Wana wa tanzania wenzangu
Dawa ya kutatua tatizo si kukimbia. Wasomi wetu wameonyesha udhaifu kwenye hili. RIP in ADvance a.k.a ( JL word) walionyesha msimamo wao tangu mapema mkadharau. Tangu kuanza kwa kutengenezwa taratibu za kuongoza bunge. Mlikubaliana hoja zenye upinzani mtazipigia kura na mshindi atapatikana. Na mchakato ukikamilika rasimu inaletwa kwa wananchi kupigia kula ya maoni. Hivyo kila upande kupiga kampeni yake ili kuikubali au kuikataa rasimu. Nyie kama wasomi mngemaliza part yenu na ibakie sehemu ya wananchi kuplay part yao. ili tuone kipi kitakubalika. Sasa mnawaachia RIP In advance waandike katiba kwa jinsi wanavyotaka wao. Baadae mkipigwa bao uchaguzi mkuu mnasema mmeonewa. 2014-04-17 13:40 GMT+03:00 Paul Lawala <pasamila292000@gmail.com>:
Sasa propaganda ya kwamba washaweka posho kibindoni imeshika kasiTuone na mantiki ya walichowasilisha pia2014-04-17 12:14 GMT+03:00 Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>:
Nilishangaa jana kuna mjumbe mmoja alidai kwenye rasimu ya katiba
imtambue Mungu. Maana yake ni nini katiba kumtambua Mungu wakati
wanaoijadili hawamtambui kwa maneno na matendo yao? Naona kujificha
kwenye kivuli cha Mungu ni unafiki kabisa, hata dua inayosomwa sioni
mantiki yake.
>> ------------------------------
On 4/17/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
>
>
> Bunge Maalum la Katiba linaendelea mjini Dodoma likiwa na wajumbe kutoka
> vyama vya upinzani visivyokuwa na wabunge vikiwemo vya APPT-Maendeleo,
> Demokrasia Makini,ADC, Jahazi Asilia, Chama cha Wakulima AFP, TADEA, UPDP,
> CCK, Chausta, Sauti ya Umma, UMD,DP, NLD,NRA na UDP.
>
> Akizungumza bungeni leo asubuhi mmoja wa wajumbe mh. Issac Cheyo amesema
> wapo wan a ukawa wanaoamini kufanya majadiliano badala ya kukimbia Kama
> yeye na baadhi ya wenzake waliorudi bungeni.
>
>
> On Thursday, April 17, 2014 1:35:46 AM UTC-7, Monica Malle wrote:
>>
>> Hawajasusa chochote wamesikia bunge linaahirishwa kesho na posho
>> wameshaweka kibindoni wanajifanya kususa hawana lolote mafisadi wakubwa
>> wameiba posho jasho la wananchi, na mwezi wa nane wasirudi waone kama
>> katiba haitatengenezwa tena nzuri tuu wavurugaji hao. Poasho ikiisha
>> utawaona wamerudi mjengoni,cheze posho wewe!
>>
>> Date: Wed, 16 Apr 2014 20:17:39 +0100>> From: khild...@yahoo.co.uk <javascript:>
>> Subject: Re: [wanabidii] UKAWA waondoka Bungeni!>> To: wana...@googlegroups.com <javascript:>
>>>> <vmha...@gmail.com<javascript:>>
>> Kama wanawakilisha wananchi na wanaupendo na nchi yao, ni wakweli sio
>> waongo kuogopa kukaa kwa vile vidhibiti vimewaaibisha-wangerudisha posho.
>>
>> Wangechukua kiasi kile tu cha mpaka siku walipoondoka. Wanatofauti gani na
>>
>> vibaka na mafisadi wa mali ya umma? Aibu ya wasomi waporaji mali ya umma.
>>
>> On Wednesday, 16 April 2014, 17:20, Vincent Mhangwa
>> Send Emails to wana...@googlegroups.com <javascript:>>> wrote:
>> Kwanini wame toka bungeni? Sijapata jibu ili tuchangie vizuri.
>> On 16 Apr 2014 14:06, "Johale Magere" <johale14@gmail.com> wrote:
>>
>> Wamesusa tena,ila watarudi tu,ndio mtindo wa siasa za Kitanzania
>> Magere J.
>> On Apr 16, 2014 4:49 PM, "Emma Kaaya" <emmakaaya@gmail.com> wrote:
>>
>> UKAWA waondoka Bungeni! Lipumba adai wao wanawaachia Intarahamwe ukumbi
>> waendelee watakavyo!
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>>
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

>> wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:> Utapata Email ya
>> kudhibitisha ukishatuma>> Send Emails to wana...@googlegroups.com <javascript:>
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>>
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>
>>
>>
>> --
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:> Utapata Email ya
>> kudhibitisha ukishatuma>> email to wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:>.
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>>
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

XAVERY LANGA NJOVU
0783 662681
" The Poor man is not he without cent, but he who is without a dream" 0783 662681
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment