Hamis, sultan hakupinduliwa alikimbia tu mwenyewe, aliyepinduliwa ni shamte, sultan anaweza rudi kama wazanzibar wengine waliokimbilia kenya na somalia.
----------
Sent from my Nokia phone
------Original message------
From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, April 20, 2014 10:15:42 AM GMT-0700
Subject: [wanabidii] Sultan Jemshid ni mzawa wa Zanzibar
[image: hqdefault]
MFALME ALOPINDULIWA SAYYID JAMSHID
[image: Sultan Jamshid]<http://mzalendo.net/wp-content/uploads/2014/04/Sultan-Jamshid.jpg>
Nyerere alikua na lake moyoni (agenda ya siri)alishiriki kumtorosha huyu
ili apate kui Koloni Zanzibar kwa Kisingizio cha Ubaguzi wa Kiarabu na
Sultani.
Sayyid Jamshid hakuja Zanzibar kama mgeni kutoka Arabuni, Sayyid Jamshid
Kazaliwa Zanzibar na kasoma Zanzibar mpaka kamaliza na kaondoka Zanzibar
baada ya kupinduliwa na Kapitia Bandari ya Dar es Salaama kuelekea
Uengereza (Portsmouth)alikokwenda kuomba Ukimbizi , kwahio Jamshid ni
Mzanzibar kama wengine walozaliwa Zanzibar na kuwa na haki ya Uzaliwa.
Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 yaliupindua utawala wa kiarabu tu
,lakini sio kupindua haki ya Wazaliwa wenye asili za Kiarabu, kihindi,
kingazija , generation yote ya vizazi hivyo sasa ni Wazaliwa wa Zanzibar na
wana haki kama wale wazaliwa wa Tanganyika akina Nyerere, na Ali Hassan
Mwinyi na Mpaka Kikwete mwenyewe.
Sasa ukisema watu hawa wenye asili za kiarabu ,kihindi na kingazija
Unawabagua haliyakua ni Wazaliwa wa Zanzibar na huwataki unataka Wahame
Kikwete na ccm yako, jee tukikuliza utawapeleka wapi?
Wewe Mwenyewe Kikwete uko tayari kuhamishwa Bwagamoyo Tanganyika?
Wznz tumechoka na ubaguzi wa ccm wakutugawa kwa misingi ya hii ya
Uarabu(Usultan ) Uhindi ,Ungazija,Upemba na kubwa zaidi sasa ni karata ya
Undini ambayo ni kuomba huruma kwa mataifa ya Magharibi kuja Zanzibar ku
deal na Waislamu wa Zanzibar ? maskini ccm Smz kupoteza muelekeo hata wa
Dini yao kwa TONGE, Waislamu wa Zanzibar si 0% ni %99 sasa unapo tumia
U-dini kwa kukiimarisha chama Basi utafeli tu .
Makabila yote hayo nilioyataja hapo juu hakuna alokaribishwa Zanzibar wote
ni Wazaliwa wa Zanzibar kulikoni hata Ali Hassan mwinyi na Wenzake walokuja
Zanzibar kwa kukaribishwa sio Uzawa, katu huwezi kumlinganisha U-Zanzibar
wa Ismail Jusssa, Eddy Riam , Maalim Seif ,Maalim Haroun, Salim Dimani na
wengine kua ni sawa na Ali Hassan Mwinyi ambaye sio Mzaliwa wa Zanzibar .
Mwinyi hana sifa ya Uzawa wa Zanzibar lakini hao wote wana sifa ya uzaliwa
wa Zanzibar na si watu walozaliwa nje ya Zanzibar wamezaliwa Zanzibar na
kusoma na kumaliza Zanzibar hata huyo munaye mwita Sultan Jamshid , kwa hio
ccm wacheni karata ya kubagua jamii ya Wananchi wa Zanzibar kwa misingi ya
Ubaguzi wa rangi .
Visiwa vyetu viwili vya Zanzibar vina mchanganyiko wa makabila na wa rangi
, kama badhi ya visiwa vingi ulimwenguni vina sifa hio.
Sasa ccm Munapo tumia siasa kwa kubagua jamii hili hatutolivumilia hususan
hapa kwetu Zanzibar, ccm Smz tutapambana na nyiyi kwa jambo hili mpaka
kiama na ni haki yetu.
Unapoleta kuwagawa Wazawa wa Zanzibar kwa misingi ya rangi zao na asili
zao, hii itawa-cost sana ccm na mwicho wa hayo ni kufilisika kisiasa na
chama chenu kukosa Dira na muelekeo na kuachiwa wenyewe munaojita WAHADIMU
mukiongoze chama chenu cha Ubaguzi?.
Hivi sasa Takriban Wananchi wa Zanzibar wamechuhudia mengi yalokuwemo
kwenye nyoyo zenu , juu yakua Bunge la katiba halijulikani kua litaendelea
au vipi ? lakini tunamshukuru Allah kuona yale muliokua nayo katika Nyoyo
zenu.
M/mungu ibariki Zanzibar na watu wake wote.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment