Monday, 21 April 2014

Re: [wanabidii] Re: TAMKO LA UKAWA KWA WAANDISHI WA HABARI

CCM walionekana tangu mwanzo kwamba wanataka kushinikiza mambo yao yapite ni baada ya kukomaa na kura ya WAZI ili wawalazimishe wote waliowaingiza kwenye BMK wawapigie kura. Sasa wamebaki wenyewe wanaweweseka. Pigeni hizoa zenu za WAZI.

2014-04-20 14:38 GMT+03:00 Paul Lawala <pasamila292000@gmail.com>:
Mbivu na mbichi zitajulikana

2014-04-19 22:46 GMT+03:00 Gikaro Ryoba <gikaroryoba@yahoo.com>:

Hivi watu wengine mnajua mnachikiongea au mnaongeleshwa? kama suala hili litakujamkuamulia na wananchi, na hao wananchi mnadai kwamba hawakutaka serikali 3, kwanini sasa mkomae na serikali 2? si muache UKAWA walete hizo serikali 3 halafu wananchi wazikatae? kama kweli wananchi wanataka serikali 2, sasa mnaogopa nini wakati mnajua kwamba waamuzi wa mwisho ni wananchi? mtu unapayuka hadi mishipa inakutoka kwa ajili ya kutaka serikali 2 za nini? waacheni hizo serikali 3 ziletwe kwa wananchi halafu wazikatae kwenye kura ya maoni (kama kweli mna uhakika kwamba hawazitaki). mnaogopa nini sasa? wapuuzi kabisa!

On Friday, April 18, 2014 2:57 PM, Chris <cngaswaga@yahoo.com> wrote:
Kama ni kejeli hata nyie UKAWA  mlimwaga vijembe kwa mfano kumekuwa na matumizi ya neno ntarahamwe nk .Ni jambo la kawaida bungeni kupigana vijembe hapa na pale.Sisi wananchi hilo ni jambo dogo na kama nilivyosema pande zote mnapiga vijembe hivyo jambo hilo lisikuzwe.
Pili,uamuzi wa mwisho wa lasimu yoyote itakayopita ni wa sisi wananchi kupitia kura.Je ni kwa nini msiendelee kujadili na sisi wananchi tutachambua mchele na pumba?Mnakimbia nini?Hoja zimekwisha?utoto?
Tatu, sio kweli kuwa idadi kubwa ya wananchi wanataka serikali tatu.Huu ni uongo na tutawaonyesha kwenye sanduku la kura kile tunachotaka.Na mtashangaa.
Nne,UKAWA kujiona kuwa ati nyie ndio mnawakilisha matakwa ya wananchi wengi ni uongo mwingine.Na hii inazihirishwa hata kwa kuangalia idadi ya wabunge wa majimbo waliochaguliwa mwaka 2010.Vyama vingine vina wabunge wawili na bado mnadai kukubalika na wananchi na ati mnawasemea wananchi waliowengi.Ukweli ni kuwa mnawakilisha matakwa yenu wenyewe.
Tano,kwa mwendo huu wa kuzira zira bila hoja tegemeeni kushuka kwa kura za wapinzani katika uchaguzi mkuu ujao.Wananchi tumechoshwa kabisa na siasa za ugomvi hasira na kutikuvumiliana.Kama kawaida tutawaonyesha kwenye sanduku.
Sita,Lipumba hujawahi kupata hata asilimia  kumi za kura za uraisi nini kinachokufanya useme ati unawakilisha wananchi waliowengi?
au ni kucreate attention tu?
saba,acheni siasa za chuo za kuendekeza fujo na migomo.Katiba ya mwisho uamuzi ni wa wananchi kwa nini msiache wananchi waamue nyinyi kazi yenu ni hoja tu.Kama ccm wanakosea si kura zitaongea mwisho wa siku kwa wananchi kupiga hapana kwa rasimu?Kwa mlichofanya mmekosea hesabu Hupatikansana na mtakiona cha mtemakuni kwenye chaguzi zijazo.

Mmeboa sana sana

Sent from my iPhone

On Apr 18, 2014, at 13:19, "'ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Unaelewa unachokisema/unasema unachokielewa?????????
On Friday, April 18, 2014 12:18 PM, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
UKAWA kutoka nje ni matokeo ya kushindwa kwa hoja wanayoisimamia.. Kwangu Mimi suala la muundo wa serikali ni dogo sana ukilinganisha na matakwa ya wananchi..

On Friday, April 18, 2014 12:13:47 PM UTC+3, Abdalah Hamis wrote:
Screen Shot 2014-04-17 at 4.50.42 PM
Baada ya kugoma na kuamua kutoka nje ya bunge la katiba Dodoma  kikundi cha umoja wa katiba ya Wananchi (UKAWA) kimekutana na waandishi wa habari April 17 2014 na kuyazungumza haya yanayofata hapa chini.

Profesa Ibrahim Lipumba >>> 'Tumekubaliana kwamba siku ya Jumamosi kwa pamoja Wabunge wote ambao hatuna dharura tutakua tumekwenda Zanzibar kwenye mkutano wa hadhara kuanzia saa nne asubuhi, tutaondoka na boti asubuhi saa moja kuelekea Zanzibar na tutaeleza yaliyojiri katika bunge hili maalum''Baada ya hapo tutaendelea na mikutano nchi nzima kujulisha Wananchi msimamo wetu ambao ni rahisi, uko wazi kwamba Rais aliunda tume ya katiba katika utaratibu wa sheria ya mabadiliko ya katiba itayokusanya maoni ya Wananchi lakini katika yale mapendekezo ambayo yamekuja ukawa ni mjadala wa matusi, kejeli, lugha za kibaguzi na kutaja Wapemba, Waarabu, Wakongo na Wahindi, viongozi wapo na hamna aliewakanya tena ndio wanawapigia makofi

Freeman Mbowe: 'Tume iliundwa kuratibu zoezi kupata mawazo ya Wananchi kufanya utafiti ambao uliipa tume rejea maalum ya kufata, tume haikukusanya tu maoni ya Wananchi bali ilifanya pia tafiti nyingi na ilikua na timu kubwa tu ya watu makini na mahiri na ikaonekana muafaka wa muungano wa kudumu ni serikali tatu'
'Kinachofanyika pale bungeni ni kutulazimisha kuondoka kwenye msingi wa ile rasimu na kuzusha rasimu mpya ambayo inapendekeza mfumo wa serikali mbili, mfumo ambao haujafanyiwa utafiti na haujatolewa maoni na Wananchi, je tumeletewa nyaraka za kutosha za kujadili serikali mbili?'
Screen Shot 2014-04-17 at 4.49.07 PM
'Ni dhahiri kama tunataka kuvunja ule msingi wa rasimu iliyoletwa na Warioba turudi kutengeneza rasimu nyingine ambayo ina mfumo wanaopendekeza wao lakini hatuwezi kupitia mgongo wa tume ya Warioba kwenye msingi wa rasimu iliyoletwa ya serikali tatu alafu tukajadili mfumo wa serikali mbili, hata wajumbe hawana mamlaka hayo'

'Hatuwezi kushiriki katika majadiliano yenye matusi, kejeli, dharau na kupotosha umma…. kauli zinatolewa na viongozi zinapindishwa, wabunge wa upande wetu wakitoa mawazo yao na kueleza ukweli… unageuzwa kuwa karaha, kututaka sisi tuendelee kushiriki katika udhalilishaji ule hakika hatuwezi… je tutapata tutakachokitaka?
'Kuna njia nyingi za kuitafuta haki, haki inaweza kutafutwa ndani ya bunge au nje ya bunge, kazi yetu kama vyama vya siasa ni kuweka shinikizo na kujenga hoja za shinikizo, kama tumeshapeleka maoni yetu hayaheshimiwi huna busara yoyote unaweza kutumia kwenye genge la watu kama wale ambao wamekaririshwa maneno'
'Wao wanatulaumu sisi UKAWA tunakaa tunaweka misimamo lakini wao wanakuja ndani ya bunge kujadili mambo ambayo wamejadili wao, na wanajadili Waziri mkuu akiwa miongoni mwao' 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment