Wednesday, 16 April 2014

Re: [wanabidii] UKAWA waondoka Bungeni!

Lessian,
Ni upuuzi mwingine mchangiaji kusema UKAWA wana mipasho hali mchango wako huo huo unaotoa hapa umekaa kimipasho pia.

Hii rasimu ni yetu wote, hakuna aliyetegemea CCM kujifanyia maamuzi yao!! Wooote tulijua wabunge wetu wanaenda kujadili rasim ya katiba yetu sote bila kujali vyama!!! Kusema wangekataa kuingia huwatendei haki!! Hata wazazi wangeonyeshwa future ya watoto wao wengi wasingezaa nakuapia ukiwemo wewe kuna uzazi ungeuruka!
Tukubali ukweli uliopo!! Hakuna maendeleo ndani ya chama kikongwe kama CCM maana kila mmoja wao anajitahidi kufukia mabonde ya waliopita. Utasubiri sana.

Kama kweli wewe ni mpenda haki basi na tuanze na tin number yako tulinganishe idadi ya nyumba unazouza, na mapato uliyolipa serikali katika kila biashara uliyofanya.
Usitupe mawe wakati upo kwenye mwangaza na wenzio tupo gizani.

"...by citizenship am a Tanzanian, nationality African..."

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment