Sunday, 6 April 2014

Re: [wanabidii] SABABU TANO ZA EDWARD LOWASSA KUWA RAISI 2015

Mwandishi amejikita katika facts na si porojo... thats what we need si longo longo, laigwani lowassa ni jembe!


Sent from Yahoo! Mail on Android



From: Ngupula GW <ngupula@yahoo.co.uk>;
To: lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>; <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] SABABU TANO ZA EDWARD LOWASSA KUWA RAISI 2015
Sent: Sun, Apr 6, 2014 7:56:12 AM

Huu ndio ukweli mtupu. Na kama wengi wetu tungelitambua hili....nafikir tungefika. Mi nashangaa watu hawachoki kutafuta kiongoz malaika ambaye hayupo...na mwishowe wanamkumbatia shetani na kuanza kulalamika..kulalamika hakusaidii kitu tumia akili yako vizuriiiii. Binafsi ntajisikia vizuri sana kufanya kazi na lowassa kwani ni muwazi na alivyo ndivyo alivyo..big up mwandishi....ngupula

lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> wrote:

umemaliza ndg mwandishi
wasimtaka huyu mh ni wale wasiotaka brn na ukweli ni kwa bila brn nchi hii itaishia kwa wajanja wajanja wachacheeeeee.
Mengi umesema baba, mwenye hoja mbadala ajitokeze na tuko standby kumjibu kwa hoja, usije na jazba lete hoja na data kama hizo hapo juu ambazo kimsingi mimi naziunga mkono tu
Slaaa ah kaisha , kabakia kuimba wimbo ule ule wa zilipendwa mafisadi mafisadi....master plan yake iko wapiiiiiiiiii kama ya lowasa
zije hoja sasa


On Saturday, April 5, 2014 12:26 PM, MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com> wrote:
SABABU TANO ZA EDWARD LOWASSA
KUWA RAISI 2015, HIZI NDIZO SIFA ZA LOWASSA BILA SHAKA KWENYE KWELI UWONGO HUJITENGA.!!
Sababu nzito Tano ambazo mimi binafsi naziona zinafaa sana kumtathmini Edward Lowasa kama Rais ambae Tanzania inamuhitaji kwa muongo mwingine ujao. Nikiri wazi kwamba kwa CCM ni Lowasa pekee mwenye sifa hizo labda nitamlinganisha na Dr. Slaa ambae kwa muono wangu kidogo anamkaribia Lowassa nikimaanisha kidoogo
wanalandana na nitasema wapi Lowassa anampiku Slaa.
Kwa utangulizi tu ni kuwa Nchi hii ili iendelee inahitaji KIONGOZI kwa ufupi kabisa niseme hivyo inahitaki KIONGOZI SHUPAVU tena SHUPAVU KWELIKWELI sio masihara. Waziri mkuu Mizengo Pinda na Mbunge wa Monduli Erdward Lowassa. Tupo kwenye umaskini mkubwa,watu wanateseka bila sababu ya msingi. Vijana tunashabikia tuu kama wehu, wengine ni wasomi lakini tunapelekwa
kama upepo tukisikia hiki "hewala" tukisikia kile "sawa" tukiambiwa hivi "alhamdulilah" tukiambiwa kile "poa tu". Hatutaki kuchambua na kuielewa siasa kwamba kwenye siasa kuna majungu,fitna,kuchongeana,uchu wa madaraka na mali na mambo meeeengi ambapo msipokua makini mnaweza KUMCHUKIA MZURI MKAMPENDA MBAYA. kwa misingi hii ninaanza uchambuzi wangu. Na uchambuzi huu nitauandika kwa facts and figures kama anavyosemaga Prof.Muhongo.
1.LOWASSA NA "BIG RESULTS NOW". Nianze na hili.Tunajua wote kuwa serikali yetu sasa ipo kwenye mpango wa matokeo makubwa sasa BRN.Mpango huu mbali na mambo mengine unahitaji kiranja mkuu (RAIS) ambae ni SHUPAVU,JASIRI, MTHUBUTU,MWENYE KUWEKA MALENGO NA KUSIMAMIA KUONA YANATEKELEZEKA lakini pia kama jina la mpango lenyewe lilivyo "MATOKEO MAKUBWA SASA" yaan we want things to happen now. Kwa minajili hiyo ni kiongozi gani mnaeona anaeweza kuleta matokeo makubwa sasa? Embu tuwe wakweli LOWASSA tunamjua alipoingia kuwa waziri mkuu alitangaza kuwa ndani ya kipindi cha miaka mitano ambacho angekuwa WAZIRI MKUU angetaka kata zote ziwe na shule za sekondari. Sote ni mashahidi alivyosimamia sera hiyo shule zilianza kumea kama uyoga yaani kama mazingaombwe.
Hata maeneo kama ya Kinondoni ambapo ardhi huuzwa kiholela hivyo ardhi kutopatikana lakini ilipatikana kuanzia vijijini hata miji wananchi walianza kujenga shule.ni mashahidi kama sio fitna za yeye kupelekea kujiuzulu sijui leo kielimu tungekuwa wapi. HE HAD A MASTER PLAN OF OUR
EDUCATION SYSTEM AND HE LEFT WITH IT BUT STILL HE HAS IT IN HIS HEAD. Naamini huyu mzee akipata nafasi tutafika. Si hilo tu tunajua mambo mengi aliyokuwa nayo kichwani ambayo mengi yapo kwenye huu mpango ni shupavu ambae angeweza na anaweza kuyasimamia yatekelezeke. Dr.Slaa ni mzuri wa kusimamia mambo lakini sometimes huwa analoose focus nitaliongelea kwenye point ya tatu.
2.LOWASSA ANAJUA KUWEKA VIPAUMBELE NA KUJUA TUNAVIFIKIAJE. Jamani Nchi hii ili iendelee na ndivyo hata nchi zilizoendelea ziliv

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment