Sunday, 6 April 2014

Re: [wanabidii] Re: MAWAKALA WA CHADEMA NA CUF WAZICHAPA CHALINZE

MOD wa Mtandao wa wanabidii mnajidhalilisha wenyewe kupokea watu wasio na utambulisho. Hao hao ndo wasemaji wakuu wa uongo. Kikwete amepiga kura kituo gani? Mbona taarifa zilizopo ni kwamba yuko nje ya nchi? Maana ya Mwanaccm2015@gmail.com ni nini? Wewe Mod unapokea na kusajili?. Sheria ya Magazeti haihusiki na mitandao nini?


Sent from Samsung Mobile



-------- Original message --------
From: Mwana CCM <mwanaccm2015@gmail.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: MAWAKALA WA CHADEMA NA CUF WAZICHAPA CHALINZE


Achana nao wanapiga tarumbeta la ufisadi kumbe wenyewe ni mapapa si unakumbuka kalenga mkuu .

On Sunday, April 6, 2014 11:23:41 AM UTC+3, wambura kitigwa wrote:
Toa ushahidi


2014-04-06 10:57 GMT+03:00 John Juma Mkakati <mkaka...@gmail.com>:
Mawakala wa CHADEMA wanakosa posho na wakati huohuo Mh. Mbowe anaenda Dubai ku-Spend na "watoto" na Dr. Slaa yeye anajikopesha hela ya ruzuku ya chama.


On Sunday, April 6, 2014 10:16:05 AM UTC+3, Mwana CCM wrote:
 kata ya Msata naona mawakala wa cuf wanazichapa kavukavu kwa kumtuhumu mmoja kati ya viongozi wa cuf wilaya ambaye ni wakala pia, mawakala wa cuf hapa Msata na Mbwewe wamegoma kuingia kwenye vituo vya kupigia kura mpaka walipwe pesa zao.
Kwa upande wa Chadema mawakala wao pia katika kata ya Msata na Mbwewe pia wamegoma kuingia kwenye vituo vya kupigia kura kwa madai kwamba hawajalipwa posho zao.polisi wameingilia kati huu ogomvi.
Kwa hali ilivyo mpaka sasa CCM itashinda kwa zaidi ya asilimia 90.
source mimi mwenyewe 0755178927

--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment