Friday, 4 July 2014

Re: [wanabidii] Kwanini vijana tuonekane kama bomu linalosubiri kulipuka na sio potential ya uchumi na ustawi wa Taifa?

Karume, hata kama hizo economic hab zikijengwa, elimu na study stahiki wanazo au ndo tutatengeneza ajira kwa wakenya wahindi na makaburu. Vyuo vyetu vimejaa wanafunzi wa ualimu wa historia socialogy na mass com, kila anaemaliza chuo anataka akaajiriwe tra uhamiaji crdb nmb ili nao wakale rushwa na kupiga hela.

Tizama mihemuko ya kisiasa mashuleni kila mtu anataka awini kama wenje zitto mkosamali kafulila na machali, hawataki tena kusoma. Wakisikia slaa yuko chuoni siku hiyo ni siku ya mapumziko.

Nimeona the citizen tv mtu mwenye shahada ya sayansi kaajiriwa kufagia sokoni huko nyeri county, leo wakwetu wote wanataka waajiriwe uhamiaji.

Wastaafu nao hawataki kuachia ofisi hata kama walishamalizana na mwajiri, mwakyembe sasa akitembelea ofisi utakuwa mpishano kila mtu akitafuta pa kujificha, wengine watalazimisha tabasamu waonekane vijana.

Haya jana nimesikia kafulila kule itv kuwa nyaraka za kufungia vitumua kishaporwa, itabidi vitumbua tushike hivyohivyo bila kunawa, siunajua maji huku kimara ni janga, hadi dogo apishe nae kakomaa tu.

Kama makamanda wanachana kurasa za katiba, vyeti vya kuzaliwa hivyo ndo usiseme, nasikia kova na yule prof wa tcra sio wazee kivile ni majukumu tu mengi.
----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: Fakhi Karume <fkarume@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, July 4, 2014 12:41:52 AM GMT-0700
Subject: [wanabidii] Kwanini vijana tuonekane kama bomu linalosubiri kulipuka na sio potential ya uchumi na ustawi wa Taifa?

Tutaondoaje tatizo la ajira kwa vijana kama uchumi unakua kwenye makaratasi
tu? Viwanda vingapi vimejengwa? Mashamba makubwa mangapi yamefunguliwa?
Tume-export nje bidhaa kiasi gani? Migodi au miradi ya gesi imetoa ajira
ngapi kwa wazawa?

Kwanini vijana tuonekane kama bomu linalosubiri kulipuka na sio potential
ya uchumi na ustawi wa Taifa?

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment