Saturday, 19 April 2014

Re: [wanabidii]Ni kweli Hildegarda

Hivi ndivyo ilivyo haswaaa:
Hapa umegusa ukweli halisi Ms Kiwasila. Kama kawaida yako.
"Kwani Mzanzibari alitoka wapi kama sio Tanganyika na nchi nyingine za East Africa na visiwa vyake. Wamesahau historia ya utumwa mpaka kuiona bara si mali kitu na wana ndugu zao huku. Mwafrika kuchanganya damu na mwarabu mbona inakuwa kero?"
 
Wazanzibari halisi sio wale wa damu mchanganyiko na waarabu. Ni weusi. Hata kujiona kwa kutumia urangi-rangi ni tatizo la kiutumwa tu. Ugonjwa!.
 
"Hivi Lipumba atakubalika kuwa Rais wa ZNZ au anatumika tu maana yeye zi mzanzibari."
 
Sio siri kuwa Lipumba na Lisu ni kivuli cha Maalim Seif. Wafanyayo ni  katika kumtumikia tu kutimiza adhima zake. Inaeleweka fika kuwa Maalim alikuwa hasimu wa Mwalimu Nyerere (RIP) kwa ubinafsi wake huohuo.
 
Mimi nimuulize Lisu, kwa tuhuma zake juu ya waasisi wa muungano. Je, si kweli kuwa muungano ulikuwa ni mbinu ya kuikinga Zanzibari dhidi ya wakoloni wa kiarabu waliotimuliwa? Sasa leo, banyani ambaye kiatu chake kilikuwa dawa amekuwa mbaya kwa kudhani kuwa hitaji limekwisha?
 
Wala mihadhara yenu hatuitaki maana ni jazba tu. Haina mashiko. Hoja zenu ni za moto wa kifuu. Hazina makaa, maana yake sio endelevu, ni un-researched, full of inepcy.
 
Kwa mwendo huo, ikiwapo serikali ya tatu naomba itafutiwe makao makuu nje kabisa ya nchi hizi mbili. Maana, lazima makao makuu pia yatakuwa kero. Dar haitakuwa makao makuu ya shirikisho, hatutaki kutuongezea kero za misafara.
 
From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, 19 April 2014, 9:54
Subject: Re: [wanabidii] UKAWA waondoka Bungeni!

Lakini sio wananchi wote wanauelewa wa kutosha katika masuala mengi hufuata mkumbo. Inahitaji mjadala wa muda kumuelewesha aelewe na achanganue kimfaacho. Hivyo ktk kupiga kura ya serikali 2 au 3 anaweza kupigia upande mmojawapo kimkumbo tu. Ndio wananchi hao miradi mingi vijijini wanashindwa kusimamia. Maji hakuna, anakuja mhisani na kuwashirikisha kikamilifu na kuunda kamati za usimamizi mradi. Baada ya muda-mabomba yameibiwa na waibao ni vijana wao. wakikamatwa kuwawekea dhamana kuwatoa. Kisha mama anatembea siku nzima kuchota ndoo moja ya maji. Anaona hatari na ugumu huo bado anabomoa akauze na pesa anakunywia kiroba au gongo. Ni hao wa mabondeni kujena majumba ya gharama na yasiyo gharama. Leo wanaopolewa kwa boat, wanaonywa, wanapoteza mali na ndugu wanakufa. Jua likitoka siku moja wanarudi, usiku wanazolewa na maji, kesho kutwa wanarudi tena-Temezoea mjini.

Waadhirika mabondeni mfano DSM wakipewa plot na mabati na siment-wanauza wanarudi hatarini. Anauza eneo kwa hela nyingi anazitumia hovyo na kuhamia maeneo hatarishi hata kama ameona madhara yake na kutakiwa kuhama. Na bado wataendelea kuchimba mchanga hapo bondeni na mto uliokaribu wanautanua na kuongeza maafa yao na upana wa maeneo ya mafuriko. Nia hao watupao malundo ya taka miferejini ili wasichangie shs elfu moja ya uzoaji taka kwa wiki na ni hao walalao na kinyesi cha mji mzima hadi darini maji yanapojaa. Ni huyo ambaye AMREF inatoa mafunzo machimboni na picha na m,ifano ya athari za madini atumiayo wachimbaji wadogo waogo na bado anayachezea, akipata madhara-amerogwa na anamuua kikongwe jirani yake. Tatizo lake si matendo yake ya kuchezea mercury, zinaa machimboni na ukimwi na matangazo ya HIV kibao lakini kaona kizee kimemroga. Kuchimbua mlima, kukata miti, mifugo maelfu inayokausha mito na anatembea kilomita makumi kutafuta maji na nyasi za malisho lakini atakupiga fimbo, panga au mkuki unapozuia uharibifu huo. Yeye atakacho ni sifa ya utajiri. Wamefukiwa jana ktk machimbo na mvua inanyesha na wametolewa maiti-anaingia usiku huo kinyemela-anafukiwa. Anaona ajali za pikipiki bila ya kuvaa kofia na uendeshaji mbaya unakuwake-kofia havai anaining'iniza mbele au nyumba na amevaa ndala anaendesha. Jioni-yupo bar anazimaliza hela kwa viroba.  Ndio tunategemea watapiga KURA ya UFAHAMU. Ndio maana tulipigia tatu tukidhani ndio suluhu. Yaani una matatizo wa wake zako wawili, badala ya kutatua matatizo na chanzo chake unaoa mke wa 3? Hii ndio kutatua matatizo?

Nchi inalalamikia wawekezaji na umiliki mali asili. Lakini ardhi ipo hatuwekezi hata kama kuna matajiri kibao nchini anakuja mchina kuwekeza-matajiri wanalalamika hawapewi kipaumbele. Katiba iseme kipaumbele ktk uwekezaji ni cha wazawa-wananchi!! Nani kakukatazeni matajiri wa bongoland msiungane matajiri, mkaunda kampuni kubwa, mkachukua viwanda vilivyolala havifanyikazi, mkaajiri wasomi na wazoefu wa nje kuja kuwapa practical skills wasomi wa digitali wa TZ mlioajiri ili mzalishe na kumiliki mali bongoland. Hata katika ikisema na TIC kuwapa nafasi na mashari/kanuni za kuwekeza, mashamba ya GVT mamlaka mbalimbali yapo bure-mbona hamchukui mkawekeza?-Katiba iseme!! yapo sasa onyesheni utendaji wenye productivity!! Katiba itasema kila kitu? Itatoa mwongozo ila Sera na Sheria ya sekta itafafanua na kudhibiti na watendaji na wadhibiti ni sisi. Katika iseme kila kitu cha nchi hii itawezekana? hata kuzoa taka iseme? Usichukue kiwanda cha GVT kilichokufa ukatumia majengo na godown kujaza used items imported unafanya biashara mwenyewe huzalishi kilichotegemewa. Akija mchina akipewa-uchumi upo mikononi mwa wageni katika itamke wasipewe- hatutoendelea!!

Hawa ndio unategemea watapiga kura ya serikali  1, 2 au 3 kwa uelewa hata radio na mihadhara ifundishe vipi? Itakuwa ni mitazamo ya udini, kivyama sio kuangalia faida za miundo hiyo tofauti na hasara zake. Mbona wanapata hasara za kujitakia na hawajali?

Kwani Mzanzibari alitoka wapi kama sio Tanganyika na nchi nyingine za East Africa na visiwa vyake. Wamesahau historia ya utumwa mpaka kuiona bara si mali kitu na wana ndugu zao huku. Mwafrika kuchanganya damu na mwarabu mbona inakuwa kero? Lakini ikizuka vita watakmbilia huku au UK, France, Germany na nchi nyingize za Ulaya sio Oman au Uarabuni. Na misaada ya kula tuishi itatoka nchi za ulaya tutakula mpaka nyama za kopo za mbwa ili tuishi. Hapo udini hautokuwepo tena. Hivi tunafahamu kuwa baadhi ya Visiwa vilijitenga toka mainland vikaenda na watu wetu huko na mito imepita chini ya bahari na kutokezea huko. Hadi leo baadhi ya visiwa TZ ktk ukanda wa bahari ya hindi inapokuwa maji kupwa mtu anatembea kutoka kisiwa kimoja kwenda kingine anawahi kabla maji kujaa.

Kuonyesha ufahari, kujulikana, kujitakia misifa ni ugonjwa wa wabongo upo kwa wasomi na hata wasio wasomi ambao ni wanasiasa-inamaliza nchi.

Wanaotoka nje-UKAWA halafu eti waanze hotuba mikoa yote, kuhamasisha uhasi hiyo hela si wangeeingiza katika miradi ya maendeleo pale penye need ili waonyeshe uzuri wa chama chao. Hizo waliosaini wasipewe. Hivi Lipumba atakubalika kuwa Rais wa ZNZ au anatumika tu maana yeye zi mzanzibari. Angebaki ktk uchumi na kushauri nchi kama neutral person ingekuwa bora kuliko huko anakoelekea. Inasikitisha mihela tunayotumia kwa kongamano na kutokukubali mawazo ya wengine yenye manufaa bali kila mmoja kutaka atakacho yeye tu.

Kinachoendelea bunge la katiba sio maana ya dialogue ambapo muafaka ndio unakuwa solution kuliko utengano. Ni sawa na vuvuzela ya vyama vya mpira simba na yanga mmoja akishindwa mashabiki kung'oa viti vya uwanja uliojengwa kwa gharama kubwa. Na ndivyo tunavyotaka kuuharibu muungano na udugu ulionjengwa kwa gharama badala ya kuudumisha kuondoa kasoro zilizopo. Itatoea wale waliogombea Urais wakashindwa miaka yote bado watataka kugombea mpaka kufa. Yaani hata ktk vyama vingi vyama vya upinzani hakuna demokrasia. Viongozi wale wale hutaka kudumu maisha na sasa kutafuta mbinu za vurugu kutuingiza vitani. Mshindwe na mlegee wote wa vyama vyote nchini mtakao kuvunja amani kwa ubinafsi wenu. Waliojiundoa watolewe au wajirudishe wenyewe na kukiri kukosa. Wasiporudi-wachaguliwe wengine kumalizia nngwe.
Kipofu atakapoona UKAWA haumsaidii, atakapoamka na kuuona ukweli-KURA haitopatikana ndio mtaingia msituni kuwa Intarahamwe.

On Thursday, 17 April 2014, 14:03, Xavery.L.K Chikatizo Njovu <njovucom@gmail.com> wrote:
Wana wa tanzania wenzangu

Dawa ya  kutatua  tatizo  si  kukimbia.  Wasomi wetu  wameonyesha udhaifu kwenye hili. RIP in ADvance  a.k.a ( JL word)   walionyesha  msimamo  wao  tangu  mapema  mkadharau. Tangu  kuanza kwa kutengenezwa  taratibu  za kuongoza  bunge. Mlikubaliana hoja  zenye upinzani  mtazipigia kura  na mshindi  atapatikana. Na mchakato  ukikamilika  rasimu inaletwa  kwa  wananchi  kupigia kula ya maoni. Hivyo kila upande  kupiga kampeni yake  ili kuikubali au kuikataa rasimu. Nyie  kama wasomi mngemaliza  part yenu  na ibakie sehemu  ya  wananchi  kuplay part yao. ili  tuone  kipi  kitakubalika.  Sasa  mnawaachia RIP In advance   waandike  katiba  kwa jinsi wanavyotaka wao. Baadae mkipigwa bao uchaguzi mkuu  mnasema  mmeonewa.

Regards

xlkcn

2014-04-17 13:40 GMT+03:00 Paul Lawala <pasamila292000@gmail.com>:
Sasa propaganda ya kwamba washaweka posho kibindoni imeshika kasi

Tuone na mantiki ya walichowasilisha pia

2014-04-17 12:14 GMT+03:00 Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>:

Nilishangaa jana kuna mjumbe mmoja alidai kwenye rasimu ya katiba
imtambue Mungu. Maana yake ni nini katiba kumtambua Mungu wakati
wanaoijadili hawamtambui kwa maneno na matendo yao? Naona kujificha
kwenye kivuli cha Mungu ni unafiki kabisa, hata dua inayosomwa sioni
mantiki yake.

On 4/17/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
>
>
> Bunge Maalum la Katiba linaendelea mjini Dodoma likiwa na wajumbe kutoka
> vyama vya upinzani visivyokuwa na wabunge vikiwemo vya APPT-Maendeleo,
> Demokrasia Makini,ADC, Jahazi Asilia, Chama cha Wakulima AFP, TADEA, UPDP,
> CCK, Chausta, Sauti ya Umma, UMD,DP, NLD,NRA na UDP.
>
> Akizungumza bungeni leo asubuhi mmoja wa wajumbe mh. Issac Cheyo amesema
> wapo wan a ukawa wanaoamini kufanya majadiliano badala ya kukimbia Kama
> yeye na baadhi ya wenzake waliorudi bungeni.
>
>
> On Thursday, April 17, 2014 1:35:46 AM UTC-7, Monica Malle wrote:
>>
>> Hawajasusa chochote wamesikia bunge linaahirishwa kesho na posho
>> wameshaweka kibindoni wanajifanya kususa hawana lolote mafisadi wakubwa
>> wameiba posho jasho la wananchi, na mwezi wa nane wasirudi waone kama
>> katiba haitatengenezwa tena nzuri tuu wavurugaji hao. Poasho ikiisha
>> utawaona wamerudi mjengoni,cheze posho wewe!
>>
>>  ------------------------------
>> Date: Wed, 16 Apr 2014 20:17:39 +0100
>> From: khild...@yahoo.co.uk <javascript:>
>> Subject: Re: [wanabidii] UKAWA waondoka Bungeni!
>> To: wana...@googlegroups.com <javascript:>
>>
>> Kama wanawakilisha wananchi na wanaupendo na nchi yao, ni wakweli sio
>> waongo kuogopa kukaa kwa vile vidhibiti vimewaaibisha-wangerudisha posho.
>>
>> Wangechukua kiasi kile tu cha mpaka siku walipoondoka. Wanatofauti gani na
>>
>> vibaka na mafisadi wa mali ya umma? Aibu ya wasomi waporaji mali ya umma.
>>
>>   On Wednesday, 16 April 2014, 17:20, Vincent Mhangwa
>> <vmha...@gmail.com<javascript:>>
>> wrote:
>>  Kwanini wame toka bungeni? Sijapata jibu ili tuchangie vizuri.
>> On 16 Apr 2014 14:06, "Johale Magere" <johale14@gmail.com> wrote:
>>
>> Wamesusa tena,ila watarudi tu,ndio mtindo wa siasa za Kitanzania
>> Magere  J.
>> On Apr 16, 2014 4:49 PM, "Emma Kaaya" <emmakaaya@gmail.com> wrote:
>>
>> UKAWA waondoka Bungeni! Lipumba adai wao wanawaachia Intarahamwe ukumbi
>> waendelee watakavyo!
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>>
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

>> Send Emails to wana...@googlegroups.com <javascript:>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:> Utapata Email ya
>> kudhibitisha ukishatuma

>> email to wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:>.
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

XAVERY  LANGA  NJOVU

0783 662681

" The Poor  man is  not  he without  cent, but  he who is  without  a dream"

0 comments:

Post a Comment