Swali la msingi sana Mrema kiukweli ukisoma posts za watu unapata hisia tofauti juu ya mitamitazamo ya watu. Kiukweli kila siku ajali zinatokea na angalau kuna binadamu wanahusika
On Aug 10, 2014 6:54 AM, "Herment Mrema" <hmrema11@hotmail.com> wrote:
-- --Jamaa Kateleza na kuteleza ni kibinadamu. Ninaamini kajifunza kitu na tumpe nafasi ya kujirekebisha. Hakuna malaika hapa wala tusimhukumu.
Kuna lingine la maana la kuzungumzia?
Herment A. Mrema
From: embegu@hotmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] EPHRAHIM KIBONDE AKAMATWA KWA ULEVI NA KUSABABISHA AJALI
Date: Sun, 10 Aug 2014 09:54:17 +0000
Josephat, kwa hali yoyote hukupaswa kupita wakati taa ni nyekundu na Sheria ilipaswaa kuchukua Mkondo wake dhidi yako. Angalia remarks za Askari "Kumbe wewe ni mtu mkubwa...". Nafikiri Askari huyo hakuwa sahihi. Sheria siyo kwa ajili ya watu "wadogo" tu.
Date: Sun, 10 Aug 2014 08:21:46 +0300
Subject: Re: [wanabidii] EPHRAHIM KIBONDE AKAMATWA KWA ULEVI NA KUSABABISHA AJALI
From: wanabidii@googlegroups.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Nasikia Kibonde na Police wapo kwenye shughuli ya kutengeneza Filamu ya Utii bila shuruti.If that the case,watakuwa wameanza kufanikiwa maana attention imekuwa kubwa
'Josephat Mwanzi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:Ukiwa PUBLIC FIGURE na kwa hali ya kibonde alivyojiweka kama mwelemishaji, mtu wa kushughulika na behaviour change hasa kwa masuala ya ukimwi nk, unajipambanua katika jamii kuwa wewe ni mtu wa hadhi fulani.
Tatizo ninalo liona kwa ma-star wengi Tanzania au public figures, ni kwamba wanafanya kazi/majukumu wanayofanya kwa kupata hela au umaarufu tu, hawahusishanishi kile wanachoamini/au wanachofundisha jamii na maisha yao uraiani. Hii inawakosesha trust/kuaminiwa na umma au hadhira yao.Kwa hiyo Kibonde alipaswa kuwa mtulivu, afuate sheria. na pengine yangeweza kuishia palepale kwa maelewano tu.Jamani kuwa na jina kubwa, au kujipambanua ktk jamii kama ww ni mtu wa aina fulani kuna ghalama zake....unahitaji kujinyima na kujizuia kufurahia vitu fulani ulivyokuwa umezoea ili kulinda hadhi yako na kufanya wale wanaokusikia au wapenzi/wafuasi wako wakuamini kuwa unachosema ndicho unachotenda....Pole kibonde, ila ni fundisho kwetu sote.
Mimi niliwahi kukamatwa pale Karume nikivuka wakati kuna taa nyekundu, nilikuwa nawahikwenda dodoma kuripoti kikao cha NEC. Trafic alinikamata nikabishana naye kidogo nikaona hanielewi, ikabidi niombe msaada ofsini. Alipopigiwa simu na boss wake asovu tatizo langu haraka, hata hakutaka kunitizama usoni baada ya kujua nilikuwa mwandishi wa BBC kitu ambacho sikumwambia. Ila nili-behave kwa busara mpaka mwisho wenzake wakaanza kunilaamu: "kumbe wewe mtu mkubwa halafu hata husemi...umekaa kama padrei..."Nikawajibu: "napaswa kutendewa kama kila mmoja anavyotendewa...."Mwanzi Josephat
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment