Saturday, 5 April 2014

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Sheikh. Abubakar Shariff (aka Makaburi), Abuu Rogo wametangulia!


Rukoma Kamanda, kwa sababu zipi?

On Apr 5, 2014 7:30 PM, "Augustine Rukoma" <rukomapekee@gmail.com> wrote:
Nafikiri huyu aiistahili kuondoka

On 4/5/14, Tumaini Makene <makenet84@gmail.com> wrote:
> Njia hii ya ku-deal na discontents za namna hiyo hazikubaliki hata kidogo.
> Watawala wakiruhusiwa kutwaa roho ya kila mtu kadri wanavyotaka eti kwa
> visingizio kama tuhuma hizo wanazompachika nazo Shehe Makaburi.
> On Apr 1, 2014 11:21 PM, "Mwema Felix" <mwema.felix@gmail.com> wrote:
>
>> Mhubiri aliyedaiwa kueneza itikadi kali za kiisilamu nchini Kenya
>> Abubakar
>> Shariff anayejulikana kwa jina lengine kama Makaburi, ameuawa.
>>
>> Duru zinasema kuwa Makaburi aliuawa katika mtaa wa Shanzu mjini Mombasa
>> ambako alikuwa anaishi.
>>
>> Polisi wamekuwa wakimtuhumu Makaburi kwa kueneza itikadi kali za
>> kiisilamu
>> miongoni mwa vijana wa kiisilamu mjini Mombasa Pwani ya Kenya na
>> kuchochea
>> vitendo vya kigaidi.
>>
>> Pia amekuwa akituhumiwa kwa kusajili vijana kuenda kupigania kundi la
>> wanamgambo la Al Shabaab nchini Somalia, madai ambayo Makaburi amekuwa
>> akiyakanusha.
>>
>> Duru zinasema kuwa vijana wameanza kuzua vurugu katika msikiti wa
>> Majengo,
>> Mombasa kufuatia taarifa za mauaji ya mhubiri huyo mwenye utata.
>>
>> Taarifa za kifo cha Makaburi zilitolewa katika msikiti Musa ambao umekuwa
>> kitovu cha vurugu kati ya maafisa wa usalama na vijana wanaodaiwa
>> kuhubiri
>> na kufuata ikitakadi kali za kiisilamu.
>>
>> Haijulikani ni nani aliyemuua Makaburi
>>
>> --
>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>
>>
>> For more options, visit this group at:
>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Mabadiliko Forum" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>> To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
>> Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
>> To view this discussion on the web visit
>> https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAEZBzkAJvcXhBDvmmyCtEfwVT%2Bv7USe5Mq0sne3iadQc%3Dpn4oQ%40mail.gmail.com<https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAEZBzkAJvcXhBDvmmyCtEfwVT%2Bv7USe5Mq0sne3iadQc%3Dpn4oQ%40mail.gmail.com?utm_medium=email&utm_source=footer>
>> .
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Mabadiliko Forum" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
> Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
> To view this discussion on the web visit
> https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAMgDvuka4Po7Ua7P2aP_aWofQjEPnc83BemmHJZQFXHGfKfgTA%40mail.gmail.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>


--
mission without implementation is hallucination

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com


For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CABs-M3YFZfrT_TJ9DxMvo1Ze1EvHxnwNCQskjHwa2TJbY2rV2g%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment