Hiki kitendo na kilaaniwe.
Kama wao walikuwa wanavitumia katika maabara yao na sasa havihitajiki utaratibu wa wizara ya afya katika kutupa ama kuteketeza vitu kama hivyo inasemaje ni kufanya kama walivyofanya IMTU? mbona hatujaona Bugando, Mbeya ama Hospital zingine ama chuo chochote cha aina hiyo?
Tunakwenda kubaya kama serikalin haitazuia mambo kama haya.
Tumezoea kuona mtoto katupwa jalalani kitendo ambacho nacho bado kinalalmikiwa iweje leo kumwaga viongo vya watu wazima hata kama vingekuwa vya watotot namna ile.
Ningekuwa mimi ndio mwamuzi- uchunguzi, peleka mahakama , fungia chuo kwa miaka mitano ili iwe fundisho na kwa wengine kama hakimu asemavyo anapomhukumu mtu.
Ikijulikana ni wao kifungwe kwanza na wawalipe wanfunzi waliopo ili waende vyuo vingine kumalizia chuo
On Wednesday, 23 July 2014, 7:47, 'peter sikalumba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Hivi kweli TZ hapo ndipo tulipofika?. Kiukweli hakuna busara wala akili iliyotumika kwa jambo hilo. Huu ni upuuuziiiii.
On Tuesday, July 22, 2014 5:14 PM, 'Ambokege Benard M' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Haiingii akilini kuwa eti viungo hivi vya binadamu ni vya IMTU.
Tunataka kuingiza siasa mahali pasipofaa. Ni vema uchunguzi ukafanyika kubaini hali hii, tusichukulie jambo hili kijuu juu tu.

From: 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii
Sent: 7/22/2014 14:12
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] VIUNGO VYA MIILI YA BINADAMU VILIVYOPATIKANA BUNJU NIVYA IMTU
Yaah Simon;
Ni uhuni tu na kukosa heshima kwa binadamu wenzao hakuna jingine.
Hata kama wao wamevizoea viungo vyetu na kuona issue ya kawaida lakini lazima tuheshimiane.
Wao na walimu wao ni wa kwanza inji hii kukosa adabu kiasi hicho,hivi wanaweza kututibu hawa?
Reuben
From: Simon Mkina <smkina@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, July 22, 2014 1:53 PM
Subject: Re: [wanabidii] VIUNGO VYA MIILI YA BINADAMU VILIVYOPATIKANA BUNJU NI VYA IMTU
Huu unaitwa uhuni. NimemalizaOn Jul 22, 2014 11:27 AM, "Yona Fares Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:--
Habari zimethibitisha kwamba masalia ya viungo vya binadamu vilivyotupwa maeneo ya Bunju yametoka chuo cha udaktari IMTU kilichopo Mbezi baada ya wanafunzi kumaliza kutumia kwa mazoezi. Viungo hivi vilitupwa baada ya mukosa pesa za kuteketeza kwenye tanuri maalum.--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

0 comments:
Post a Comment