Wednesday, 23 April 2014

Re: [wanabidii] Sultan Jemshid ni mzawa wa Zanzibar

Hawa jamaa wameamua kutupandisha meli ya ukabila, udini na rangi. Ni zaidi ya kina Peter Bothar maana wao walibaguana kwa rangi tu
--------------------------------------------
On Wed, 4/23/14, 'lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Sultan Jemshid ni mzawa wa Zanzibar
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, April 23, 2014, 6:04 AM

Mimi naam ninayasema, eeee
nikiyaamini pasi na shaka kuwa Tanzania haina usalama wa
amani kwa zaidi ya miaka 5-10 ijayo.
Nimesema na ninaamini kwasababu. Umezuka mtindo wa watu
kukimbia hoja, kila wakijadili kuna watu wanajitokeza na
kuzikataa hoja za wenzao kwa kukashifu, kutukana, kutishia
ama kulaani. Kutaja dini ama kabila.
Tusipojadili leo, hakika mawio haitakuwa tamu yetu.

On Sunday, April 20,
2014 8:15 PM, Abdalah Hamis
<hamisznz@gmail.com> wrote:
MFALME
ALOPINDULIWA SAYYID JAMSHID

Nyerere alikua na lake moyoni (agenda ya siri)alishiriki
kumtorosha huyu ili apate kui Koloni Zanzibar kwa Kisingizio
cha Ubaguzi wa Kiarabu na Sultani.Sayyid Jamshid
hakuja Zanzibar kama mgeni kutoka Arabuni, Sayyid Jamshid
Kazaliwa Zanzibar na kasoma Zanzibar mpaka kamaliza na
kaondoka Zanzibar baada ya kupinduliwa na Kapitia Bandari ya
Dar es Salaama kuelekea Uengereza (Portsmouth)alikokwenda
kuomba Ukimbizi , kwahio Jamshid ni Mzanzibar kama wengine
walozaliwa Zanzibar na kuwa na haki ya Uzaliwa.Mapinduzi ya
Zanzibar ya mwaka 1964 yaliupindua utawala wa kiarabu tu
,lakini sio kupindua haki ya Wazaliwa wenye asili za
Kiarabu, kihindi, kingazija , generation yote ya vizazi
hivyo sasa ni Wazaliwa wa Zanzibar na wana haki kama wale
wazaliwa wa Tanganyika akina Nyerere, na Ali Hassan Mwinyi
na Mpaka Kikwete mwenyewe.Sasa ukisema watu
hawa wenye asili za kiarabu ,kihindi na kingazija Unawabagua
haliyakua ni Wazaliwa wa Zanzibar na huwataki unataka Wahame
Kikwete na ccm yako, jee tukikuliza utawapeleka
wapi?Wewe Mwenyewe
Kikwete uko tayari kuhamishwa Bwagamoyo
Tanganyika?Wznz tumechoka na
ubaguzi wa ccm wakutugawa kwa misingi ya hii ya
Uarabu(Usultan ) Uhindi ,Ungazija,Upemba na kubwa zaidi sasa
ni karata ya Undini ambayo ni kuomba huruma kwa mataifa ya
Magharibi kuja Zanzibar ku deal na Waislamu wa Zanzibar ?
maskini ccm Smz kupoteza muelekeo hata wa Dini yao kwa
TONGE, Waislamu wa Zanzibar si 0% ni %99 sasa unapo tumia
U-dini kwa kukiimarisha chama Basi utafeli tu .Makabila yote hayo
nilioyataja hapo juu hakuna alokaribishwa Zanzibar wote ni
Wazaliwa wa Zanzibar kulikoni hata Ali Hassan mwinyi na
Wenzake walokuja Zanzibar kwa kukaribishwa sio Uzawa, katu
huwezi kumlinganisha U-Zanzibar wa Ismail Jusssa, Eddy Riam
, Maalim Seif ,Maalim Haroun, Salim Dimani na wengine kua ni
sawa na Ali Hassan Mwinyi ambaye sio Mzaliwa wa Zanzibar
.Mwinyi hana sifa
ya Uzawa wa Zanzibar lakini hao wote wana sifa ya uzaliwa wa
Zanzibar na si watu walozaliwa nje ya Zanzibar wamezaliwa
Zanzibar na kusoma na kumaliza Zanzibar hata huyo munaye
mwita Sultan Jamshid , kwa hio ccm wacheni karata ya kubagua
jamii ya Wananchi wa Zanzibar kwa misingi ya Ubaguzi wa
rangi .Visiwa vyetu
viwili vya Zanzibar vina mchanganyiko wa makabila na wa
rangi , kama badhi ya visiwa vingi ulimwenguni vina sifa
hio.
Sasa ccm Munapo tumia siasa kwa kubagua jamii hili
hatutolivumilia hususan hapa kwetu Zanzibar, ccm Smz
tutapambana na nyiyi kwa jambo hili mpaka kiama na ni haki
yetu.Unapoleta
kuwagawa Wazawa wa Zanzibar kwa misingi ya rangi zao na
asili zao, hii itawa-cost sana ccm na mwicho wa hayo ni
kufilisika kisiasa na chama chenu kukosa Dira na muelekeo na
kuachiwa wenyewe munaojita WAHADIMU mukiongoze chama chenu
cha Ubaguzi?.Hivi sasa
Takriban Wananchi wa Zanzibar wamechuhudia mengi yalokuwemo
kwenye nyoyo zenu , juu yakua Bunge la katiba halijulikani
kua litaendelea au vipi ? lakini tunamshukuru Allah kuona
yale muliokua nayo katika Nyoyo zenu.M/mungu ibariki
Zanzibar na watu wake wote.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.



--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment