Eng Kunyaranyara,
Naheshimu sana mawazo tofauti maana kama sote tungefikiria namna moja tungeteketea pamoja.
Ni suala la mtizamo. Kwangu mimi kuwa na kitu na kutokitumia hakuna tofauti na kutokuwa nacho. Kwa maneno mengine mhandisi ni kuwa ukiamua kuweka knowledge yako ya FOE/COET pembeni kwenye ujenzi wa barabara au jengo, utakuwa na tofauti gani na mtu asiye nayo hiyo knowledge?
Denis
Mimi nakupinga kwa nyongeza yako. Na sababu yangu ya kupinga ni hii. Umaskini wa kitu ni ile hali ya kutokuwa nacho. Hapa hakuna mtu.asiyekuwa na akilli.Tofauti inakuja jinsi kila mtu anavyoamua kuitumia akili yake. Hapa ndipo linakuja swala la utashi wa mtu mwenyewe.
Unaona sasa kwa hiyo hakuna maskini wa akili huenda matumizi yasiyo lingana na matakwa ya mwingine ya akili ya mtu. Swala la uhuru wa mawazo na uhuru wa kufikiri linachukuaa nafasi yake.
Kutaka kila mtu afikiri au afaanye.ambavyo unataka wewe ni mojawapo ya Udikteta. Ukipata nafasi jaribu ku-google Dictatorship utaona hichi ninachokisema.
--
From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>;
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Umaskini wetu ni upi?
Sent: Mon, Apr 7, 2014 2:29:40 AM
Ongezea (e). Umaskini wa akili!
On 06/04/2014 11:53 PM, "Erick Maro" <rikmaro@gmail.com> wrote:--B na C
On Apr 6, 2014 11:02 AM, "John Juma Mkakati" <mkakati2015@gmail.com> wrote:----Chagua jibu sahihi.' Umaskini wetu ni upi?(a) kusababishwa na ukoloni(b) sera mbovu ya serikali kuhusu uchumi.(c) uvivu wa watz katika kazi.(d) majibu yote ni sawa.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment