuna dhambi kubwa na isiyo na msamaha kama hiyo. Na ole wake anayefanya na anayefanywa. Maana hakuna msamaha juu ya hilo.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment