Heh!
Akili zetu wabongo ndo zinafikiria upumbavu huo? Hata kama ni
propaganda, sidhani kama hiyo itakuwamo kwenye list. Kwanza mimi
napenda nimjue huyo anayetumia hilo jina MABADILIKO CHADEMA ni nani?
Kwanini anapenda kujificha asijulikane? Alafu huyu Mabadiliko chadema
huwa hachangii hoja, yeye ni kuleta ni ujinga tu!
Nadhani kuna mambo mengi ya kujadili, na si ujinga wa kwenye hiyo
post. Meena ameuliza vyema, kila point iliyoandikwa, SO
WAAAAAAAAT??????????? Wewe (mabadiliko chadema) ndo tuseme unamfahamu
sana Rukoma?
Kunyaranyara, nadhani mpo ili muambiwe na muongee zaidi ya kuambiwa ninyi!
Ipyana
--
Ipyana Lwinga
Email: ipyanalwinga@gmail.com
"Mpende Jirani yako kama nafsi yako..."
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment