Sunday, 3 August 2014

Re: Re: [wanabidii] MANSOUR YUSSUF HIMID AKUTWA NA KIWANGO KIKUBWA CHA RISASI

Kwanini waundue kuwa anamiliki hizo silaha, baada ya kuvuliwa uanachama na uongozi???

--------------------------------------------
On Sun, 8/3/14, 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: Re: [wanabidii] MANSOUR YUSSUF HIMID AKUTWA NA KIWANGO KIKUBWA CHA RISASI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, August 3, 2014, 10:44 AM

Walijuaje
kuwa ana risasi zote hizo? Nani aliwambia kuwa ana risasi?
Au walikuwa ktk shughuli zao za kawaida?

Sent
from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: bonnyluv84@hotmail.com
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: Re: [wanabidii] MANSOUR YUSSUF HIMID AKUTWA NA
KIWANGO KIKUBWA CHA RISASI

Planting cases ni mbaya sana,
jamii ina amini exactly hivyo hivyo ilivyo kuwa
planted.Media pia zinakuwa lobbed kuucheza huu mchezo.

Ni kumwaribia tu bwana Mansour public image.
Haya.
--

Sent from myMail app for Android

Sunday, 03 August 2014, 09:32AM +0300 from
Fakhi Karume <fkarume@gmail.com>:
nyie mnaishi na risasi za shortgun 112 huku
sheria inasema wazi kiwago ni 55 na mna risasi za bastola
295 huku sheria inasema wazi kiwago ni 25. Tena kwa makusudi
kabisa Sheria ya nchi yetu ya watu wa Zanzibar hairuhusu
watu kumiliki risasi kiasi hicho.

Risasi zote hizo za nini?? Mna Jeshi lenu nini?? au
mnajihami na nini??

On Sunday, August 3, 2014 9:30:46 AM UTC+3, Boniface Sabanya
wrote:

>Hii ni kazi ya chama tawala, bado haijaniingia akilini.

>--

>Sent from myMail app for Android

>Sunday, 03 August 2014, 09:14AM +0300 from Abdalah Hamis
< hami...@gmail.com >:

>Jeshi la polisi Zanzibar linamchunguza aliekuwa waziri
wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mansour Yussuf Himid baada
ya kukutwa na kiwango kikubwa cha risasi kinyume na sheria
nyumbani kwake Chukwani.

>Himid kwa hivi sasa anashikiliwa na jeshi hilo alikutwa
na risasi 519 zikiwemo 112 za silaha aina ya Shot gun na 265
za bastola.

>Jeshi hilo limesema linaendelea na upelelezi kujua
sababu ya kiongozi huyo wa zamani kumiliki kiwango hicho cha
silaha.

>Naibu mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai Salum
Msangi amesema Himid sheria za Zanzibar zinaruhusu mtu
kumiliki risasi 50 za silaha ya shot gun na 25 kwa bastola.

>Hata hivyo Msangi amesema Himid alikutwa na silaha ya
Shot gun na bastola ya Barot anazozimiliki kihalali.

>Aidha amesema kosa linalomkabili mtuhumiwa huyo ni
kukutwa na kiwango kikubwa cha risasi kinyume na sheria.

>Himid alieokosa sifa za kuwa mwakilishi wa jimbo la
Kiembesamaki baada ya kuvuliwa uanachama wa CCM aliwahi
kushika nyadhifa za ngazi za uwaziri.

>http://zanzibarislamicnews.wordpress.com/2014/08/02/mansour-yussuf-himid-akutwa-na-kiwango-kikubwa-cha-risasi/

>--

>Send Emails to  wana...@googlegroups.com

>Kujiondoa Tuma Email kwenda

>wanabidii+...@googlegroups.com   Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

>Disclaimer:

>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.

>---

>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.

>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to  
wanabidii+...@googlegroups.com .

>For more options, visit  
https://groups.google.com/d/optout .

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email
ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com .

For more options, visit 
https://groups.google.com/d/optout .

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment