Mgombea wa CHADEMA, ndugu Mathayo Torongey ameonekana akiwa na hali ya wasiwasi na mashaka makubwa huku makamanda wakiwa hawaonekani maeneo ya karibu na Chalinze. kwa hali hii ni dhahiri kuwa hana tena matumaini ya ushindi.
Zoezi la kuhesabu kura linatarajiwa kuanza muda sio mrefu, hivi sasa vituo vyote vya kupigia kura vitafungwa ili kuanza rasmi zoezi la kuhesabu kura.
On Sunday, April 6, 2014 1:45:26 AM UTC-7, Mwana CCM wrote:
mgombea wa ubunge jimbo la chalinze chadema kamanda Mathayo Torongay amekiri kwa kinywa chake hapa kata ya bwilingu hapa chalinze kwamba hii ngoma ni nzito sana.amesema haya muda huu akihojiwa na waandishi wa habari akizungukia vituo vya kupigia kura.
On Sunday, April 6, 2014 11:28:48 AM UTC+3, Mwana CCM wrote:Rais Kikwete na Mkewe mama salma wamemaliza kupiga kura muda huu
On Sunday, April 6, 2014 10:15:23 AM UTC+3, Mwana CCM wrote:kata ya Msata naona mawakala wa cuf wanazichapa kavukavu kwa kumtuhumu mmoja kati ya viongozi wa cuf wilaya ambaye ni wakala pia, mawakala wa cuf hapa Msata na Mbwewe wamegoma kuingia kwenye vituo vya kupigia kura mpaka walipwe pesa zao.Kwa upande wa Chadema mawakala wao pia katika kata ya Msata na Mbwewe pia wamegoma kuingia kwenye vituo vya kupigia kura kwa madai kwamba hawajalipwa posho zao.polisi wameingilia kati huu ogomvi.Kwa hali ilivyo mpaka sasa CCM itashinda kwa zaidi ya asilimia 90.source mimi mwenyewe 0755178927
On Sunday, April 6, 2014 10:14:21 AM UTC+3, Mwana CCM wrote:hali ya ushwari na utulivu ndio imeenea kwenye vituo vya kupigia kura, pia hali ya mwitikio wa wapiga kura imekuwa ya kuridhisha sana.Ulinzi katika maeneo yote ya vituo vya kupiga kura umeimarishwa hivyo kupelekea wananchi wengi kuweza kujitokeza kutekeleza haki yao ya kupiga kura na kumpata mwakilishi wao.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment