Friday, 4 July 2014

Re: [wanabidii] January: Nagombea urais 2015 kutekeleza vipaumbele vinne

Nico

Wapi imeandikwa

On Jul 4, 2014 1:01 PM, "Nicomedes Kajungu" <nicomedes76@gmail.com> wrote:
Bariki

Kwenye kikao cha utatu mtakatifu kilichopeleklea Yesu kluja duniani si ilitolewa hoja kwamba nani aende duniaini kuwakomboa wanadamu Yesu akasema nitakwenda mmi?

2014-07-04 12:45 GMT+03:00 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>:

Nico

Wapi Yesu alisema nitume mimi? Nabii Isaya ndiye alisema

On Jul 4, 2014 12:07 PM, "'lucas haule' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kama kuna mchezo mwepesi kucheza ni mdako na bao. Ndiyo maana wengi wameucheza. Mfumo wa uongozi wa kipindi cha miaka 20 umesababisha watu fulani kuona ah, kuwa rais ni kama mjumbe wa nyumba kumi tu.
Makamba na haki zote alizonazo za kugombea lakini wapi uwezo wa kimaamuzi ya mwisho. Na kama alilelewa na huyu aliyepo madarakani ni si bora nchi iende bila ya kuwa na mtu aitwae rais.
--------------------------------------------
On Fri, 7/4/14, Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] January: Nagombea urais 2015 kutekeleza vipaumbele vinne
 To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Friday, July 4, 2014, 1:48 AM

 K.E.M.S

 Nakujbalijana naye. Hata Yesu alijitolea akasema unitume 
 mimi.

 Uongozi ni utumishi,. hakuna atakayekuibua ili kuwatumikia
 watu, niazima useme unaiwa kuwatumikija watu.

 2014-07-04 11:31 GMT+03:00
 'ezekiel kunyaranyara' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

 Kajungu,

 Rais
 mmoja wa Marekani wakati anawania nafasi ya uongozi katika
 nchi hiyo aliwahi kusema sifa moja ya kuwa rais ni kupenda
 kuwa Rais na watu wajue kuwa unapenda kuwa rais. kwa mantiki
 hiyo kujiibua kwa Januari nafikiri siyo vibaya.
  K.E.M.S.

     On Friday, 4 July 2014, 10:07, Nicomedes
 Kajungu <nicomedes76@gmail.com>
 wrote:

 Mashaka
 Mfumo wa uongozi nchini unatoa fursa ya kuibuliwa au
 kujiibua?
 On Jul 4, 2014 9:58 AM, "'Mashaka Mgeta'
 via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Kiongozi bora huibuliwa kama Yesu alivyowaibua Simon, Petro
 na Andrea wakivua samaki  akawafanya kuwa wavuvi wa watu
 kwa maana ya viongozi wa watu. Ujana ama uzee si kigezo cha
 kuwa kiongozi bora. Makamba anapotoka hata kama nia ni
 njema.

 ------------------------------

 On Thu, Jul 3, 2014 11:38 PM PDT Nicomedes Kajungu wrote:

 >Sawa sawa.

 >

 >

 >

 >

 >2014-07-04 9:27 GMT+03:00 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>:

 >

 >> *Vipaumbele vyake*

 >>

 >> Makamba alibainisha vipaumbele vyake endapo
 atateuliwa na CCM kugombea

 >> nafasi hiyo kuwa ni pamoja na kushughulikia tatizo
 la ajira, huduma za

 >> jamii, uchumi imara na utawala bora.

 >>

 >> Akifafanua vipaumbele hivyo alisema, watu wamekuwa
 wakizungumzia suala la

 >> kutatua tatizo la ajira kwa wembamba na sio kwa
 mapana, lakini yote haya

 >> yanatokana na kipato chao kuwa chini.

 >>

 >> “Mazingira katika uchumi bado siyo mazuri,
 nitahakikisha kila mtu mwenye

 >> kipato cha chini anakuwa na kipato cha kati na
 mwenye kipato cha kati

 >> anakuwa na kipato cha juu kwa hali hii vijana wetu
 hawatakimbilia

 >> kuajiriwa, bali watataka kujiajiri wao kwani
 watakuwa na mitaji kutoka

 >> katika vipato vyao,” alisema.

 >>

 >> “Kuhusu huduma za jamii kama elimu, afya na
 maji... na zenyewe yapo mawazo

 >> ya kuboresha kwani huwezi kuendesha taifa
 lisilokuwa na huduma nzuri kwa

 >> wananchi.”

 >>

 >> Kuhusu suala la uchumi alisema, utaimarika endapo
 huduma za umeme,

 >> usafirishaji na mawasiliano zitaimarika kwani
 zitawasaidia wananchi kufanya

 >> shughuli zao kikamilifu.

 >>

 >> “Huwezi kuongoza nchi kama utawala bora haupo.
 Hapa tutaangalia namna

 >> ambavyo tutaendesha Serikali... namna ambavyo haki
 zinatolewa kwa wananchi

 >> kwa wakati,” alisema Makamba.

 >>

 >> Aliongeza: “Haya ndio mambo ambayo nimeyawaza na
 kuona kama changamoto

 >> kwangu. Nitakayafanyia kazi kuona Tanzania, kama ni
 katika ngumi, katika

 >> uongozi wangu (Tanzania) iwe inapigana katika uzito
 wa juu kabisa.”

 >>

 >> *Awamu ya vijana*

 >>

 >> Katika mahojiano hayo, Makamba alisema umefika
 wakati vijana wakashika

 >> dola kutokana na mabadiliko yaliyojitokeza katika
 awamu nne za utawala wa

 >> chama chake cha CCM.

 >>

 >> Alisema marais wote wanne, Mwalimu Julius Nyerere,
 Ali Hassan Mwinyi,

 >> Benjamini Mkapa na Jakaya Kikwete wamefanya kazi
 nzuri na kuitambulisha

 >> nchi kimataifa, hivyo zinahitajika fikra mpya
 kuendeleza raslimali nyingi

 >> zilizopo.

 >>

 >> *Kuhusu uzoefu wake*

 >>

 >> Akizungumzia uzoefu, Makamba alisema hakuna
 ushahidi wowote kwamba miaka

 >> mingi kwenye siasa ndiyo inatengeneza kiongozi
 mzuri.

 >>

 >> “Uongozi mzuri unatengenezwa na haiba, wajihi,
 dhamira, uwezo, maadili,

 >> uhodari, hekima na maarifa. Sifa hizi hazipatikani
 kutokana na uzoefu wa

 >> miaka mingi kwenye siasa hata baadhi ya vijana
 wanazo,” alisema.

 >>

 >> Alitoa mifano mingi duniani ambako vijana ambao
 hawakuwa na uzoefu kabisa

 >> katika nafasi za siasa wameshinda na kubadilisha
 nchi kama Tony Blair

 >> aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza.

 >>

 >> “(Rais wa Marekani,) Barack Obama alikuwa seneta
 kwa miaka mitatu tu,

 >> Julius Nyerere alikuwa mwalimu akaingia siasa akaja
 kupewa uongozi wa nchi

 >> akiwa na umri miaka 39 tu,” alisema Makamba.
  “Kama sasa hivi tuna

 >> malalamiko mengi kuhusu jinsi mambo yanavyokwenda,
 je, tunahitaji kiongozi

 >> ambaye kwa miaka 30 amekuwa sehemu ya mfumo
 tunaoulalamikia? Jibu ni

 >> hapana.”

 >>

 >> Je, CCM ipo tayari kuwaachia vijana? Akijibu swali
 hilo, Makamba alisema

 >> chama hicho kipo tayari na kimeshatoa fursa kwa
 vijana kushika nyadhifa za

 >> uongozi wa juu, akiwamo yeye.

 >>

 >> “Chama chetu (CCM) kinasikiliza umma wa
 Watanzania na mahitaji yao. Umma

 >> wa Watanzania unahitaji mabadiliko makubwa na CCM
 itaongoza mabadiliko hayo

 >> kwa kulipatia Taifa hili uongozi mpya wa kizazi
 kipya,” alisema Makamba.

 >>

 >> Akizungumzia uwezekano wa chama hicho kuamua kutoa
 fursa hiyo ya juu kwa

 >> mwanamke, Makamba alijibu, “Kila mtu anaruhusiwa
 kugombea.”

 >>

 >>

 >> http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/January--Nagombea-urais-2015-kutekeleza-vipaumbele-vinne/-/1597296/2371534/-/item/3/-/14c8waqz/-/index.html

 >>

 >> --

 >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 >>

 >> Kujiondoa Tuma Email kwenda

 >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
 Utapata Email ya kudhibitisha

 >> ukishatuma

 >>

 >> Disclaimer:

 >> Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility for any legal

 >> consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be

 >> presented responsibly. Your continued membership
 signifies that you agree

 >> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
 and Guidelines.

 >> ---

 >> You received this message because you are
 subscribed to the Google Groups

 >> "Wanabidii" group.

 >> To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails from it, send an

 >> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 >> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 >>

 >

 >

 >

 >--

 >*_________________________________________________*

 >Nicomedes M. Kajungu

 >P.O.Box 7733, Mwanza.

 > +255 782 315 688,
  +255 767 48 32 71,

 > +255 719 451 850

 >Skype add: nkajungu

 >

 >--

 >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 >

 >Kujiondoa Tuma Email kwenda

 >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 >

 >Disclaimer:

 >Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility for any legal consequences of his or her
 postings, and hence statements and facts must be presented
 responsibly. Your continued membership signifies that you
 agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
 and Guidelines.

 >---

 >You received this message because you are subscribed to
 the Google Groups "Wanabidii" group.

 >To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 >For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 _________________________________________________

 Nicomedes M. Kajungu
 P.O.Box
 7733, Mwanza.

  +255 782 315 688
 +255 767 48 32 71,      +255 719 451 850

 Skype add: nkajungu

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

P.O.Box 7733, Mwanza.
 +255 719 451 850

0 comments:

Post a Comment