Fakh,
Sijui kama ni mtoto au mjukuu wa Karume, ni mmoja kati ya vijana niliodhani wanauelewa mzuri wa mambo kumbe unaandika kwa hisia si uhalisia. Ni mawazo ya kiuendawazimu kufikiria ukoloni kurudi tena dunia kwa mtindo uleule katika dhama hizi. Kwanini hambadilishi mbinu za kuwadanganya watu?
1995 Kontena la visu vya kukatia mboga jikoni lilitangazwa na aliyekuwa inspecta general wa polisi kama ni visu vya CUF wamejiandaa kwa vita. Akasema kama wao CUF ni ngangari wao ni ngunguri akiligeuza jeshi la polisi kuwa chama cha siasa!
2005 ikawa zamu ya chadema. Vituko vinaendelea, ubaguzi wa dini na ukabila unapandikizwa. Sasa ni zamu ya kina Jusa, Duni, Seif nk eti wanataka kumrudisha mwarabu. Ni bora Zanzibar iwe koloni la Tanganyika kuliko kuwa chini ya mwarabu.
--------------------------------------------
On Mon, 4/21/14, Nico Eatlawe <eatlawe@yahoo.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] UKAWA MNATUMIWA BILA KUJIJUA AU KUNA AJENDA YA SIRI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, April 21, 2014, 2:54 PM
Mimi nafikiri badala ya
kuita ''mere speculations" au
upupu mtupu ni vizuri kumwuliza mleta habari ili
athibitishe. Kutukana tu ni kama CCM na Lissu ambaye hutoa
hoja na CCM kwa vile hawana hoja huishia kutukana. Inaweza
kuwa upupu kweli au inawezekana ni jambo lipo. Waswahili
husema kuwa lisemalo lipo, na kama halipo laja. Hivyo ni
vema kuwa chanya na kuchukua tahadhari stahiki kama Ulaya na
Amerika ambao kila taarifa hufanyiwa kazi badala ya kutupwa
mara moja! On Monday, 21 April 2014, 21:02,
denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:
Upupu mtupu. What a waste
of space!
On 21/04/2014 7:32 PM,
"embegu" <embegu@hotmail.com>
wrote:
Mere speculations!
Sent from Samsung tablet
-------- Original message --------
From: manonga2003@gmail.com
Date:21/04/2014 20:48 (GMT+03:00)
To: Wanabidii
Subject: Re: [wanabidii] UKAWA MNATUMIWA BILA KUJIJUA AU
KUNA AJENDA YA SIRI
Jamshid: If my people want me back, I will certainly go (
Zanzibar). rtsp://r7---sn-5hn7su7k.googlevideo.com/CkELENy73wIaOAlg5BhXy-5E7hMYJCAkFEIGbXYtcmltSARSBXdhdGNoYL-cwPOXvMO-UooBC1pMeEExQzU4Z3dJDA==/0/0/0/video.3gp
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo
Tanzania Network
From: Clavery <tungaraza@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 21 Apr 2014 20:35:22 +0300
To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] UKAWA MNATUMIWA BILA
KUJIJUA AU KUNA AJENDA YA SIRI
Unapoleta taarifa kama hii huna haja ya
kufumba baaadhi ya majina wakati huo huo wengine
ukiwataja. Umemtaja Jussa, ukamtaja Maalim, ukamtaja Sultan
Sayyid. Kwa manufaa ya wanabidii na mjadala wa wazi taja hao
wana usalama ni wa nchi gani badala
ya kusema wanausalma wa nchi fulani.
Kama huna ushahidi iandike ibakie kuwa ni hisia tu kuliko
haya.
Date: Mon, 21 Apr 2014 08:42:23 -0700
From: fkarume@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] UKAWA MNATUMIWA BILA KUJIJUA AU KUNA
AJENDA YA SIRI
UKAWA MNATUMIWA BILA KUJIJUA AU KUNA
AJENDA YA SIRI
: Sultan Sayyid Jamshid bin Said
yupo nyuma ya UKAWA na baadhi ya wanachama wa UKAWA kutoka
Bara wameanza kushtukia
kwamba wanatumika kiaina na Jussa na Maalim kutimiza ndoto
zao za kumrejesha Zanzibar mwana Mfalme huyo wa Oman ambaye
kwa sasa anaishi Uingereza tangu alipotimka Zanzibar 12
Januari, 1964. Miaka ya karibuni, wakati mchakato wa Katiba
unanukia Maalim alifanya
safari kadhaa nchini Uingereza ambapo alikutana
mara kadhaa
na Sultan (kwa msaada wa wanausalama wa nchi flani) ambapo
Sultan alikubaliana na Maalim kuwezesha (kifedha na ushauri)
mchakato mzima wa kuuvunja Muungano ili kuidhoofisha
Zanzibar na kisha Oman itachukua hatamu ya kuipa kila kitu
na kupitia hapo Sultan atatua
ndani ili kuendelea kutawala na kubadirisha mifumo yote ya
kiutawala na kuielekeza Zanzibar kwenye mfumo wa Arabuni.
hiyo yote ni harakati za sultan ikiwa pamoja na misaada ya
kifedha wanayopata ili kufanikisha azma yao
TANZANIA KWANZA UDUMU MUUNGANO NA WAASISI WAKE
NAKUPENDA TANZANIA YANGU NA NAUKUBALI MUUNGAN
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment