Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Tunaomba mheshimu michango ya watu , na usiharibu mchango wake kwa kuingiza vitu ambavyo havihusiki , kama huwezi kusoma vitu virefu ni udhaifu wako na huko uliko funzwa , humu kuna watu wengi wanaosoma michango ya wenzao .
2014-04-19 11:16 GMT+03:00 Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>:
Pepo ya ukawa na ushetani wa ubaguzi. wapo wanaoandika ndefu kuliko hii sijaona mkilalamika au kwa vile wanaandika kuitukana serikali? Hulazimishwi kusoma kila kitu labda umbumbumbu wako unakutuma hivyo. Futa, wacha, soma nyingine. Ninaushukuru mtanda huu na juhudi za Yona, kwani nimeprint na kubind majitabu kibao na downloads zenye manuafaa kwangu. Usiwe na akili kama za UKAWA.On Saturday, 19 April 2014, 10:16, lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> wrote:
kiwasilaa
jitahidi kuwa precise its too long mtu kusoma yoooteOn Saturday, April 19, 2014 9:57 AM, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:
----- Forwarded Message -----![]()
This message is eligible for Automatic Cleanup! (khildegarda@yahoo.co.uk) Add cleanup rule | More info
Lakini sio wananchi wote wanauelewa wa kutosha katika masuala mengi hufuata mkumbo. Inahitaji mjadala wa muda kumuelewesha aelewe na achanganue kimfaacho. Hivyo ktk kupiga kura ya serikali 2 au 3 anaweza kupigia upande mmojawapo kimkumbo tu. Ndio wananchi hao miradi mingi vijijini wanashindwa kusimamia. Maji hakuna, anakuja mhisani na kuwashirikisha kikamilifu na kuunda kamati za usimamizi mradi. Baada ya muda-mabomba yameibiwa na waibao ni vijana wao. wakikamatwa kuwawekea dhamana kuwatoa. Kisha mama anatembea siku nzima kuchota ndoo moja ya maji. Anaona hatari na ugumu huo bado anabomoa akauze na pesa anakunywia kiroba au gongo. Ni hao wa mabondeni kujena majumba ya gharama na yasiyo gharama. Leo wanaopolewa kwa boat, wanaonywa, wanapoteza mali na ndugu wanakufa. Jua likitoka siku moja wanarudi, usiku wanazolewa na maji, kesho kutwa wanarudi tena-Temezoea mjini.
Waadhirika mabondeni mfano DSM wakipewa plot na mabati na siment-wanauza wanarudi hatarini. Anauza eneo kwa hela nyingi anazitumia hovyo na kuhamia maeneo hatarishi hata kama ameona madhara yake na kutakiwa kuhama. Na bado wataendelea kuchimba mchanga hapo bondeni na mto uliokaribu wanautanua na kuongeza maafa yao na upana wa maeneo ya mafuriko. Nia hao watupao malundo ya taka miferejini ili wasichangie shs elfu moja ya uzoaji taka kwa wiki na ni hao walalao na kinyesi cha mji mzima hadi darini maji yanapojaa. Ni huyo ambaye AMREF inatoa mafunzo machimboni na picha na m,ifano ya athari za madini atumiayo wachimbaji wadogo waogo na bado anayachezea, akipata madhara-amerogwa na anamuua kikongwe jirani yake. Tatizo lake si matendo yake ya kuchezea mercury, zinaa machimboni na ukimwi na matangazo ya HIV kibao lakini kaona kizee kimemroga. Kuchimbua mlima, kukata miti, mifugo maelfu inayokausha mito na anatembea kilomita makumi kutafuta maji na nyasi za malisho lakini atakupiga --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Subscribe to: Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment