Monday, 11 August 2014

Re: [wanabidii] EPHRAHIM KIBONDE AKAMATWA KWA ULEVI NA KUSABABISHA AJALI

Ryoba Gikaro huo mura ni wivu tu au ubabe wenu nyie wakurya au kama sivyo hujui maana ya public figure, maana bila hivyo hata wewe usingemjua huyo Kibonde. Mimi naamini Kibonde ni public figure hasa kwa kazi yake nzuri ya kuelimisha jamii anayoifanya  ikiwa ni pamoja na matangazo yake hasa ya kuepuka michepuko. hayo na mengineyo yamemfanya awe public figure. Kosa lake ni kutokutii mamlaka, sheria za uendeshaji barabarani na nyinginezo. Lakini pia kama mwelimisha umma kwa lengo la kuleta mabadiliko chanya katika jamii ni picha mbaya kuonekana amelewa asubuhi ile ya saa kumi na mbili as reported, lakini hilo pia ni suala la kuthibitisha. Huyo mwandishi wa habari aliyeandika habari hizi alikuwa na uthibitisho gani kwamba Kibonde na huyo Gardiner walikuwa wamelewa wakati ameripoti kuwa vipimo havikufanyika? Au ni waandishi wa habari mnaoneana wivu kwa mafanikio ya baadhi yenu, maana habari hii imeripotiwa in a very negative manner.
Leonard Magwayega. 

On Monday, August 11, 2014 10:58 AM, 'Gikaro Ryoba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Kibonde ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine, wala msimpambe sana kwa kumuita "Public figure", huo u-public figure wake uko wapi? Ngoja akajisaidie kwenye debe ashike adbu yake, gamba mkubwa!

On Sunday, August 10, 2014 9:28 PM, 'Nickson ngajilo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

pole kibonde,siku nyingine unatakiwa kubehave wewe ni public figure

On Sunday, August 10, 2014 12:27 PM, 'Mashaka Makana' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Doh! anaonekana bado ni mkali ingawaje yupo mikononi mwa polisi akiwa maabusu! Sasa ni pombe au umaarufu? Ila kiukweli alipendeza kimavazi!!!!
Mashaka
--------------------------------------------
On Sat, 8/9/14, Fakhi Karume <fkarume@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] EPHRAHIM KIBONDE AKAMATWA KWA ULEVI NA KUSABABISHA AJALI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, August 9, 2014, 7:03 AM

On Saturday, August 9, 2014 4:55:33 PM UTC+3, Emmanuel
Muganda wrote:Sheria
msumeno!em

2014-08-09 9:00
GMT-04:00 'frank chalamila' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com>:

duh mpanda viazi huvuna viazi ndivyo
nilivyofundwa
 
    On Saturday, August 9, 2014 4:47 AM,
'lesian mollel' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com> wrote:

  sasa si wamsamehe tu
jamanii, wangap wanafanya makosa zaid ya hayo

    On Saturday, August 9,
2014 4:36 AM, Abdalah Hamis <hami...@gmail.com> wrote:
   
Mtangazani
Mahiri wa
  Redio 88.5 Clouds FM kupitia kipindi cha Jahazi, Ephrahim
Kibonde akipingana na Askari wa Usalama barabarani wakati
alipotakiwa kutii sheria bila shurti,mapema asubuhi hii
jijini Dar es salaam.

Kibonde
anadaiwa kusababisha ajali asubuhi hii eneo la Makumbusho,
ikiwa gari aliyokuwa akiendesha kuigonga gari ya dereva
mwingine kwa nyuma. Trafiki walifika eneo la tukio na kupima
ajali, Kibonde alipoona hivyo akarudi nyuma na kuendesha
gari lake kuondoka eneo la tukio bila kufuata taratibu za
usalama barabarani,hali iliyomlazimu yule Trafiki katumia
gari lililogongwa
  kumfukuzia.

Walifanikiwa
kumkamata eneo la Mwenge na Trafiki aliingia katika gari
lake na kumwomba arudi eneo la ajali ili wakapime na kuchora
mchoro wa ajali. Kibonde aligoma na kumtaka trafiki ashuke
katika gari lake,Trafiki naye hakutana kufanyi kwa maana ya
kuwa aligoma kushuka na kumuamuru Kibonde arudi eneo la
tukio.

Kibonde
aliondoa gari na kuendelea na safari yake huku yule Trafiki
akiwa ndani ya gari hiyo, Trafiki aliwasiliana na wenzake
ambao walianza kuifuatilia gari hiyo ya Kibonde kama
walivyopewa maelekezo na mwenzao aliopo ndani ya Gari
hiyo.

Mara
Kibonde akatokea maeneo ya mataa ya Ubungo, hapo kulikuwa na
Trafiki mwingine aliyekua eneo hilo akaipiga mkono gari ya
Kibonde na ambapo
  inasemekekana hakusimama na badala yake ikaja gari nyingine
na kuichomekea kwa mbele na hapo ndipo alipotiwa mbaroni!
Aligoma kuendesha gari ikabidi livutwe hadi polisi Urafiki
na yeye kuwekwa chini ya ulinzi na baadae akahamishiwa Kituo
cha Oystabay ambako yupo mpaka sasa.

Inadaiwa
kuwa Kibonde alikuwa amelewa sana,hali iliyopelekea kufanya
hayo yote ikiwa ni pamoja na kuwajibu vibaya Askari
hao.

--

Send Emails to wana...@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+...@ googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@ googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wana...@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+...@ googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+...@
googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment