Kinachonipa shida ni pale Bunge Maalumu la Katiba linapojikita kujadili mambo ya muungano na ya Tanganyika tu. Sijasikia mtu akiuliza ni namna gani katiba ya Zanzibar inawiana na mambo yanayojadiliwa huko Dodoma? Je kama katiba ya Zanzibar itaachwa kama ilivyo hayo mabadiliko ni ya nini? Inaelekea bunge hili halina meno ya kugusa katiba ya Zanzibar, na kama hivyo ndivyo ilivyo je kuna umuhimu wowote wa kuendelea kukaa Dodoma wakijadili mambo ya bara tu? Binafsi naona kama wanajadili katiba ya bara wala siyo ya muungano
2014-08-11 11:13 GMT+03:00 'Gikaro Ryoba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Hii ni taarifa ya ovyo kabisa. Ina maana wanataka kuwanyima wananchi fursa ya kutoa maoni yao juu ya utunzi wa katiba? Wao ndio wapotoshaji wakubwa.....watajadilije hoja ya serikali 2 wakati haimo kwenye rasimu ya katiba. Kama kweli sio wanafiki, warudi kwenye hoja ya serikali 3 iliyomo kwenye rasimu. Hatuwezi kuvumilia kuwaona hao wapuuzi wakitumia mabilioni ya fedha za umma kusaka maoni ya wananchi halafu maoni hayo wayasigine huku wakitaka wananchi tukae kimya. Bunch of twits!
On Saturday, August 9, 2014 8:33 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Hivi Lowasa aliwahi kusema lolote kuhusu mfumo wa serikali? Anaunga mkono serikali 3 au 2. Mimi nafikiri viongozi wa ccm hawawezi kuongoza nch ktk mfumo wa serikali 3. Hii akiwemo Lowasa.
----------
Sent from my Nokia Phone
------Original message------
From: 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, August 9, 2014 4:35:44 AM GMT-0700
Subject: Re: [wanabidii] BUNGE MAALUM LA KATIBA LIPEWE NAFASI YA KUFANYA KAZI ZAKE
kiukweli serikali 3 ndio mpango kama hakuna basi hiyo katiba itakua ya JK maaana yeye ndio aliowaguide jamaa wasitoke hapo
Binafsi sidhani kama tutakua salama kwa mtindo huu wa kulazimisha mambo yasio na baraka za wengi, bora bunge hili lijadili kurekebisha vifungu vya katiba ya zamani ili itumike ktk uchaguzi ujao ila Rais ajae hope atakua mh Lowasaa anaejua kufanya maamuzi magumu atupe katib a mpya ya serikali 3, kwa mtindo huu tunajilazimisha kwenda kwenye machafuko......prof gaba alisema hiv....ogopa watanzania wasiosema kuliko wazanzibar waliosema.
On Friday, August 8, 2014 5:07 AM, Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com> wrote:
Hivi Bunge maalumu linajadili katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?. Wamekwishakubaliana na Zanzibar ambao wana katiba yao na Serikali yao wanataka muungano wa namna gani kama sio wa serikali tatu au wana mpango wa kuwaburuza? Je wamekubaliana nini? Ni kweli bunge linajadili Serikali mbili? Ni nani kawatuma na wanajadili muundo wa Serikali mbili kwa Rasimu ipi?. Kama wanajadili Rasimu ya Serikali ya Muungano yenye serikali mbili, Je hii rasimu inayojadiliwa itakuwa na mambo yaliyoko kwenye muungano na ambayo hayatakuwa kwenye muungano?. Mambo ambayo hayapo kwenye muungano yanayohusu Tanganyika yatasimamiwa na Serikali ipi? Mpaka sasa tunajua kwamba mambo yale yanayohusu Zanzibar lakini hayako kwenye Muungano yanasimamiwa na Wazanzibar wenyewe.
Jamani tuwe wajanja angalau hata kidogo. Hatuwezi kuendelea na mfumo feki wa Serikali mbili wakati muundo ni wa serikali tatu (Serikali ya Muungano, Serikali ya Zanzibar kwa mabayo yanayohusu Zanzibar na Serikali ya mambo ambayo hayapo kwenye muunguno yanayohusu Tanganyika) kwa sababu una utata ambao tunauita "kero" ambazo kwa muda wa miaka hamsini zilitushinda kuzipatia ufumbuzi.
Tukubali kuanza upya tuwaulize tena Wazanzibari na Watanganyika wanataka mfumo wa aina gani ya Serikali. Baada ya jibu hilo tutajipanga kutengeneza rasimu ambayo inakidhi matakwa ya wananchi. Ningeshauri bunge linaloendelea liachane na huu mkakati wa kutafuna fedha za wanannchi maskini kwani wasipotusikia itakula kwao.
Ahsante
Herment A. Mrema
> Date: Thu, 7 Aug 2014 19:23:21 +0000
> Subject: Re: [wanabidii] BUNGE MAALUM LA KATIBA LIPEWE NAFASI YA KUFANYA KAZI ZAKE
> From: wanabidii@googlegroups.com
> To: hamisznz@gmail.com; wanabidii@googlegroups.com
>
> Kama kweli bunge letu m'lum linataka maoni ya wananchi basi lianze kuzingatia yaliyokwishatolewa yakiwemo yale yaliyotolewa na wajumbe wa iliyokuwa tume ya maoni. Bunge lione kuwa linakoelekea siko. Linaharibu pesa zetu bure na haliwezi kutoa katiba ya watanzania. Bunge lielewe kuwa marekebisho ya sheria yaliyofupisha muda wa tume hayakufanywa kwa nia njema. Bunge lielewe kuwa wajumbe wa tume kusikia maoni yao yanapotoshwa wakati wa mjadala haiwapi raha ndiyo maana watasemea popote ikiwa na isiyo midahalo kwa lugha tuliyoizoea. Hawajisiki vizuri kuona machapio waliyoyatoa yanafichwa na maswali yanaulizwa na kukosa majibu bungeni huku wao wanayo ila wamefungwa midomo. Bunge na mwenyekiti wake wajue kuwa ni hatari kubwa kwao kukaa kupata posho huku wakitengeneza bomu linaloweza kulipuka wakati wowote, kisa wanaacha ukweli pembeni na kulitumbukiza taifa kusiko. Wananchi tuliona zamani kuwa mfumo wa serikali mbili umeigawa nchi na lazima jibu la tatizo
hilo lipatikane kwenye katiba.
>
> ----------
> Sent from my Nokia Phone
>
> ------Original message------
> From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Thursday, August 7, 2014 11:04:10 AM GMT-0700
> Subject: [wanabidii] BUNGE MAALUM LA KATIBA LIPEWE NAFASI YA KUFANYA KAZI ZAKE
>
> *JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA*
>
> *BUNGE MAALUM*
>
> *TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI*
>
> *BUNGE MAALUM LA KATIBA LIPEWE NAFASI YA KUFANYA KAZI ZAKE*
> Ofisi ya Bunge Maalum, imeshangazwa na kusikitishwa na baadhi ya vyombo vya
> habari na makundi ya jamii yanayoeneza upotoshwaji mkubwa ambao umedakwa
> katika mitandao ya kijamii kuhusu kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa Bunge
> Maalum Mhe. Samuel Sitta (Mb) wakati wa mjadala wa kupitisha Kanuni tarehe
> 5 Agosti, 2014 kuhusu midahalo ya Katiba inayoendelea katika baadhi ya
> televisheni hapa Nchini.
>
> Mwenyekiti wa Bunge Maalum, Mhe. Sitta hapo tarehe 5 Agosti 2014
> alitahadharisha kuhusu baadhi ya midahalo hiyo inayoendeshwa ikiwa na
> mapungufu makubwa. Wanapangwa washiriki wenye mawazo na malengo ya upande
> mmoja na kutumia fursa hiyo kushambulia kwa lugha chafu makundi yenye
> mawazo tofauti ambayo kimsingi yalitakiwa yashirikishwe kwenye midahalo
> hiyo. Tumeshuhudia upotoshwaji mkubwa kuhusu kauli ya Mwenyekiti. Hali hii
> inadhihirisha jinsi maadili
> ya upashanaji habari yanavyotumiwa vibaya na baadhi ya vyombo vya habari na
> baadhi ya makundi katika jamii.
>
> Ifahamike wazi kuwa lengo la Mhe. Mwenyekiti lilikuwa ni kuwakumbusha
> wahusika na waandaji wa midahalo hii pamoja na Serikali kuwa utaratibu huu
> wa
>
> kualika kundi moja lenye mrengo mmoja na kuuita mkutano huo ni mdahalo si
> sahihi. Mdahalo kwa tafsiri yake, hauna budi kuwa na pande mbili au zaidi
> Utaratibu wa uaandaji wa midahalo kote ulimwenguni msingi wake ni kutoa
> fursa kwa wasikilizaji/watazamaji kusikiliza pande zote zenye mawazo
> tofauti na kuwaachia wananchi kuchambua mawazo hayo na kuona yepi
> wayakubali au kuyakataa.
>
> Inasikitisha pale ambapo baadhi ya watu wameamua kuitumia kauli ya
> Mwenyekiti, Mhe. Sitta kwa kupotosha umma na kujikita katika kuzua
> malumbano yasiyo na tija kwa Taifa hususan katika kipindi hiki ambacho
> wananchi wangependa kufuatilia mijadala kuhusu Katiba.
>
> Baadhi ya vyombo vya habari, kwa makusudi vimeamua kubeba agenda tofauti na
> kuangukia katika mtego wa kuchochea uhasama. Matoleo yao wamekuwa na vichwa
> vya habari vilivyosomeka* "Sitta Avaa Udikteta", Bunge lataka kina Warioba
> wadhibitiwe", Sitta avunja nchi nk* na hatimaye upotoshwaji wa aina hii
> kuenezwa katika mitandao ya kijamii ili kuuchafua mchakato wa Bunge Maalum
> kutunga Katiba na kumchafua Mwenyekiti.
>
> Ofisi ya Bunge Maalum inasisitiza na kuvikumbusha vyombo vya habari
> kuzingatia maadili ya upashanaji habari kwa uadilifu, hususan katika
> kipindi hiki ambacho Nchi ipo katika mchakato ambao wananchi wangestahili
> kupata taarifa sahihi kuhusu utungaji wa Katiba. Bunge Maalum linakaribisha
> maoni ya wananchi yenye dhamira safi bila kuingiza chuki binafsi, uchochezi
> na upotoshaji habari wa makusudi.
>
> Bunge Maalum linatoa rai kwa wote kwamba liachwe litimize wajibu wake.
>
> IMETOLEWA NA:
> OFISI YA KATIBU WA BUNGE MAALUM
> 7 Agosti, 2014
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

0 comments:
Post a Comment