Sunday, 6 April 2014

Re: [wanabidii] SABABU TANO ZA EDWARD LOWASSA KUWA RAISI 2015

Hilde, kule musoma kuna nyumba ntobo, unaziongeleaje? Zipigwe vita kama ukeketaji? au ziboreshwe?

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, April 6, 2014 2:25:53 PM GMT+0100
Subject: Re: [wanabidii] SABABU TANO ZA EDWARD LOWASSA KUWA RAISI 2015



 
Ngulupa ndugu yanu vimada tatizo si vijana tu hata wazee. Kwani utawaona hotelini na maeneo mengine ya starehe mtu mizma above 60 na kabinti kajukuu au kakuzaa wenyewe. Wamewapangia nyumba na kuwanunuia magari ya kisasa na kupelekwa manunuzi nchi za nje. Huu ni ugonjwa barani Africa. Ulaya huruhusiwi kuoa underage. Ingawaje kuna suala la ushoga lakini mtu wa miaka 60 haruhusiwi kuoa wa miaka 15. Huku kwetu sheria inaruhusu mradi tu wazazi/mlezi akubali. ila na desturi potofu zinaruhusu na anaolewa uke wenza na wamama watu wazima kama bibi zake kuwa ndio wake wenzake.
Wazee viongozi wataendeleza ukale, vijana ni zamu yao sasa kuonyesha seriousness. Kijana Kama Nchimbi Waziri alioondolewa kuwa mzigo ulimuonaje au akina Januay Makamba na wengineo wengi wa vyama vingine-wanaweza wazee wabaki kuwashauri vema kimaendeleo. Mungu ibariki TZ.
+255762544553/754763803
On Sunday, 6 April 2014, 6:01, Ngupula GW <ngupula@yahoo.co.uk> wrote:

Kwa 2015 tunataka wazee...vijana ni wabinafsi sana zaidi ya wazee mara 5000...hata hivyo hawa wazee wasipotuongza uwepo wao una faida gani?..nafikir tena ingewekwa kwenye katiba mtu chini ya mia 60 asiruhusiwe kuwa rais wa nchi...maana kwa vijana hawa wa kibongo kinachoonekana cha msingi ni kuongeza idadi ya vimada na kulipa fadhila kwa past girlfriends and darlings...ngupula

ekunyaranyara@yahoo.co.uk wrote:


Dada Hilda
Greetings of the day. Nionavyo mimi tatizo siyo wazee bali vijana wenye sifa hizo huenda hawapo. Na wale wanaojitokeza kama akina ZZK hupigwa mapanga na wakati mwingine na vijana wenzao kiasi wanakata tamaa.
Hili la vijana litawezekana tu iwapo nguvu ya ziada itawwekwa na vijana wenyewe waache kutumiwa hovyo hovyo bila kufikiri.



________________________________
From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>;
To: wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] SABABU TANO ZA EDWARD LOWASSA KUWA RAISI 2015
Sent: Sun, Apr 6, 2014 7:32:21 AM


Hivi kwa nini hawa wazee-wastaafu bado wanataka kugombania uongozi? Vijana wa umri wa kugomea wapo, wenye elimu na uwezo. Hivi, hawaoni aibu kukaa kulumbana mjukwaani kuhusu uongozi na kuonyesha nia. Wengine kutumia mahekalu na mpaka vihenge sio vya ukoo wao kutawadhwa? kuna nini hasa katika Urais sio kama mtu kutaka kuficha maovu yake na hasa ukiwa ulishakuwa kiongozi na upo above 60 years old-unaaka nini hasa? uwe kama Mugabe? Wapeni vijana wasomi, wanaojituma, wanaojua masuala ya taifa na kimataifa, wanaokubalika nchini, anayeweza kusimama akaongea na kujibu maswali bila ya kutaka kuandikiwa majibu kwanza na waandishi wake maana anazijua sekta zote na mikataba mbali mbali ya kitaifa na kimataifa. Hao akina Lowasa na wengineo waendelee kufuga mifugo na kuuza nyama, maziwa ulaya na hao waliochukua GVt estate farms, wasaidie vikund vya vijana kuzalisha mali. Msaada usingonje atakapokuwa Rais tu. wengine ni wabunge na hatuoni maendeleo ya utisha majimboni
mwao pamoja na utajiri wao. Hawahamasishi maendeleo bottom-up huko waliko mbona hakuwi site ya study tour wengine wenda kujifunza huko maendeleo ya kilimo, mifugo? Ndio kwana tunaona uhamaji na mifugo mamilioni kulishia mashamba ya wengine, kuwachapa, kuharibu vyanzo vya maji. From Mwanza, Geita, Monduli to Handeni, Rukwa, Rufiji, Kilwa, Mtwara, Mbeya na thousands of livestock. Kwa nini kutokana na hela za madini Geita, Mererani etc mbunge (na Rais wa kujisimika) asiwafundishe sustainable livestock keeping and farming? Vyuo vyote hivyo vya mifugo na mitamba ya kisasa vilivyopo jirani yao-mbona hawashirikiani na extension workers kuongea na watu wao kwa lugha ya kwao ili  kuwe na mabadiliko chanja badala ya kuendelea na primitive economy? Sifa nyingine tunazoziweka mbona haziangalii hali halisi ya wananchi katika majimbo hao viongozi wanaotaka Umugabe??


 

On Sunday, 6 April 2014, 0:00, "kivambe3@hotmail.com" <kivambe3@hotmail.com> wrote:







Sent from Samsung mobile

MABADILIKO CHADEMA wrote:


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment