Kipigana vijembe endlessly ni upumbavu. Binge lipige kura kuamua yaliyojadiliwa sio marusi tu na sera za Upemba n.k.
Binafsi naona hoja ndani ya UKAWA. Wana hoja na hoja yenyewe ni kupuuzwa kwa maoni ya wananchi na ccm na serikali kupitia mwenyikiti wake na Rais kuja na muundo wa serikali 2 kinyume na rasimu ya katiba kama ilivyo wasilishwa na mzee Warioba.
On 19 Apr 2014 10:45, "Jovi kamuntu" <jbifabusha@yahoo.com> wrote:
-- --Muundo ndio Rasimu ya Katiba.Jovin Bifabusha
DIRECTOR
KWFF LTD
P. O. Box 313
Skype: jovin.bifabusha
Karagwe, Tanzania
+255 784 709200On Saturday, April 19, 2014 1:09 AM, lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> wrote:
--hawa ukawa bana muundo si ishu wana lao bse wanekomaa tu, wengi kama tunataka 3 serikali zitapatkana tu, hy si baada ya hapo italetwa kuipitishaaa, tutakataaa, so ukawa nao jazbA IS TOO MUCHOn Friday, April 18, 2014 1:41 PM, Ngupula GW <ngupula@yahoo.co.uk> wrote:
----- Forwarded Message -----
Elisa msamehe...nafikir haelewi anachokisema..yaani kwake yeye ugali ni muhimu zaidi kuliko unga kwa hiyo haoni umuhimu wa unga..ngupula
"'ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Unaelewa unachokisema/unasema unachokielewa?????????On Friday, April 18, 2014 12:18 PM, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
UKAWA kutoka nje ni matokeo ya kushindwa kwa hoja wanayoisimamia.. Kwangu Mimi suala la muundo wa serikali ni dogo sana ukilinganisha na matakwa ya wananchi..
On Friday, April 18, 2014 12:13:47 PM UTC+3, Abdalah Hamis wrote:Baada ya kugoma na kuamua kutoka nje ya bunge la katiba Dodoma kikundi cha umoja wa katiba ya Wananchi (UKAWA) kimekutana na waandishi wa habari April 17 2014 na kuyazungumza haya yanayofata hapa chini.Profesa Ibrahim Lipumba >>> 'Tumekubaliana kwamba siku ya Jumamosi kwa pamoja Wabunge wote ambao hatuna dharura tutakua tumekwenda Zanzibar kwenye mkutano wa hadhara kuanzia saa nne asubuhi, tutaondoka na boti asubuhi saa moja kuelekea Zanzibar na tutaeleza yaliyojiri katika bunge hili maalum''Baada ya hapo tutaendelea na mikutano nchi nzima kujulisha Wananchi msimamo wetu ambao ni rahisi, uko wazi kwamba Rais aliunda tume ya katiba katika utaratibu wa sheria ya mabadiliko ya katiba itayokusanya maoni ya Wananchi lakini katika yale mapendekezo ambayo yamekuja ukawa ni mjadala wa matusi, kejeli, lugha za kibaguzi na kutaja Wapemba, Waarabu, Wakongo na Wahindi, viongozi wapo na hamna aliewakanya tena ndio wanawapigia makofi
Freeman Mbowe: --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment