Thursday, 17 April 2014

Re: [wanabidii] UKAWA waondoka Bungeni!

De kleinson kim
I like your philosophical sentence that goes
"..if your presence cant add value on my life, then your absence doesnt make any difference...."  Ningependa wabunge waliobaki ukumbini waipitie pengine itawasaidia. Mr. Joseph Ludovick wakati mwingine jifunze kusoma au kusikia usiyoyapenda toka kwa werngine. Maneno kama " usitoke povu bure" si lugha nzuri kutumia hapa jukwaani. Jitahidi kujenga hoja bila jaziba. Wewe ndo unaona point walizonazo wabunge wa CCM. Nashindwa kuwaelewa wanachofanya bungeni kama wanaikataa rasimu aliyowakilisha jaji Warioba. Kinachowaweka bungeni ni njaa na unafiki. Kuna haja gani ya kuendelea kujadili kitu ambacho wanasema kimechakachuliwa? Kwa nini tangu mwanzo wasipendekeze kwamba iundwe tume huru mpya ili tupate maoni ya wananchi ambayo watakuwa na imani nayo? Hawa nao kama si kutuibia ela zetu ni kitu gani? Msingi wa majadiliano ni maoni ya wananchi sasa kama wao hawayakubali wanachojadili ni nini kama si upuuzi na kusogeza siku za kupata posho bure?

Bravo UKAWA ni jambo lisilokubalika kuendelea kujadili hoja ambazo si maoni ya wananchi bali maoni ya watawala ili waendelee kula kuku kwa mrija. Jana nimemshangaa mtu aliyejiita Prof. akitoa hoja isiyokuwa na mashiko. Eti sample siyo sahihi kwani Warioba alikuwa na questionnaires za kuwapa watu wote walioudhuria mikutano ya katiba kujaza? Kama mkoa fulani watu walijitokeza kwa wingi na mingine hawakujitokeza angefanyaje? Angewafuata majumbani? Ina maana professor mzima hajui kwamba tuna approach nyingine ya research inayoitwa qualitative? ambapo content analysis ufanywa bila kuangalia wingi bali uzito wa jambo analoongea mtu? Anatwambia mabaraza ya kata, mabaraza haya wajumbe wake walikuwa wakilishwa ya kuongea na wakiulizwa sababu inaonekana wazi kwamba si mawazo ya wananchi bali ya CCM, kitu ambacho tume isingekubali kuyapa uzito mawazo hayo. Huyu professor ningeshauri asiruhusiwe kufundisha maana atawapoteza wanafunzi wake.

On Thu, Apr 17, 2014 at 10:16 AM, Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com> wrote:
Mike nilikuwa na maana wachache waliomo katika Bunge Maalumu la Katiba! Wengi ni Wananchi wote katika ujumla wao waliotoa maoni kwa Tume.

Date: Thu, 17 Apr 2014 08:10:46 +0100
From: mikezunzu@yahoo.co.uk

Subject: Re: [wanabidii] UKAWA waondoka Bungeni!
To: wanabidii@googlegroups.com

Wewe, embegu
Unasema mawazo ya wananchi yamechakachuliwa na wachache? Wachache si diyo walioachia ngazi, ungelisema mawazo ya wananchi yamechakachuliwa na walio wengi ningelikuelewa.
Hata hivyo kitu kuchakachua ni sawa na vizi, je hata kama mpo wengi ni haki kuiba na kunyanganya haki ya wale wasikuwa na uwezo wa kupewa nafasi ya kuketi bungeni na kuyanyambulisha mawazo yao kwa manufaa ya maisha yao na kwa vizazi vijavyo ?

On Wednesday, 16 April 2014, 18:52, Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com> wrote:
Kuwauliza tena wananchi ni matumizi mabaya ya fedha. Wananchi walisha maliza​, wachakachuaji ni maccm. Wanantaka kuipeleka wapi inchi hii?

On 16 April 2014 20:45, embegu <embegu@hotmail.com> wrote:
Tume ya Marekebisho ya Katiba iliundwa kwa mujibu wa Sheria, imekusanya mawazo ya wananchi kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa, imewasilisha mawazo hayo halafu yanaanza kuchakachuliwa na wachache kadiri ya matakwa yao pasipo kufuata taratibu! Iwapo Tume ilikiuka taratibu, au matokeo yake hayaaaminiki, kwa nini wananchi wasiulizwe tena?

Sent from Samsung tablet

-------- Original message --------
From: Bariki Mwasaga
Date:16/04/2014 19:35 (GMT+03:00)
To: wanabidii
Subject: Re: [wanabidii] UKAWA waondoka Bungeni!

Ludo
Nakumbuka sakata la ushauri wako pamoja na mashambulizi kibao
On Apr 16, 2014 7:11 PM, "Vincent Mhangwa" <vmhangwa@gmail.com> wrote:
Mimi bado sijaielewa sababu. Je wameongea na vyombo vya habari?
On 16 Apr 2014 15:53, "Alade Maluli" <mnyilula@gmail.com> wrote:
Wamechelewa sana,ingawa wanasema better late than ever,
On Apr 16, 2014 5:50 PM, "Erick Maro" <rikmaro@gmail.com> wrote:
Umeona Bariki.
Ila wamechelewa kuchukua hayo maamuzi.
On Apr 16, 2014 5:48 PM, "Bariki Mwasaga" <bmwasaga@gmail.com> wrote:
Au Prof Jwani Mwaikusa alivyotendwa
On Apr 16, 2014 5:43 PM, "Erick Maro" <rikmaro@gmail.com> wrote:
Atakutumia maspy wake wakunyonge kama walivyomfanya aliyekuwa mkuu wake wa usalama
On Apr 16, 2014 5:35 PM, "ELISA MUHINGO" <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
Interahamwe ni jina la kikundi cha vichana wa chama tawala wakati wa habyalimana huko rwanda. kilianza kwa kushangilia wakubwa. baadaye kiaambiwa wanaweza kutemea mate watutsi. baadaye wakaambiwa mnaweza kuwapoga kwa mawe baada ya hatua hiyo wakapewa mapanga na kuanza mauaji mara baada ya Kagame kuangusha ndege ya Rais wao. kagame atakubaliana na kila nilichoandika humu isipokuwa atapinga kuangusha ndege na kumuua Habyalimana

On Wednesday, April 16, 2014 5:30 PM, Nzweke Mussa <tugutunm@gmail.com> wrote:
OK. Intarahamwe ni nini?

Nzweke Mussa Tugutu
Area Sales Executive
Nyanza Bottling Company Ltd
Box 1242
Bukoba, Tanzania.
Mobile: +255754894535
               +255784894535
Mail ID: tugutunm@yahoo.com
               tugutunm@gmail.com
Instagram: nzweke
On Apr 16, 2014 5:27 PM, "Heri Rashid" <herirashid@yahoo.com> wrote:
Point ya prof. Lipumba ni kuwa umoja wa UKAWA wamechoka kuona mawazo ya wananchi yanaendelea kubezwa na Inerahamwe. Kwahiyo wamewaachia interahamwe waendelee na mchakato huo.

Ni maneno ya prof. Lipumba.
Sent from Huawei Mobile

Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com> wrote:

Kwanini wame toka bungeni? Sijapata jibu ili tuchangie vizuri.
On 16 Apr 2014 14:06, "Johale Magere" <johale14@gmail.com> wrote:
Wamesusa tena,ila watarudi tu,ndio mtindo wa siasa za Kitanzania
Magere  J.
On Apr 16, 2014 4:49 PM, "Emma Kaaya" <emmakaaya@gmail.com> wrote:
UKAWA waondoka Bungeni! Lipumba adai wao wanawaachia Intarahamwe ukumbi waendelee watakavyo!
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
0 comments:

Post a Comment