Uko sahihi kabisa Elisa, sisa ni imani kama mtu unavyoamini dini yako, unapoamua kuanza kufuata imani nyingine je ni lazima utangaze, lakini yote hayo wanasababishwa na viongozi wa siasa wenyewe, kuwafanya watu mabwege, kwanza kabisa mtu anayedaiwa kurudisha kadi ya chama ni lazima kwanza huwa wamekuwa na mawasiliano na hao watu anaotaka kuwa nao. Either kwa kushawishiwa na kupatiwa chochote, ambacho ndicho mara nyingi hufanyika au mara chache kwa kufarakana na viongozi wa kundi alilopo.
Kama ulivyosema Elisa, sioni tatizo mtu kwenda kenye ofisi ya chama chake na kukabidhi kila kitu huko na kusema mimi naachana nanyi au nahamia chama Fulani. Ni kampeni za kiuchuro na ukosefu wa akili ya hao wanaurudisha kadi kwenye mikutano ya hadhara.
On Saturday, 26 April 2014, 9:14, "'ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Naiangali picha ya aliyekuwa katibu mwenezi wa chadema hapa. Cuption inasema 'narudusha vifaa vya CHADEMA'. Huyu mtu hana akili sawasawa. Angekuwa nazo vifaa vya CHADEMA 'asingevirudisha' CCM ila CHADEMA.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
On Thursday, April 24, 2014 8:41 PM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Tunakusubiri na wewe Mabadiliko Chadema uhamie uko vile vile.
em
2014-04-24 11:48 GMT-04:00 MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com>:
--Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema wilaya ya Meatu Kimwaga Jackson Ndibo akirudisha vitu vya Chadema zikiwemo kadi, bendera na katiba kwa viongozi wa CCM baada ya kurudi rasmi.Mwenyekiti wa Vijana mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga alikabidhi kadi ya CCM kwa viongozi wa Chadema Meatu waliorudi CCM.Mwenyekiti wa Vijana mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga alihutubia wakazi wa wilaya ya Meatu na kuwahakikishia wananchi hao CCM imejipanga kuendelea kuleta maendeleo ya nchini.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment