Tuesday, 22 April 2014

Re: [wanabidii] UKAWA MNATUMIWA BILA KUJIJUA AU KUNA AJENDA YA SIRI

Inawezekana UKAWA wanatumiwa lakini mleta habari naye kaonyesha wazi kwamba anatumiwa na kundi pingamizi la UKAWA. Kama kweli Zanzibar inahitaji ulinzi toka bara basi iungane na bara kuwa nchi moja. Hata hivyo Sultani akiamua kurudi anarudi mbona wazungu wamerudi japo kwa sura ya misaada. Kama tunataka wasirudi tujenge uchumi imara kwa kuacha wizi na ufisadi wa mali za umma ikiwemo kuacha kulamisha kuwa viongozi wakati uwezo wetu wa kusimamia uchumi ni mdogo. Si rahisi kwa mtu ombaomba kukwepa kuporwa uhuru wake

2014-04-22 6:43 GMT+03:00 Fred Hans Kipamila <fhkipamila@yahoo.com>:
Fakh,
Sijui kama ni mtoto au mjukuu wa Karume, ni mmoja kati ya vijana niliodhani wanauelewa mzuri wa mambo kumbe unaandika kwa hisia si uhalisia. Ni mawazo ya kiuendawazimu kufikiria ukoloni kurudi tena dunia kwa mtindo uleule katika dhama hizi. Kwanini hambadilishi mbinu za kuwadanganya watu?
1995 Kontena la visu vya kukatia mboga jikoni lilitangazwa na aliyekuwa inspecta general wa polisi kama ni visu vya CUF wamejiandaa kwa vita. Akasema kama wao CUF ni ngangari wao ni ngunguri akiligeuza jeshi la polisi kuwa chama cha siasa!
2005 ikawa zamu ya chadema. Vituko vinaendelea, ubaguzi wa dini na ukabila unapandikizwa. Sasa ni zamu ya kina Jusa, Duni, Seif nk eti wanataka kumrudisha mwarabu. Ni bora Zanzibar iwe koloni la Tanganyika kuliko kuwa chini ya mwarabu.
--------------------------------------------
On Mon, 4/21/14, Nico Eatlawe <eatlawe@yahoo.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] UKAWA MNATUMIWA BILA KUJIJUA AU KUNA AJENDA YA SIRI
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Monday, April 21, 2014, 2:54 PM

 Mimi nafikiri badala ya
 kuita ''mere speculations" au
 upupu mtupu ni vizuri kumwuliza mleta habari ili
 athibitishe. Kutukana tu ni kama CCM na Lissu ambaye hutoa
 hoja na CCM kwa vile hawana hoja huishia kutukana. Inaweza
 kuwa upupu kweli au inawezekana ni jambo lipo. Waswahili
 husema kuwa lisemalo lipo, na kama halipo laja. Hivyo ni
 vema kuwa chanya na kuchukua tahadhari stahiki kama Ulaya na
 Amerika ambao kila taarifa hufanyiwa kazi badala ya kutupwa
 mara moja!     On Monday, 21 April 2014, 21:02,
 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:

 Upupu mtupu. What a waste
 of space!
 On 21/04/2014 7:32 PM,
 "embegu" <embegu@hotmail.com>
 wrote:

 Mere speculations!

 Sent from Samsung tablet

 -------- Original message --------

 From: manonga2003@gmail.com

 Date:21/04/2014 20:48 (GMT+03:00)

 To: Wanabidii

 Subject: Re: [wanabidii] UKAWA MNATUMIWA BILA KUJIJUA AU
 KUNA AJENDA YA SIRI

 Jamshid: If my people want me back, I will certainly go (
 Zanzibar). rtsp://r7---sn-5hn7su7k.googlevideo.com/CkELENy73wIaOAlg5BhXy-5E7hMYJCAkFEIGbXYtcmltSARSBXdhdGNoYL-cwPOXvMO-UooBC1pMeEExQzU4Z3dJDA==/0/0/0/video.3gp
 Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo
 Tanzania Network

 From: Clavery <tungaraza@hotmail.com>

 Sender: wanabidii@googlegroups.com

 Date: Mon, 21 Apr 2014 20:35:22 +0300
 To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
 ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com

 Subject: RE: [wanabidii] UKAWA MNATUMIWA BILA
 KUJIJUA AU KUNA AJENDA YA SIRI

 Unapoleta taarifa kama hii huna haja ya
 kufumba baaadhi ya majina wakati huo huo wengine
 ukiwataja. Umemtaja Jussa, ukamtaja Maalim, ukamtaja Sultan
 Sayyid. Kwa manufaa ya wanabidii na mjadala wa wazi taja hao
 wana usalama ni wa nchi gani badala
  ya kusema wanausalma wa nchi fulani.

 Kama huna ushahidi iandike ibakie kuwa ni hisia tu kuliko
 haya.

 Date: Mon, 21 Apr 2014 08:42:23 -0700

 From: fkarume@gmail.com

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Subject: [wanabidii] UKAWA MNATUMIWA BILA KUJIJUA AU KUNA
 AJENDA YA SIRI

 UKAWA MNATUMIWA BILA KUJIJUA AU KUNA
 AJENDA YA SIRI

 : Sultan Sayyid Jamshid bin Said
 yupo nyuma ya UKAWA na baadhi ya wanachama wa UKAWA kutoka
 Bara wameanza kushtukia
  kwamba wanatumika kiaina na Jussa na Maalim kutimiza ndoto
 zao za kumrejesha Zanzibar mwana Mfalme huyo wa Oman ambaye
 kwa sasa anaishi Uingereza tangu alipotimka Zanzibar 12
 Januari, 1964. Miaka ya karibuni, wakati mchakato wa Katiba
 unanukia Maalim alifanya
  safari kadhaa nchini Uingereza ambapo alikutana
 mara kadhaa
  na Sultan (kwa msaada wa wanausalama wa nchi flani) ambapo
 Sultan alikubaliana na Maalim kuwezesha (kifedha na ushauri)
 mchakato mzima wa kuuvunja Muungano ili kuidhoofisha
 Zanzibar na kisha Oman itachukua hatamu ya kuipa kila kitu
 na kupitia hapo Sultan atatua
  ndani ili kuendelea kutawala na kubadirisha mifumo yote ya
 kiutawala na kuielekeza Zanzibar kwenye mfumo wa Arabuni.
 hiyo yote ni harakati za sultan ikiwa pamoja na misaada ya
 kifedha wanayopata ili kufanikisha azma yao

 TANZANIA KWANZA UDUMU MUUNGANO NA WAASISI WAKE 

 NAKUPENDA TANZANIA YANGU NA NAUKUBALI MUUNGAN

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to
  abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit
 https://groups.google.com/d/optout.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment