Wednesday, 23 April 2014

Re: [wanabidii] USHAHIDI KWAMBA SERIKALI 3 NI RAHISI KULIKO SERIKALI 2

Kama tatizo ni neno 'mshahara', ngoja tuliondoe tuweke neno 'gharama' za waziri/mbunge labda ndio litakaa vizuri. Kwa sababu tunaambiwa kwamba wabunge wanalipwa tsh 2.3 milioni lakini, gharama za posho, mafuta, fedha ya jimbo, allowances na utumbo mwingine zina-sum up to 10M! Basi tuache kutamka neno 'mshahara' tutamke 'gharama' kana kwamba hizo allowance wanazolipwa zinaokotwa chini kama mchanga!

On Wednesday, April 23, 2014 7:50 PM, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
Heri nimesema na ninaomba nirudie kusema sijazungumzia viwango vya gharama kufanana ila nimepinga viwango vya mishahara. Mimi ni Mtumishi wa Umma na Sheria haziruhusu ila kama ukitaka kuamini zaidi nenda pale Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Sheria inakuruhusu kuhakiki mali za viongozi ambapo najua mojawapo ya chanzo cha mapato ni mshahara wake ambao utakuwa umeainishwa kwenye fomu. Ila kusema kuwa Waziri analipwa mshahara wa milioni 20 hilo halipo hata kidogo. Au ukitaka msaada zaidi wa hili nenda Bungeni kaombe vitabu vya MTEF utaona tarakimu zote

2014-04-23 19:47 GMT+03:00 herirashid@yahoo.com via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Bariki kama unauhakika toa uthibitisho. Kubisha bila uthibitisho ni kujiaibisha tu!

Hata hivyo, hata kama viwango vya mshahara civyo vilivyotolewa, gharama haiwezi lingana.
-----Original Message-----
From: "'Gikaro Ryoba
Sent:  23/04/2014, 19:15
To: "wanabidii@googlegroups.com"
Subject: Re: [wanabidii] USHAHIDI KWAMBA SERIKALI 3 NI RAHISI KULIKO SERIKALI 2

Mkuu, kwani makatibu wakuu katika wizara 15 watakuwa wakilipwa pesa nyingi zaidi kuliko hawa wa wizara ya 27? ina maana kwamba hao wa wizara 15 watakuwa wanalipwa mshahara mkubwa zaidi ya hawa wa sasa kwenye wizara 27?

hoja hapa ni wingi wa wizara na gharama. kama umeona kwamba huo mshahara ni mdogo kuliko watakaolipwa mawaziri 15 wa serikali 3 ukilinganisha na hawa 60 wa serikali 2, basi toa takwimu. usibishe tu kama vile upo kwenye kijiwe cha kahawa.

On Wednesday, April 23, 2014 6:35 PM, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:

Gikaro

Hivyo viwango vya mishahara na posho za mawaziri ulizo ziweka (ukiacha maelezo mengine) ni vya uongo. Hakuna Waziri mwenye kulipwa mshahara huo wa 20m kwa mwezi. Pia kwa upande wa hao Makatibu wakuu (ambao hawazidi 27) nao hawana mishahara mikubwa ya anasa kama unavyoweka hapa, nina uhakika na haya.

2014-04-23 18:26 GMT+03:00 'Gikaro Ryoba <gikaroryoba@yahoo.com>' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

Ushahidi
mdogo tu unaoonyesha kwamba serikali 3 ni rahisi kuziendesha kuliko serikali 2
unapatikana katika rasimu ya katiba inayojadiliwa sasa hivi Dodoma, ambayo
inapigwa vita na kundi la wengi kwa nguvu zao zote (na hata ikibidi wako tayari
kuingia msituni kutetea serikali 2). Sura zifuatazo zinadhihirisha gharama
hizi:
>
>USHAHIDI
WA KWANZA
>Sura
ya saba, ibara ya 98(2). Kifungu hiki kinasomeka ifuatavyo:
>
>"Kwa
madhumuni ya ibara ndogo ya 98(1), idadi ya mawaziri na manaibu waziri wa
serikali ya Jamhuri ya Muungano, haitazidi 15". Mwisho wa kunukuu.
>
>Idadi
ya mawaziri na manaibu waziri katika serikali ya sasa ni zaidi ya 60! Kila waziri
analipwa mshahara (excluding gharama za nyumba, gari, mafuta, safari na anasa
zingine) wa Tsh 20,000,000. Jumla ya mshahara kwa mawaziri 60 wa serikali 2 ni
Tsh 20,000,000×60= 1,200,000,000. Hizi ni Tsh 1.2 billion (sawa na Tsh 14.4
bilion kwa mwaka).
>
>Mshahara
wa mawaziri 15 wanaopendekezwa katika serikali 3 ni Tsh 20,000,000×15=300,000,000.
Hizi ni Tsh million 300 (sawa na Tsh 3.6 billion).
>
>Kwa
hivyo mtaona kwamba gharama ya kuendesha mawaziri 15 wa serikali 3 ni rahisi
kwa Tsh billion 10.8 sawa na 75%. Haya, sasa wale mnaodai kwamba serikali 3 ni
ghali huwa mnatumia kigezo gani? Msidhani kila mtanzania ni zuzu. Mnaposema ughali
au urahsi sharti muoneshe mnakokotoaje hizo gharama, sio watu wanakaririshwa
majibu kwenye vikao halafu wanakuja kupayuka hadharani bila takwimu. Huo ni
ujuha!
>
>USHAHIDI
WA PILI
>Kwa
mujibu wa rasimu ya katiba ibara ya 113(1) na (2) idadi ya wabunge
inayopendekezwa kwenye rasimu ni wabunge 70 wa kuchaguliwa (50 kutoka Tanganyika
na 20 kutoka Zanzibar) na 5 walemavu watakaoteuliwa na rais. Hawa ni sawa na jumla
ya wabunge 75. Bunge la sasa lina jumla ya wabunge 389 wa kuchaguliwa na 10 wa
kuteuliwa, sawa na wabunge 399. Kila mbunge hulipwa Tsh 11,000,000 (+5,000,000
za jimbo)=16,000,000. Wabunge wote 399 wanalipwa jumla ya Tsh 399×16,000,000=6,384,000,000
(sawa na billion 6.4). Gharama ya wabunge hawa kwa mwaka ni Tsh 76.4 bilion.
>
>Gharama
kwa wabunge 75 wa serikali 3 ni Tsh 16,000,000×75=1,200,000,000(sawa na Tsh
14.4 bilion kwa mwaka).
>Tofauti
ya gharama za kuendesha bunge la serikali 2 ukilinganisha na bunge la seriakli
3 ni Tsh 62 bilion. Sasa hawa waongo wanaosema kwamba kuendesha serikali 3 ni
ghali wanatumia kigezo kipi hawa vilaza?
>
>KUMBUKA:
>Ukokotozi
wa gharama uliofanywa hapo juu haujumuishi gharama za mishahara, marupurupu,
mafuta, safari, anasa, nk za makatibu wakuu, makamishina, wakurugenzi na wakuu
wa idara katika wizara husika. Ukijumlisha na gharama za kuwalipa viongozi hawa
pesa zitakuwa nyingi zaidi ya mara mbili ya hizo zilizokotolewa hapo juu. Huu ushahidi
unatosha kabisa kuonyesha kwamba serikali 3 ni rahisi kuliko serikali 2. Kwa hiyo,
ule uongo mnaoambiwa na wanasiasa kwamba serikali 3 ni ghali kuliko 2 mnapaswa
kuupuuzilia mbali. Wanakudanganyeni kwa maslahi yao binafsi ya kisiasa ili
waendelee kukukandamizeni, kukumasikinisha na kukuchukulieni kama mazuzu wa
kupandia ngazi za madaraka na kujichumia mali kwa ajili ya matumbo yao binafsi.
>
>
>TAHADHARI
>Kwa
upande mwingine, ifungu hivyo nilivyonukuu hapo juu ni mwiba mkali kwa CCM
kwani vinawanyima uhuru wa kujitungia wizara na kuwapa uwaziri makada wao kama
zawadi kwa kazi nzuri ya kukitumikia chama. Wanapenda tuendelee na mfumo ghali
wa serikali 2 ili wananchi waendelee kubebeshwa gharama za kuendesha serikali
kwa manufaa yao binafsi. Mwenye macho haambiwa tazama. Kila mtanzania anapaswa
kufunguka macho na kuhoji hizo gharama wanazodai wanazikokotoa kwa kutumia
kigezo kipi. Sio mtu unakaririshwa kwamba serikali 3 ni ghali kuliko 2
unakubali tu kama zuzu. Unatakiwa kuhoji. Ujinga wa watanzania kutohoji mambo ndio
unaosababisha wanasiasa waendelee kutudanganya na kutufanya ngazi za kupandia
na kuning'inia madarakani kwa manufaa yao binafsi.
>
>
>N.B
>Uchambuzi
zaidi kuhusu gharama kubwa za kuendesha serikali 2 ukilinganisha na serikali 3
utafuata baadaye. Nataka wale waongo wanaowadanganya raia kwamba serikali 3 ni
ghali kuliko 2 waumbuke mchana kweupe.
>
> --
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>

--
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment