Mi yangu macho ipo siku atakuja kanisani na della sijui utasemaje! Ndiyo maana nikasema tungekuwa na uwezo wa kumtafuta private tungefanya hivyo |
From: 'flano mambo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
To: wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] MASANJA NI VIZURI UKACHAGUA MOJA!
Sent: Fri, Jul 4, 2014 12:49:38 PM
Naombeni nichangie kidogo juu ya mada hii inayomhusu Ndugu yetu mpendwa kabisa Emanuel Mgaya. Kwanza kabisa napenda niseme wazi kuwa ikiwa Bwana Yesu alikufa msalabani na kumwaga damu yake ambayo kwayo Emanuel Mgaya alimwamini Bwana Yesu hivyo akaokolewa siwezi kumkana wala kukataaa kwamba hajaokolewa wala kukanusha kwa namna yeyote ile kwani aliyemfika Masanja si mimi Flano Mambo bali ni Bwana Yesu. Pili sina hakika kama nywele za Masanja zinamdisqualify wokovu aliopewa bure wala hakuufanyia kazi kwa sababu hakujiokoa kwa bidii zake bali kwa neema ya Mungu. Lililo kubwa zaidi Neno la Mungu linatufundisha nduguyo akikosa mrejezeni kwa upendo, siamini kama hii ni njia sahihi ya kumrejeza Emanuel Mgaya zaidi ya kumkwaza na kumuabisha. Kama mtu anampenda Emmanuel Mgaya kwa dhati na hataki apotee basi amtafute aongee naye bila shaka atamsikia si kwa njia hii. hapa hatujafanya kwa upendo. On Friday, July 4, 2014 2:55 PM, 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote: Kwa muda mrefu wanaume na wanawake wengi wamelitumia jina la Yesu kitapeli na kinafiki na ndiyo wanavyopenda iwe hivyo. Wametafuta kuwatumikia mabwana wawili na ni waongo na wadanganyifu mbele za Mungu. Wakati walitakiwa kuchukua majukumu ya uinjilishaji duniani, hawafanyi hivyo kabisa bali ni wenye tamaa ya mali, watafutao kipato chao wenyewe. Katika kufanya hivyo wamechukuliwa katika njia za tamaa na uasi. Ni kwa sababu wamekataa njia ya unyenyekevu iliyo katika Kristo. Bado wanadhani kuwa katika matendo yao ya kipagani, usanii wao wote, mapato yao ya dhambi, kwamba kwa namna fulani ni Mungu anawabariki. Mungu anawalaani, kwa maana amewageuza watawaliwe na sanamu, watawaliwe na miungu mingine na watawaliwe na wapenzi waliowachagua zaidi ya Mungu. Wanamtia Mungu kichefuchefu. Wametoa kafara uaminifu wao kwa miungu yao na wanapangusa midomo yao kana kwamba hawajafanya kosa lolote. Hawampendi Mungu bali wanajipenda wenyewe na mapepo yanayowatawala. Wamemwacha Mungu, hawajashika upendo wao wa kwanza, wala kutembea katika ukamilifu. Hawajauzika ule utu wao wa kale, utu wao wa zamani, njia zao za zamani bali wameuacha kushamiri. Wakati wote wanajigamba, wanajivuna jinsi walivyofanikiwa, lakini mbele za Mungu ni maskini wakubwa na wahitaji. Wakati Yesu alipokuja katika dunia hii na kutembea kama mwanadamu, watu wa dini walikuwa shabaha yake ya kwanza kuwakemea. Ni kwa sababu kutokana na udini wao, kiburi chao, walikataa kuipokea kweli. Walimezwa na kule kujiona bora katika njia zao wenyewe na walikuwa mbali kabisa na Yeye. Wakachukuliwa katika kile kilichokuwa uchungu kwake, kwa sababu walikataa kutubu. Watu wamelitumia bure jina la Yesu, wamejigamba kana kwamba ni Yeye wanamtumilia kumbe sio. Waneleta kiwango cha uharibifu, cha dunia, cha uchafu, cha uovu kiasi kwamba wenye dhambi hawahukumiwi tena. Wanaonekana ni wenzi wao katika dhambi, wenzi wao katika genge moja. Wakati watumishi wa Mungu wafanyapo manbo ya aibu, hata mbele za wapagani, wanakuwa chukizo kwa Mungu. Mungu hakutarajia watu wake wamwaibishishe kiasi hicho. Wengi wa wanaojiita watumishi wa Mungu wameshaanguka. Ni kwamba hawatakiwi kutafuta siku kubwa ambayo wataanguka, kwa maana wamekwisha timiza kusudi. Hilo ni kusudi la yule mwongo, mdanganyifu, awachukuaye watu katika shimo la matapishi yao wenyewe. Kama mtu atatubu kisawasawa, ikimaanisha kwamba kubadili njia zake ovu, na kuja katika njia ya Mungu, mtu huyo atampendeza Mungu. Mtu anapotubu ki kweli, kwa maana kwamba anaziacha njia zake mbaya, na kufanya kile Mungu atakacho na aagizacho ataona nini? Atamwona Mungu ampaye rehema kila siku. On Friday, July 4, 2014 10:51 AM, 'ezekiel kunyaranyara' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote: Mimi nafikiri maombi mazuri ya kumwokoa mtu ni pamoja na kukemea na kuonesha njia kama inavyofanyika hapa katika mjadala huu. K.E.M.S. On Friday, 4 July 2014, 9:39, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote: Uchungaji ama Ushemasi au hata Uaskofu hausomewi....mwongozo kamili upo kwenye Biblia. Haya masomo ya teolojia na nduguye Divinity...yamekuja kibinaadamu ili kumsoma Mungu. Nafikiri tusijadili sana haya kwasababu hao wasomi wetu walioko mimbarani na madhabahuni pamoja na kusoma na kutafakari kwa muda pamoja na kulelewa bado wakipata upenyo wanaasi vibaya hakuna cha Lutherani au Moravian, Anglican, Baptist au Roman Catholic....jambo la msingi kama mtu kaamua kumtumikia Mungu basi tuendelee kumwombea asismame kwenye hilo kusudi la Mungu.... 2014-07-04 9:00 GMT+03:00 Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>:
-- Bariki G. Mwasaga, P.O. Box 3021, Dar es Salaam, Tanzania +255 754 812 387 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment