Wazee wote WANGAPI?
Ni asilimia ngapi ya wazee wote wa Tanzania?
2014-04-10 2:02 GMT+07:00 Fakhi Karume <fkarume@gmail.com>:
--THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone: 255-22-2114512, 2116898E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.comFax: 255-22-2113425PRESIDENT'S OFFICE,THE STATE HOUSE,P.O. BOX 9120,DAR ES SALAAM.Tanzania.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIWazee wa Baraza la Chama Cha Mapinduzi Zanzibar wamempongeza na kumshukuruRais Jakaya Mrisho Kikwete kwa ufafanuzi na kuunga mkono hotuba yake kwa Bunge la Katibaaliyoitoa tarehe 21 Machi, Mjini Dodoma.Wazee hao wamefika Ikulu ya Dar es Salaam leo jioni , tarehe 9 Aprili,2014 na kuelezeafuraha yao kwa Rais Kikwete."Wazee wote tunakushukuru, tumefurahishwa sana na Hotuba ile kwani umetoa ufafanuziwa mambo mengi, kwa hivyo tumefika hapa kukufahamisha kuwa tumefurahishwa sana,tuko pamoja nawe kwa hali ya aina yeyote " wamesema na kumueleza Rais kuwa wanayomabaraza katika Wilaya, Mikoa, Kata na hata Mashina."Tumefurahi sana , hotuba hii imetufungua na tumefunguka hivyo tunakuungamkono na tuko nawe katika hoja ya Serikali mbili kama ilivyo katika Chama Chetu." Wazeehao waliongozwa na Bi. Khadija Jabir Mohammed ambaye ndiye kiongozi wao na Bw. WaziriMbwana Ali Katibu wa Wazee. Wazee wengine waliofika Ikulu ni Bw. Juma Ame Juma, Bw.Mohammed Khamis Haji, Bw. Juma Khamis Khamis na Bw. Tabib Omar Makungu. Wengineni Alchui Khamis Alchui, Bw. Abdallah Rashid Abdalla na Bw. Haji Machano Haji.Rais amewashukuru Wazee hao kwa kumtia moyo kwa kufika Ikulu kuelezea hisia zao ambapoRais amewaeleza Wazee hao kuwa takwimu zote alizotumia katika Hotuba yake amezitoakwenye ripoti ya Tume ya Jaji Warioba na kwamba hata maswali aliyokuwa akiuliza, alikuwaakiyauliza kwa nia ya kuyatafutia majibu na majawabu ya misingi kama yalivyoandikwa kwenyerasimu ya Tume."Takwimu zote nimetoa kwenye taarifa ya Tume, Maswali niliyouliza nimeyatoa kwenyetaarifa, pia kuna mambo ya uandishi ambayo hayakuwa yameandikwa sawasawa hivyo ninawajibu wa kutoa tahadhari kwa wajumbe wa tume ili kuwa na uhakika wa dhana na tafsirizilizomo kwenye rasimu ya Tume" Rais Kikwete amefafanua zaidi.Mwisho!Imetolewa na;Premi Kibanga,Mwandishi wa habari wa Rais Msaidizi,Ikulu – Dar es Salaam.9 Aprili, 2014
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment