Thursday, 24 April 2014

Re: [wanabidii] USHAHIDI KWAMBA SERIKALI 3 NI RAHISI KULIKO SERIKALI 2

Takwimu alizotuwekea Gikaro hata kama si sahihi sana lakini ndo frame ya mambo yaliyotakiwa kujadiliwa bungeni. Heko ndugu Gikaro kwa kuonyesha njia kwa wenye mioyo migumu.

Naona wanajamvi wanaweza kuwa wajumbe wazuri wa bunge la katiba badala ya hao walioteuliwa. Kama kuna mbunge yupo humu jamvini namuomba akajitahidi kupata hoja zenye mashiko humu humu jamvini zimsaidie kutetea msimamo wake kama anajua kwamba wapo watanzania wenye akili timamu kama yeye au zaidi yake wanaohitaji katiba safi. Tofauti na hapo tutaendelea kuwaona kama ndege walio mtini wameshiba na kuanza kupiga kelele ovyo. Mambo ya mtu kuongea mimi ni muumini wa serikali 2 ambazo hata hazimo kwenye rasimu ni dalili ya utapeli na kupoteza fedha za walalahoi bure na mwisho kututungia katiba itakayodumu kwa miaka miezi au miaka michache sana.

Ebu jitahidi kutuonyesha kwa takwimu na hoja zenye mwelekeo wa kutufanya tuamini kwamba pendekezo letu la serikali tatu halifai. Hoja zisizo na mashiko hazitatufanya kubadili msimamo na badala yake zinatufanya tuendelee kujikita kwenye serikali tatu na kuanza kuhoji kama kweli nyinyi wabunge ni chaguo sahihi la wananchi wa majimbo munayowakilisha

2014-04-24 5:54 GMT+03:00 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>:

Fred

Kuna mtu kauliza Vipi gharama za Serikali washirika? Inawezekana nazo zikaongezekaa tofauti na sasa

On Apr 24, 2014 5:21 AM, "&#39;Fred Hans Kipamila &lt;fhkipamila@yahoo.com&gt;&#39; via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ndugu zangu mbona tunabishana bila sababu?
kwa heasabu za Gikaro serikali 3 ni rahisi kuliko serikali 2 hata kama mshahara wa waheshimiwa hao anaowataja utakuwa shilingi 100.000
--------------------------------------------
On Wed, 4/23/14, herirashid@yahoo.com via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: RE: [wanabidii] USHAHIDI KWAMBA  SERIKALI 3 NI RAHISI KULIKO SERIKALI 2
 To: wanabidii@googlegroups.com, "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Wednesday, April 23, 2014, 9:47 AM

 Bariki kama unauhakika toa
 uthibitisho. Kubisha bila uthibitisho ni kujiaibisha tu!

 Hata hivyo, hata kama viwango vya mshahara civyo
 vilivyotolewa, gharama haiwezi lingana.
 -----Original Message-----
 From: "'Gikaro Ryoba
 Sent:  23/04/2014, 19:15
 To: "wanabidii@googlegroups.com"
 Subject: Re: [wanabidii] USHAHIDI KWAMBA SERIKALI 3 NI
 RAHISI KULIKO SERIKALI 2

 Mkuu, kwani makatibu wakuu katika wizara 15 watakuwa
 wakilipwa pesa nyingi zaidi kuliko hawa wa wizara ya 27? ina
 maana kwamba hao wa wizara 15 watakuwa wanalipwa mshahara
 mkubwa zaidi ya hawa wa sasa kwenye wizara 27?

 hoja hapa ni wingi wa wizara na gharama. kama umeona kwamba
 huo mshahara ni mdogo kuliko watakaolipwa mawaziri 15 wa
 serikali 3 ukilinganisha na hawa 60 wa serikali 2, basi toa
 takwimu. usibishe tu kama vile upo kwenye kijiwe cha
 kahawa.

 On Wednesday, April 23, 2014 6:35 PM, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
 wrote:

 Gikaro

 Hivyo viwango vya mishahara na posho za mawaziri ulizo
 ziweka (ukiacha maelezo mengine) ni vya uongo. Hakuna Waziri
 mwenye kulipwa mshahara huo wa 20m kwa mwezi. Pia kwa upande
 wa hao Makatibu wakuu (ambao hawazidi 27) nao hawana
 mishahara mikubwa ya anasa kama unavyoweka hapa, nina
 uhakika na haya.

 2014-04-23 18:26 GMT+03:00 'Gikaro Ryoba <gikaroryoba@yahoo.com>'
 via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

 Ushahidi
 mdogo tu unaoonyesha kwamba serikali 3 ni rahisi kuziendesha
 kuliko serikali 2
 unapatikana katika rasimu ya katiba inayojadiliwa sasa hivi
 Dodoma, ambayo
 inapigwa vita na kundi la wengi kwa nguvu zao zote (na hata
 ikibidi wako tayari
 kuingia msituni kutetea serikali 2). Sura zifuatazo
 zinadhihirisha gharama
 hizi:
 >
 >USHAHIDI
 WA KWANZA
 >Sura
 ya saba, ibara ya 98(2). Kifungu hiki kinasomeka ifuatavyo:
 >
 >"Kwa
 madhumuni ya ibara ndogo ya 98(1), idadi ya mawaziri na
 manaibu waziri wa
 serikali ya Jamhuri ya Muungano, haitazidi 15". Mwisho wa
 kunukuu.
 >
 >Idadi
 ya mawaziri na manaibu waziri katika serikali ya sasa ni
 zaidi ya 60! Kila waziri
 analipwa mshahara (excluding gharama za nyumba, gari,
 mafuta, safari na anasa
 zingine) wa Tsh 20,000,000. Jumla ya mshahara kwa mawaziri
 60 wa serikali 2 ni
 Tsh 20,000,000×60= 1,200,000,000. Hizi ni Tsh 1.2 billion
 (sawa na Tsh 14.4
 bilion kwa mwaka).
 >
 >Mshahara
 wa mawaziri 15 wanaopendekezwa katika serikali 3 ni Tsh
 20,000,000×15=300,000,000.
 Hizi ni Tsh million 300 (sawa na Tsh 3.6 billion).
 >
 >Kwa
 hivyo mtaona kwamba gharama ya kuendesha mawaziri 15 wa
 serikali 3 ni rahisi
 kwa Tsh billion 10.8 sawa na 75%. Haya, sasa wale mnaodai
 kwamba serikali 3 ni
 ghali huwa mnatumia kigezo gani? Msidhani kila mtanzania ni
 zuzu. Mnaposema ughali
 au urahsi sharti muoneshe mnakokotoaje hizo gharama, sio
 watu wanakaririshwa
 majibu kwenye vikao halafu wanakuja kupayuka hadharani bila
 takwimu. Huo ni
 ujuha!
 >
 >USHAHIDI
 WA PILI
 >Kwa
 mujibu wa rasimu ya katiba ibara ya 113(1) na (2) idadi ya
 wabunge
 inayopendekezwa kwenye rasimu ni wabunge 70 wa kuchaguliwa
 (50 kutoka Tanganyika
 na 20 kutoka Zanzibar) na 5 walemavu watakaoteuliwa na rais.
 Hawa ni sawa na jumla
 ya wabunge 75. Bunge la sasa lina jumla ya wabunge 389 wa
 kuchaguliwa na 10 wa
 kuteuliwa, sawa na wabunge 399. Kila mbunge hulipwa Tsh
 11,000,000 (+5,000,000
 za jimbo)=16,000,000. Wabunge wote 399 wanalipwa jumla ya
 Tsh 399×16,000,000=6,384,000,000
 (sawa na billion 6.4). Gharama ya wabunge hawa kwa mwaka ni
 Tsh 76.4 bilion.
 >
 >Gharama
 kwa wabunge 75 wa serikali 3 ni Tsh
 16,000,000×75=1,200,000,000(sawa na Tsh
 14.4 bilion kwa mwaka).
 >Tofauti
 ya gharama za kuendesha bunge la serikali 2 ukilinganisha na
 bunge la seriakli
 3 ni Tsh 62 bilion. Sasa hawa waongo wanaosema kwamba
 kuendesha serikali 3 ni
 ghali wanatumia kigezo kipi hawa vilaza?
 >
 >KUMBUKA: 
 >Ukokotozi
 wa gharama uliofanywa hapo juu haujumuishi gharama za
 mishahara, marupurupu,
 mafuta, safari, anasa, nk za makatibu wakuu, makamishina,
 wakurugenzi na wakuu
 wa idara katika wizara husika. Ukijumlisha na gharama za
 kuwalipa viongozi hawa
 pesa zitakuwa nyingi zaidi ya mara mbili ya hizo
 zilizokotolewa hapo juu. Huu ushahidi
 unatosha kabisa kuonyesha kwamba serikali 3 ni rahisi kuliko
 serikali 2. Kwa hiyo,
 ule uongo mnaoambiwa na wanasiasa kwamba serikali 3 ni ghali
 kuliko 2 mnapaswa
 kuupuuzilia mbali. Wanakudanganyeni kwa maslahi yao binafsi
 ya kisiasa ili
 waendelee kukukandamizeni, kukumasikinisha na kukuchukulieni
 kama mazuzu wa
 kupandia ngazi za madaraka na kujichumia mali kwa ajili ya
 matumbo yao binafsi.
 >
 >
 >TAHADHARI
 >Kwa
 upande mwingine, ifungu hivyo nilivyonukuu hapo juu ni mwiba
 mkali kwa CCM
 kwani vinawanyima uhuru wa kujitungia wizara na kuwapa
 uwaziri makada wao kama
 zawadi kwa kazi nzuri ya kukitumikia chama. Wanapenda
 tuendelee na mfumo ghali
 wa serikali 2 ili wananchi waendelee kubebeshwa gharama za
 kuendesha serikali
 kwa manufaa yao binafsi. Mwenye macho haambiwa tazama. Kila
 mtanzania anapaswa
 kufunguka macho na kuhoji hizo gharama wanazodai
 wanazikokotoa kwa kutumia
 kigezo kipi. Sio mtu unakaririshwa kwamba serikali 3 ni
 ghali kuliko 2
 unakubali tu kama zuzu. Unatakiwa kuhoji. Ujinga wa
 watanzania kutohoji mambo ndio
 unaosababisha wanasiasa waendelee kutudanganya na kutufanya
 ngazi za kupandia
 na kuning'inia madarakani kwa manufaa yao binafsi.
 >
 >
 >N.B
 >Uchambuzi
 zaidi kuhusu gharama kubwa za kuendesha serikali 2
 ukilinganisha na serikali 3
 utafuata baadaye. Nataka wale waongo wanaowadanganya raia
 kwamba serikali 3 ni
 ghali kuliko 2 waumbuke mchana kweupe.
 >
 > --
 >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 >
 >Kujiondoa Tuma Email kwenda
 >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 >
 >Disclaimer:
 >Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility for any legal consequences of his or her
 postings, and hence statements and facts must be presented
 responsibly. Your continued membership signifies that you
 agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
 and Guidelines.
 >---
 >You received this message because you are subscribed to
 the Google Groups "Wanabidii" group.
 >To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 >For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
 >

 --
 Bariki G. Mwasaga,
 P.O. Box 3021,
 Dar es Salaam, Tanzania
 +255 754 812 387

 --
 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:
 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.
 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment